Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa namna nilivyofuatilia suala la Mosses Phiri tangu awekwe benchi mechi ya Simba day mashabiki wamelalamika sana kwann hapangwi wakati anaonekana benchi, inakuwaje Bocco awe anacheza halafu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kumekuwa na tetesi kuwa timu kubwa vigogo hapa nchini za Simba na Yanga zote zinaiwania saini ya straika Simon Msuva. Msuva yupo nchini tangu mwezi Juni mwaka huu, baada ya kumaliza mkataba na...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa. Hawa...
19 Reactions
60 Replies
4K Views
Habari wana-JF. Mimi ni mpenzi mkubwa na mfuatiliaji wa soka ila ligi ya Tanzania ilinishinda kwa namna inavyoendeshwa kishkaji. No professionalism kama wanavyojinadi kwa kusaini mikataba kwa...
11 Reactions
13 Replies
1K Views
Tumeona haya kwenye soka la wenzetu huko Duniani wachezaji wakivuna mabilioni ya dollars kwa kuingia mikataba binafsi ya Udhamini. Na hii inamfanya mchezaji kuvuna pesa ndani na nje ya Uwanja...
2 Reactions
10 Replies
953 Views
Afisa habari wa klabu ya Kitayosce, Pendo Lema amesema walikuja Dar es Salaam na wachezaji (20) kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam football club. Jana asubuhi walikamilsha malipo yote...
16 Reactions
69 Replies
5K Views
Katika tathmini yangu ya uchezaji na mchango wa Mohammed Hussein kwa timu ya Simba, uchezaji wake umekuwa unaleta makosa mengi kwa timu. Mfano katika mechi ya leo, Zimbwe alifanya makosa mengi...
3 Reactions
57 Replies
5K Views
Unawezaje kuwa tajiri halafu ukasubiri wachezaji wazuri kutoka timu za ndani ndio uwasajili badala ya kutumia hela zako kusaka wachezaji wa kimataifa moja kwa moja kutoka huko nje? Japo kuna...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Muda huu wapo live dakika ya 35 Sweden wako mbele Kwa Gori Moja la penati mbele ya mwenyeji Australia Kesho saa saba ni fainal kati ya uhisipania dhidi ya england USSR Sent from my TECNO B1c...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
NOAH CUP 2023 KUANZA KUTIMUA VUMBI UWANJA WA ILBORU ARUSHA Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Jijini Arusha, Mhe. Noah Lemburis Saputu Tarehe 12 Agosti, 2023 katika Uwanja wa Michezo wa Ilboru...
1 Reactions
3 Replies
964 Views
Aliyewahi kuwa Kocha wa Yanga Princess Edna Lema atangazwa kuwa Kocha Msaidizi wa Timu ya Biashara United ya mkoani Mara akiungana na Aman Josiah na Ivo Mapunda.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila mtu ameona. Ni kama hawakwenda preseason. Waliobaki hapa Dar ndio wameonekana wameiva. Ushamba na makelele ya Uturuki na Tunisia kwisha! Usifanye mchezo na dk. 180 (mechi 2) bila goli.
11 Reactions
62 Replies
3K Views
SURA: V MCHEZO Kanuni: 17 Taratibu za Mchezo (1) Michezo yote ya Ligi Kuu itachezwa kwa kufuata sheria kumi na saba za mpira wa miguu za FIFA (17 Laws of the Game). (2) Kutakuwa na mkutano wa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya ingizo lake tu matundu yaliyokuwa yametobokatoboka aliweza kuyaziba ipasavyo na kupelekea Simba kuwa imara kabla ya ingizo lake.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Dah nimeshtushwa sana nilipokuwa naangalia mechi za ngao ya jamii kuona nembo ya CCM pale uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Sikuwahi kujua ule uwanja unamilikiwa na chama. Kwa hiyo maboresho yote yale...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Huko nyuma alikuwa na Nidhamu sana ( kwa kuwa Mtu wa Ibada na Kuchukia Starehe ) ila GENTAMYCINE nimesikitika mno tokea mwaka jana ( Msimu ulioisha ) hadi huu wa sasa ulioanza Kiwango chake...
10 Reactions
10 Replies
1K Views
Kauli Mbiu ya Mashujaa FC kutoka Mkoani Kigoma ( kwa Watani zangu Washamba ) inayomilikiwa na JWTZ na inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania inasema MAPIGO NA MWENDO hivyo mtakavaana nao Kikitokea...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Simba tumeshinda pambano la Ngao ya jamii kwa kucheza mechi mbili dk 180 bila timu yetu kufunga hata BAO moja kimiani. Tunajiuliza ni nini hiki, Ubovu wa kocha, wachezaji au ubora wa timu...
10 Reactions
65 Replies
3K Views
Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi...
9 Reactions
44 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…