Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni lini mtanijengea Sanamu langu GENTAMYCINE hapa JamiiForums au basi hata tu Kunupigia Salute kama Heshoma, kwani huwa nawapeni Taarifa kabla na Uhalisia wake huwa kuja kuwa Kweli. Kama tu...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Jana Wananchi aka Utopolo walipata burudani ya kutosha ndani na nje ya uwanja. Hongereni watani kwa ushindi. Mlistahili kwa kuwa mna timu nzuri.
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mipango na mikakati yao nje ya uwanja ndio inawalipa, wala sio uwezo wa wachezaji, wakifika mji wa watu wanakwenda kusaidia watoto au yatima, hii sio jambo la bure, mara kutoa damu (wakati...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kumekucha! Mwisho wa kuucheza mpira mdomoni ilikuwa jana. Leo tunasubiri vitendo, zile 5 mlizokuwa mnafunga kwa mechi ya mdomon ubavu mnao wa kuzifunga kwenye dimba la ukweli?
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Uongozi wa Singida Big Stars umefanya maamuzi ya kuiuza timu hiyo kwa wamiliki wa Fountain Gate ambapo sasa timu hiyo imebadilishwa jina na kuwa “Singida Fountain Gate Footbal Club.” Aliyekuwa...
5 Reactions
114 Replies
14K Views
Power Dynomos 0 Simba 1 au Power Dynamos 0-Simba 2 Al Marekh 0 Yanga O au Almarekh 1- Yanga 1.
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwaaminisha watu kuwa Yanga ni timu dhaifu na kuwa ilishiriki kombe la Luza na hawataambulia chochote msimu huu. Mashabiki wa Makolo wanajaribu...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Nafikiri mechi za leo zimeonyesha na kuondoa shaka juu ya timu gani inao ukuta wa yeriko, beki bora zitakupa matokeo bora na beki dhaifu zitakupa matokeo dhaifu ya kushikilia roho na kubaki na...
15 Reactions
53 Replies
4K Views
Klabu ya Barcelona inadaiwa inataka kumsajili winga huyo wa Manchester United katika usajili wa dirisha dogo la Januari 2024 baada ya kutokuwa na uhusiano mzuri na kocha wake, Erik ten Hag...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo. Ligi ya mabingwa Afrika ndyo inaanza leo rasmi achana...
33 Reactions
765 Replies
56K Views
Luiz Miqquisone ni mmoja ya wachezaji wazuri sana kuwahi kusajiliwa katika ligi yetu hapa naongea kwa mujibu wa kiwango alichoonesha mara ya kwanza alipokuja Simba akitokea Mamelod sundowns ya...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Wawakilishi Wa Tanzania katika Michuano Mikubwa Kabisa kuliko Yote inayoandaliwa na CAF ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga na SIMBA zimeweza Kufanya vyema na Kuheshimisha Taifa. Simba Wakiwa kwenye...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Uchambuzi wangu Leo Kwa michezo tuliyopata kuishudia siku ya Jana Kwa kweli soka la bongo limekua Kwa kiasi kikubwa timu zinacheza Kwa kujiamini Hadi ugenini Kwa upande wa ndugu zetu...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Baada ya Feisal Salum kuzungumza leo kupitia clouds fm mambo mbali mbali aliyopitia yanga na maisha yake ya soka kwa ujumla ila bado kuna vitu vinafikirisha sana kwa yale aliyoyasema dhidi ya...
21 Reactions
149 Replies
6K Views
"Naam Amri Masare yaani tokea tuingie Rwanda na Msafara wa Mashabiki wa Yanga SC na sasa tunakaribia Jijini Kigali hatujakutana na Trafiki yoyote, Beria yoyote wala matuta ya Kupunguza mwendo...
20 Reactions
84 Replies
7K Views
Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal! Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh...
3 Reactions
90 Replies
7K Views
Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80. Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo...
5 Reactions
98 Replies
8K Views
Kuumia kwa Manula na ghafla kuibuka kwa Ally Salim kama Kipa wa kuaminika kumekuwa na majungo ya chini kwa chini kuwa ni ndumba zinafanya kazi. Sasa hiki kinachomkuta tena huyu kipa mgeni wa Simba...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Na kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC...
1 Reactions
12 Replies
842 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…