Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nikiwa kama mwarabu niwatakie ushindi mkubwa waarabu wenzangu wa Algeria. Hawa waswahili wanakelela sana, hakikisheni mnawapiga goli za kutosha kuanzisha 7-0 na kuendelea ili warudi kushabikia...
3 Reactions
16 Replies
714 Views
Micah Richards Siku ya mwisho ya dirisha la usajili aliangukia mikononi mwa Fiorentina. Alikuwa hajui neno lolote la Kitaliano. Alikutana na mwenyeji wake ambaye ni Balotelli. Katika zoezi la...
1 Reactions
3 Replies
678 Views
Naomba msaada wa ufafanuzi toka Kwa Watanzania wenzangu. Tangu Jana majira ya saa 6:10 usiku kuna Watanzania wameanzisha nyuzi humu JF na mitandao mingine kuonyesha jinsi walivyo na kinyongo Kwa...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Na hapa wala tusidanganyane Lengo la Watanzania wengi lilikuwa ni Kucheza tu AFCON 2024 huko Ivory Coast ila Mioyoni mwao wanajua na wanakubali kuwa inaenda kuwa Kapu la Magoli kwa Timu ambazo...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Nawakumbusha tuu ni katika Uongozi wa Rais Samia ndio Taifa hilimlimepata mafanikio makubwa sana kwenye sekta zote kuanzia uchumi na Biashara, Huduma za jamii Hadi Michezo. Hivi ndivyo Rais Samia...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
Habari za Mda huu watanzania wenzangu Kwa nilivyokiona kikosi Cha tiafa stars Jana ni uhakika kuwa kocha HAPANGIWI KIKOSI na mtu kama angekuwa anangiwa kikosi Nina uhakika asilimia 100% kiungo...
6 Reactions
12 Replies
866 Views
Kumbe Ng'ombe wa maskini hazai. Makala ndeefu tulizoandaa kuweka magazetini na mitandaoni tumelazimika Kuzifuta kimyakimya. Mpaka Sasa wengi tuko vitandani hatujaamka tunahisi tukitoka nje...
16 Reactions
48 Replies
3K Views
Watalam wa gozi nadhani mtakuwa pamoja na mm, hili ni JINI la RED Devils. Mguu wake kama robot loooh!!! Unbearable, muhuni ana mbio na mashuti ya mikito utadhani kashushwa direct from heaven...
2 Reactions
12 Replies
758 Views
Yaani Tanzania hii ya Mabeki wabovu akina Dickson Job na Bakari Nondo Mwamnyeto ndiyo iwafunge kweli Algeria, Uganda na Niger? Yaani Tanzania hii ya Kiungo mbovu na Mrembua Macho muda wote Feisal...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Namshauri kocha wa Stars maana Niger wanaweza kujiangusha kwa Uganda huko kwao ili kutukomoa kutokana na kitendo chetu cha Ball Boys kurusha hovyo mipira uwanjani ili kuchelewesha muda. Mechi...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari za jioni Watanzania wenzangu. Kwa miaka ya hivi karibuni mpira wa Nchi yetu umechangamka sana. Vilabu vyetu Simba na Yanga si tu vinaogopeka baki pia vinacheza mpira wa kuvutia kwa viwango...
11 Reactions
35 Replies
3K Views
Kumekuwa na mjadala na kutofautiana kwingi kuhusu ubora wa Ligi ya NBC. Kufuatia Taifa Stars kufuzu kwenda fainali za AFCO 2024 huko Ivory Coast, bila kujali kiwango tulichoonyesha katika hatua...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika wachezaji waliokua wamechokwa na mashabiki wao basi hutakosa kulitaja jina la Kibu Dennis Alikua amechokwa haswa, kwa sisi tuliokua tunaangalia mpira huku vibanda umiza tulikuwa...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Aliyekuwa mtendaji mkuu wetu aliyepita ndugu Barbara alianzisha harambee ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja chetu ambapo mwekezaji wetu alitoa bilioni 2 kama mchango wake binafsi...
17 Reactions
59 Replies
3K Views
AFCON inatarajiwa kuanza huko Ivory Coast chini ya miezi 4 kutoka sasa. Unaenda kutafuta mechi ya ushindi lakini mategemeo yako ni kina Boko ambao hawajacheza mechi ya ushindani kitambo sana maana...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Man united wameanza ligi kwa kuchechemea wakianza na ushindi wa mbinde nyumbani kisha kipigo ugenini kwa Spurs Arsenal nayo imeanza ligi kwa ushindi wa mbinde 2-1 nyumbani dhidi ya N.forest na...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Kama miaka ingekuwa inarudi nyuma, basi ningeirudisha ili nione wababe hawa wawili ambao wametangulia mbele ya haki walivyokuwa wakiumizana pale katikati ya dimba, ubabe sio wa kawaida. Simba...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu". Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…