Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Kiwango cha Azam ni kibovu sana, mtu yeyote mwenye akili hawezi kwenda na kocha huyu, azam wanaongoza bao 2 1 hadi sasa dakika ya 59 lakini nina uhakika hata kama wataiondoa Bahir leo, kocha hana...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mlinzi huyo Yassine Chueko ambaye ni Mwanajeshi wa zamani wa Marekani ameajiriwa na Inter Miami kwa mapendekezo ya mmiliki wa Klabu hiyo, David Beckham kumlinda Lionel Messi popote anapokwenda...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Dabo amemdhalilisha sana Ayoub Lyanga, amemweka benchi kiungo huyo wakati ana mchango mkubwa sana.Simba kama usajili wetu bado nafasi ndio hiyo.
1 Reactions
1 Replies
772 Views
Kutokana na hali kutokuwa shwari nchini Sudan kuna uwezekano mkubwa kwa timu ya AL Merrikh kutafuta Uwanja nje ya Sudan watakaoutumia kama wa nyumbani dhidi ya Yanga. Na hii inaweza kuwaongoza...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani...
5 Reactions
260 Replies
22K Views
Historia huwa haidanganyi hata siku moja. Unaweza ukawa unajiuliza tatiza la Azam FC ni lipi. Mpaka sasa na usiwe na jawabu la swali hilo. Historia inatuambia kuwa kila nyakati au msimu ambao...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Kati investment nzuri waliowahi kufanya madrid ni kumsajili vinicius toka brazil, alianza kwa kususua sana ila sasa ni bonge la player, ana speed, mbunifu, technical, ana nguvu, aisee yuko poa...
3 Reactions
3 Replies
873 Views
Simba wamekataa kutumia uwanja wa chamazi kwa ajili ya mashindano yoyote yale, wako tayari wakacheze uwanja wa nanjirinji kilwa lakini sio uwanja wa Chamazi, kwa sasa uwanja wa chamazi ni mali ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Azam ni timu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa Bongo, inamiliki uwanja wake, Ina miundombinu yote ya kisasa inayohusiana na mpira wa miguu. Cha kushangaza Azam haifanyi vizuri kitaifa...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Pre season inaendelea huko nje ya nchi. Nitumieni picha za pre season za timu kama Madrid au Man city wakiwa hivi niwaonyeshe chips zenye ukoko.
9 Reactions
37 Replies
6K Views
Inanishangaza kumpa kumtafuta kocha mbali huko ambae hata CV yake haijulikani wakati hapa hapa ndani Kuna Makochaambao wapo na wanaweza kupanga koni vizuri. Sote tunajua mpira wa kibongo nguvu...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Sio Kwa Ubaya, Nikiri Wazi Mimi ni Shabiki Kindakindaki wa Simba Sc. Naipenda Hii Timu mnoo. Ila Katika mpira au Biashara yoyote ya Ushindani Ni Vizuri kujifunza Mpinzani wako wa Karibu yeye...
26 Reactions
82 Replies
6K Views
Ameandika @jemedarisaid MZAHA USIOUDHI. Msimu uliopita niliandika MZAHA USIOUDHI nikawaambia watu wa Mnyama kupiga picha na msimamo manake huenda isingetokea tena, watu wakaja na matusi...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Video Assisted Referees (VAR) hatuna kwanini tusianzie na tv re-play (slow motions) viwanjani kwa baadhi ya matukio kama uhalali wa magoli na offsides? Goli la Konkoni kwenye mechi ya Yanga vs KMC...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa tulioanza kufatilia mpira mwishoni mwa miaka ya 90 nafikiri tunamkumbuka huyu fundi wa kidachi. Kwa kifupi huyu mwamba ndie mentor wa Thiery Henry. Wakati Max Nzengeli anageuka na mpira...
16 Reactions
38 Replies
2K Views
Huyu beki wa Mashujaa ni balaa - hamutajutia kumsajili katika vilabu vyenu. Ni ushauri tu
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Je unaona kama mimi au unaona kama mimi? Ikitokea Yanga SC akamaliza ligi akiwa ame concede goals above 5 ninaweza ahadi ya kugawa elfu 10 kwa kila mwana JF ya bando. Tumecheza mechi nne mpaka...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Ulifata mkondo wa wazazi /ndugu, ulivutiwa na mchezaji wa timu husika, kuna tukio la kufurahisha au kuuzunisha lililikufanya uipende timu yako? Binafsi nimeanza kufatilia mpira nikiwa na miaka 6...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
BARUA YA WAZI KWA MTENDAJI MKUU WA KLABU YA SIMBA Kwako Barbara Gonzalez Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba. Kwa heshima kubwa nakuandikia barua hii nikiwa na uchungu na masikitiko makubwa sana...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…