Je, ilikuwa ni hujuma au ilitokea bahati mbaya?
Habari kamili;
Seneta mmoja nchini Kenya amekosoa mashirika ya michezo kwa kushindwa kuchukua hatua baada ya mbwa kumfukuza mwanariadha Robert...
Ni jambo la kheri na la kutia moyo kuona nchi zetu za Afrika Mashariki zimechaguliwa ku-host mashindano ya AFCON. Hapo tunatakiwa kujiandaa kwa vitu vikubwa viwili, VIWANJA BORA na TIMU BORA…...
Hili tatizo nadhani tunalo muda mrefu. La uswahili, kijicho, wivu na uzumbukuku wa baadhi ya watu. Kama anayosema huyu Prof ni kweli sisi Yanga ni watu wa ajabu sana.
Lazima watu watakuwa...
Akizungumzia pambano lake dhidi ya Bondia Julius Indongo wa Namibia katika kuwania Mkanda wa IBA Intercontinetal, Bondia Hassan Mwakinyo amesema tatizo limeanzia kwa promota ambaye ameenda kinyume...
Nimemsikiliza mdigo mwenzangu, sisi watu wa Tanga sio malofa, kwanza ngumi ndio fani zetu, kuna wakati tulikuwa tunacheza mechi za ngumi za uswahili maeneo ya Makorola, yaani mabondia wa Donge au...
Lisandro Martinez anasumbuliwa na majeraha ya mfupa wa mguu ambayo yaliwahi kumweka nje ya uwanja muda mrefu, hivyo kuna uwezekano wa Manchester United kutomtumia kwa muda wa miezi miwili au...
Timu Iliomsajili Sakho, QR Metropole Ya Ufaransa Inayoshiriki Ligi Daraja La Pili Nchini Humo Imecheza Michezo 8 Ya Ligi 2, haijashinda Hata Mmoja, Imetoa Sare 2, na Kukung'utwa 6, Ikifunga Magoli...
Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania.
Dua zenu tafadhari.
=====...
Mojo kwa moja kwenye mada"
Kumekuwa na takwimu inasambazwa kwenye magroup mbalimbali ya michezo eti Mnyama mkali kuliko wote mwituni ndie anaongoza kwa kupiga pasi nyingi.
Mimi kama mwana simba...
Licha ya magoli ambayo Jean Baleke amefunga msimu uliopita katika premier league kiuchezaji Mosses Phiri ni mchezaji wa class ya juu zaid kuliko Baleke, Sijui kwanini kocha hataki kumuamin huyu...
Shirikisho la kabumbu Afrika (CAF) limeyakubalia mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya Afcon 2027
Ambapo Kwa uchambuzi wangu naona raisi wa Shirikisho la mpira barani Africa...
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.
Wabongo tuache unafiki wa...
"Kwenye Boxing(masumbwi) kuna mashabiki bondia asiposhinda kwa knock out hawaridhiki, wanataka bondia ashinde sio kwa point bali kwa knock out. Ndivyo ilivyo hata kwenye soka, mashabiki wa Simba...
Nimeona Dogo Mwakinyo anamcheka jamaa Kiduku, baada ya kupigwa na dogo kutoka south, je yeyey mwakinyo angeweza kumsimamisha huyu msauzi.
Kwa maana tukumbuke huyu Mwakinyo alipigwa na Mlevi...
E D D O K U M W E M B E
[emoji860]"Jana Yanga kashinda moja kwa tabu akaupiga mpira mwingi .. Leo Simba kashinda kiurahisi lakini hajaupiga mwingi. Wote wamefanya kitu muhimu POINT TATU. Yote ni...
Fursa ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mataifa Afrika Mwaka 2027 kushirikiana na Kenya na Uganda ni major economy breakthrough! Rais Samia ametoa wito tutatumia kila aina ya rasilimali kila Sekta...
Huu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi tarehe 30.
Dah kazi ipo!
Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje?
---
Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa...
Yanga ni timu kongwe kuliko timu zote zinazocheza ligi kuu.Ni timu iliyotakiwa kuwa mfano kwa mafanikio ya kimataifa kwa timu za ndani.
Hata hivyo jambo hilo limekuwa gumu sana kwao hasa...
Mimi sio shabiki hoya hoya, nilikuwa nikienda uwanjani bila kujalj kama mm ni Simba lia lia, kiukweli katika maisha yangu moja ya mawinga hatari niliowahi kuwaona kwa macho yangu ni huyu marehemu...