Kwa Tanzania ili timu ijue ubora wake ni lazima icheza na Simba na kuifunga.
Ndiyo maana timu nyingi zinapocheza na Simba uahidiwa mamilioni ya fedha tofauti zikicheza na timu nyingine.
Timu...
Simba sio timu mbaya, ni timu nzuri mno
Lakini laZima tubaki kwenye lengo mama kuwa tunatengeneza timu.
Timu yetu Bado changa kushindana Kwa ajili ya ubingwa, tusiwape wachezaji wetu pressure...
Jambo hili linanifikirisha sana hasa nikifikiria wale wanaokula 5 halafu inawasajili kama wachezaji bora huku wanapotoka wanaoneka hawafai.
Kitendo hiki cha nyuma mwiko sio kigeni kwenye ligi...
Sikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya...
HIKI HAPA CHANZO CHA UGOMVI WA Vinicius José Paixão de Oliveira Júnior NA NAHODHA MKUU WAKE Luca Modric USIKU WA JANA:
Dakika 5 kabla ya mchezo kumalizika baina ya CD Leganese dhidi ya Real...
Mpira aliopiga leo kurudisha kwa kipa, aliupiga akiamini goli kipa upo eneo sahihi. Kwa bahati mbaya Camara kama kawaida yake alikuwa kaisha liacha goli hivyo ule mpira ulimshinda kuukoa...
Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa...
Shirikisho la Soka la Kongo (FECOFOOT) limefungiwa na FIFA kuanzia Februari 6, 2025, hadi itakapotangazwa tena, huku sababu za uamuzi huo zikiwa bado hazijawekwa wazi. Kufuatia kusimamishwa huko...
AMLI MIROUD kaajiriwa Singida na kupewa leseni na TFF ya kuifundisha Singida inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara
Leo hii inakuwaje awe na sifa za kuifundisha Singida inashiriki ligi kuu...
Rasmi leo ndio umekua mtu mzima wa kimpira, ingekua kimaumbile tungesema umebaleghe hii leo
Matusi, kejeli, na dhihaka zote utakazopokea leo ni ukaribisho kwenye ukubwa wako, yasikutishe tamaa na...
Na kama haitoshi hadi Wachezaji muhimu muhimu wakawa wanapeana Namba za Simu na Watunga Sheria wenye Umri Mdogo (wa Jinsia tofauti na Wao) na wale ambao Umri ulishawaacha.
Mpo Vitani huku mkijua...
Hapo vip!!
Katika pita pita mitandaoni nimekutana na andiko kama hili nikaona inaukweli mkubwa sana.
Mimi nimshabiki wa Simba ila sijawahi kuelewa huu mpira wa kurudisha nyuma unaochezwa na...
Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa...
Mbio hizi zilihitaji timu husika iwe Bora kweli kweli na Ichange karata zake vizuri kwenye Kila mechi ili kuweka sawa mahesabu,
Timu ambayo ingeteleza kidogo tu basi ndio ingeanza kutoa fursa kwa...
Radack Chasambi alionekana kutoa maoni yake juu ya mchezaji kioo kwenye ligi, Yeye Kwa mtazamo wake aliamua kumtaja Maxi Nzengeli kuwa ni mchezaji anayemvumtia na ana mtazama kama kioo na kufata...