Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yoyote anayemtesa huyu jamaa kwa misumari basi ajue anatukosea sana wapenda kabumbu. Halafu kwanini wachezaji wazawa wanawabagua wachezaji wageni hapo lunyasi? Hata picha inajieleza tu
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna kanuni moja ambayo inasema Pata ili utoe Natoa ili upate Kwenye vitabu vya dini vinasema ili upate baraka za Mungu ni lazima ukumbuke maskini Pia kwa shetani kuna kanuni ambayo inasema nipe...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
CAF's TOP 5️⃣0️⃣ Ranked Clubs in Africa after the group stage of the 2022/23 CAF interclub competitions: Based on the 5-year RANKING! 1. 🇪🇬 Al Ahly 2. 🇲🇦 Wydad Casablanca 3. 🇲🇦 Raja Casablanca...
14 Reactions
83 Replies
14K Views
Leo kwenye mechi ya ligi kati ya wenyeji Kitayosce (Tabora United) na Prisons (Magereza kwa Kiswahili) ile sehemu ya kuchezea (pitch) ukweli inatskiwa ifanyiwe maboresho makubwa.
0 Reactions
3 Replies
839 Views
Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga. Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujuzwa... Je, Azam wataonyesha mechi tajwa hapo juu hapo kesho? Natanguliza shukrani
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kifo Cha Mpira wa Pogba kinachodhaminiwa na nduguze kikaribu kuja. Kipindi wewe unapambana Hadi kuroga upate pesa wenzako wanatamani kuzikosa maana zinawaletea shida na matatizo kila uchao. Ndugu...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Kiungo wa timu ya Juventus, Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 30, amesimamishwa kucheza kandanda kwa muda baada ya kukutwa na kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli. Uamuzi huo umechukuliwa na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilipokuwa Juventus katika moja ya mechi dhidi ya Intermilan. Materazzi alinichezea rafu mbaya kwa kusudi na kuniumiza. Nilitamani kurudi na kulipiza ilishindikana. Niliporudi Ac Milaln Kati ya...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Mimi nilijua ni rika moja na Feisal Salum . Au basi!!
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Zaidi ya bus 5 za wanachama wa CCM. kutoka Sengerema. Kesho wanaelekea RWANDA kuisapoti Yanga. Hago yajili mji wa. Sengerema shamra shamra zimeanza. Kwa mbwembwe za mashabiki wa Yanga kutoka...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika. Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu...
7 Reactions
67 Replies
3K Views
Habari ndio iyo, mwendo ni 5G kwa Kila anayekuja mbele yetu. Makolo Wana haha huko walipo mavi vanagonga vyupi[emoji23][emoji23]
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunaenda na mabasi 80 yaliyojaa, Kila basi Lina avarage ya 55 passengers ..so total kwa basi 80 n 4,400 na kila abiria aliambiwa anaandae 50k ya hotel na sio lodge, bado Kuna wale wataoenda na...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mkiambiwa Mpira wa Afrika ni Vita na kutokana na Ugeni wenu jifunzenj kutoka kwa Wazoefu wa Mashindano ya Kimataifa Simba SC hamtaki. Taarifa ikufikie kuwa kuna Tetesi kuwa Klabu ya El Merreikh...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Mchezaji wa Kimataifa wa Ghana mtukutu Benard Morrison au BM3 au Ben Maokoto au vyovyote vile utakavyomwita awajaza Waarabu kwenye Rada yake. Na hatimaye wamejaa. Pamoja na kutokuwa na imani naye...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Tunajuana na ndiyo maana nimeamua kutoa tahadhari mapema nikiamini wanaoenda Ndola Zambia ni Wastaarabu mno. Kuukweka ni Kujisaidia Haja Kubwa. Ni Lugha ya Wazaramo hiyo na Mimi GENTAMYCINE ni...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana tumeshuhudia mchezo wa kiume kweli kweli kati ya Taifa Stars na wenyeji Algeria. Wachezaji wa Taifa Stars jana wameipigania Bendera ya nchi yao kweli kweli, pamoja na Algeria kusheheni mastaa...
4 Reactions
66 Replies
6K Views
Wataalam naombeni kujua kuhusu hili, maana amezaliwa England kwa Mama Mzungu na Baba Mtanzania wa Zanzibar. Kwenye timu ya England U 17 amecheza pia. Na sasa ni kati ya mabeki wetu wa...
7 Reactions
46 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…