Kocha wa Timu ya Taifa ya Congo DR simwelewi yaani kamuita Beki aliyekuwa Majeruhi Henock Inonga wa Simba SC inayoshiriki Kombe jipya na lenye UTAJIRI mkubwa unaoshirikisha Vilabu Bora na Vikubwa...
Leo nime kutana na hii app Ina muvi ZILIZO TAFSIRIWA pia inaonesha mechi live nawewe unaweza kuijaribu, App IPO playstore link yake hii hapa ibofye kuipakua [emoji117][emoji117]Nijuze Tv - Mpira -...
Mara kadhaa niliwahi kuahidi kuleta uzi unaohusiana na mada hii, leo nimetulia kidogo nimeukumbuka. Ngoja nitiririke.
Kuna hii kasumba iliyojengeka kwenye mpira kudhani kuwa mchezaji yoyote hasa...
Ninazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu...
Tokea Alhamisi iliyopita (ila najua baada ya Kuumbuka kwa leo wamefanya Editing) Kurasa halisi (Official Page) ya Yanga SC na zile za Mashabiki wake Wapuuzi Wapuuzi walitutangazia kuwa Mchezaji wa...
Ni aibu kwa Watanzania mechi kama Simba na Power Dyanamos na Yanga na El Merreck zote zinapigwa kwenye nchi Jirani border to border kama viongozi wanashindwa kuwaandaa mashabiki wa timu hizi...
Huyu binti anaitwa Miche Minnies ana miaka 13 na ni mchezaji wa timu ya wanawake ya Mamelodi Sundowns ya Africa Kusini.
Miche Minnies anavuma mtandaoni kwa ufanano wake na gwiji wa Brazil...
Pale Mtibwa Sugar, kuna nahodha kiongozi Shaban Nditi. Amecheza soka la kiwango cha juu kwa muda mrefu bila kuchuja. Amedumu sana kwenye soka la ushindani hapa Bongo.
Ukifika kwenye kikosi cha...
Mashabiki wengi wa simba wanafikiri yanga ya zamani ndo yasasa
Zamani walizoea kuona yanga akishindwa kuingia makundi ya club bingwa na wakati mwingine ya shirikisho
Niliwahi kusema kuwa siku...
We should all calm down and support Simba . Watuwakilishe vyema .
Super league ni Kama trial . Bonanza la famous African teams . Na 5 billions ni winners money.
A senior FIFA official...
Azam Media na Shirikisho la Soka Kenya waingia mkataba wa haki ya matangazo kuonesha ligi ya Kenya wenye thamani ya Shilingi za Tanzania Bilioni 23, kwa muda wa miaka saba.
Hii ni hatua njema kwa...
Kiukweli ana uwasilishaji mbovu mno.
Anarudia rudia kitu kimoja hata mara tano.
Halafu na wao huwa sioni uhimu wa yeye kutoa taarifa tena maana ni kama tu anarudia kile ambacho wakina Lwambano...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma Septemba 3, 2023 Jijini Dar Es Salaam amefungua mashindano ya mchezo wa rede (Gwajima Rede cup) katika jimbo la Kawe.
Akizungumza wakati...
Leo mchana nimeota ndoto mbaya inahusu kolowizadi kupigwa mkono na Al ahly October 5, kwa mkapa na kule Masri nikasikia watu kama waarabu wanaimba sabah sabah sabah. Wala Sijui walimaanisha nini
Simba imesheheni wachezaji wa hatari sasa hiv, ile Simba ya anaanza Shekhan, Emmanuel Gabriel na Yussuf Macho halaf wanatoka anaingia Wycliffe Ketto, Joseph Kaniki na Athuman Machupa ndio hii, hii...
"Ni kweli tuna Mechi ngumu na muhimu dhidi ya Algeria ila tumeamua kutotangaza Maandalizi yake ili kutowapa Presha Wachezaji kutoka kwa Mashabiki na Wanamichezo. Pia nichukue nafasi hii kuwataka...
Kumbe Five Five za Kubahatisha kwa Wasiojua Baharini FC pamoja na Kutamba Kwao kote wana miaka 25 hawajacheza Group Stage ya CAFCL?
Kuanzia leo nawavua Vyeo vyote nilivyokuwa nimewapa nibaki tu...