Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nini kifanyike twende AFCON 2023. Tusiwe wanyonge TAIFA STARS tujipange game zote za nyumbani tushinde do or die. Uwezo tunao tukiacha unyonge. Wandishi waisupport timu shida inakuja wandishi...
1 Reactions
9 Replies
802 Views
Wakuu Naskia sana kuwa team yetu hii ina project yake ya kujenga team ya vijana ya baadaye. Well ni jambo zuri lakini sioni hawa vijana wetu wakipewa mkataba wa muda mrefu. Mfano huyu dogo bacca...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Tukutane baada ya mechi Sis Kama timu Uganda tumejipanga vyema kuhakikisha tunashinda hii mechi yetu. Viva Uganda Timu sio kabila una haki ya kushangilia kile unachokipenda KATAA UTUMWA
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Beki huyo wa kati ambaye msimu uliopita aliitumikia Marseille ya Ufaransa kwa mkopo, amekamilisha mchakato wa kutua Besiktas ya Uturuki baada ya kukosa nafasi chini ya Kocha Erik ten Hag. Bailly...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Natamani ifanyike kampeni kubwa ya kuhamasisha timu yetu ya taifa kwenye mashindano ya AFCON 2023 yatakayofanyika Ivory Coast 2023. TFF na Serekali huu ndiyo wakati wa kuunganisha nguvu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
... [emoji599] ›› 𝘼𝙇 𝘼𝙃𝙇𝙔 - 𝘼𝙐𝙎𝙏𝙍𝙄𝘼 Hapa sio Egypt [emoji1093], ni Austria [emoji1038] Mashabiki wa klabu ya Al-Ahly wakifuatilia timu yao ambayo iko Nchini Austria [emoji1038] kwenye...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Leo nilikuwa mahakamani ambapo nilikutana na mtu mmoja aliyenimbia kuwa ana kesi yake mahakamani lakini hana Imani kama mahakama itatenda haki. Kwa uzowefu wangu ni kwamba watu wengi hawana Imani...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Salam za Jumapili. Nipo zangu ndani ya bajaji, ghafla tu mjadala wa vigezo vy timu kushiriki African Football League ukaanza ( maarufu kama Supa Ligi). Kuna mgeni amealikwa sijui wanamuita...
11 Reactions
117 Replies
8K Views
Habari, mnamo tar 6/8/2023 nlianzisha uzi huu Kuna haja ya kuwa na JF Fantasy EPL ambao ulikuwa unahusu haja ya kuanzishwa FPL ya Jamii Forums. Kufuatia uzi huo members mbalimbali walipata muamko...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kocha na mchezaji wa zamani wa Al Ahly,Mokhtar Mokhtar amesema kwenye michuano mipya ya African Football League,timu yao wanahofia mechi dhidi ya Mamelodi Sundowns ambao wanaweza kukutana nao nusu...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Aliyekua beki wa klabu ya Yanga raia wa kimataifa wa Congo Djuma Shabani ametimkia klabu ya Azam ya jijini Dar-Es-Salaam kwa mujibu wa taarifa mbalimbali. Beki Djuma Shabani ameonekana kwenye...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Mizimu yangu ya kinyiramba na Kiha inaniambia kuwa iwapo Taifa Stars atamimina pira Gamondi,basi kwenda Ivory Coast ni uhakika Wacheze mpira wa popote kambi na kwamba kushinda ni dimba lolote...
8 Reactions
67 Replies
4K Views
Na hivi anavyopenda kwenda Kwao ( Brazil ) mara kwa mara nina uhakika hii Taarifa ya kutokea kwa Mafuriko makubwa nchini Brazil hivi sasa atakuwa anaitafuta Pasipoti yake ilipo na baadae awapigie...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Akihojiwa na EATV mjumbe wa kamati tendaji Yanga bwana Alex Ngai amesema Yanga wanatamani siku moja na wao wapate fursa ya kushiriki African football league, lakini amewatakia kila la Kheri Al...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwa mfano GENTAMYCINE nina Taarifa za uhakika kuwa kuanzia Keahokutwa ( Jumanne ) Klabu ya Al Ahly itatuma Majasusi wake Wawili ambapo Mmoja atakuwa na Kazi tu ya Kuisoma na Kufuatilia Simba SC...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna watu wajinga sana, wengine sisi tumeanza kwenda uwanja mwaka 1988 enzi hizo wengine hamjulikani kama mtazaliwa, eti sijamuona Roster Ndunguru nimesimuliwa, mimi niliyezaliwa Ocean Road...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
"Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA)...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Timu ya mpira wa miguu ya Simba leo tarehe 05/09/2023 imeendelea na kucheza mechi za kirafiki za ndani kwa ajili ya mazoezi ambapo imecheza na timu ya Cosmopolitan. Simba imepata goli 5 dhidi ya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wasalaaa.. Nitoe wito kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba uwekeze nguvu zake kwa ajili ya Kombe la Mapinduzi maana ndio tunaweza kulichukua kwani kwenye hii michuano timu nyingi zinapeleka vikosi...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
ANAITWA Peter Banda alipewa ‘Thank you’ yake ndani ya klabu ya Simba. Inanikumbusha namna alivyoingia nchini kwa mbwembwe akipewa jina la ‘Wonder Kid’. Kwamba ni kijana mdogo mwenye maajabu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…