Kevin De Bruyne amepata majeraha ya nyama za oaja wakati timu yake ya Manchester City ikishinda magoli 3-0 dhidi ya Burnley katika mchezo wa kwanza wa Premier League.
Kocha wa City, Pep Guardiola...
Kwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.
Pila ottoman mmeliona ndugu zangu huyo ONANA hakabiki kabisa si mmeona jamani.
Konde boy...
FOOTBALL ECONOMY || Business Briefing. Akili ya Biashara inapaswa kuishi kwenye mishipa ya Damu ya Kila mfanyakazi wa Taasisi ya Kibiashara, kinyume na hapo kuna Siku yatatokea madhara ambayo ni...
Kwa sababu kwa asili ilikuwa MSHINDI WA KWANZA WA LIGI NA WA PILI WATACHEZA NGAO YA HISANI...ilikuwa SIMBA NA YANGA zicheze NGAO YA JAMII.
Sasa kulikuwa na haja gani ya mashindano...na huku...
Akihojiwa na wasafi amesema anashangaa watu wa haki za binadamu wakilalamika kwa ule ni udhalilishaji.
"Mimi nina haki ya kufanya sanaa, serikali haina bajeti kunilisha mi natafuta na ninalipa...
Mo ategemee kabisa kuwekewa vikwazo vya kutosha ili aiache timu viongozi wafaidi maokoto kutoka Africa.
Hii inaitwa unahangaika wee kufunga Nyati miguu, mdomo anatulia tuli Alafu ukimaliza...
Wanasimba nawapenda sana, ila naomba kulalamika, nimeomba ticket ya VVIP kuajili ya mtoto wangu: kamati ya Salim Mk wa board na pamoja na Mk wa simba Mwangungu na CEO Imani wamekataa. :- Je hii...
Niliwapa man city kutetea na Arsenal kuwa challenger mzuri msim Huu 2023/2024,lakin KWA usajili wa moises caicedo KWA pound million 106 kwenda liverpool,sasa majogoo wa jiji liverpool ni team ya...
Ni jambo jema kupeleka mechi kubwa katika maeneo tofauti ili watu wa maeneo ya huko ambao huwa hawana nafasi ya kuziona mechi kama hizo waweze kupata fursa hiyo. Shida kubwa inakuja kuwa viwanja...
Simba leo wameujaza uwanja ile Mbaya, wasanii wamepiga Shoo kibabe sana, Alikiba ndio kabisaaa.
Hii imeonyesha maana halisi ya Tamasha kubwa la Simba Day. Lakini wakati yote yakiendelea kutokana...
Japo nitaoneka sijui kitu, ama nataka kuharibu vibarua vya watu, lakini angalau na mimi nitoe dukuduku langu.
Kwakweli TFF angalieni namna nyingine ya kuwatumia waamuzi wa kike, ama watumike...
Nitalitekeleza hili kwa kuwa nje ya jf kwa kipindi husika(tajwa) kama mods watashindwa kutekeleza nilichoahidi.
JamiiForums Moderator
Wale wa ahadi zitakazotekelezeka tukutane hapa.
kila la...
Kila mtu ameona mechi ya Simba Vs Singida, kukosekana kwa mtu mbunifu kama alivyo mwamba wa Lusaka imeipa ugumu Simba kumaliza game ndani ya dk 90.
Chama hatocheza Simba milele ni lazima...
Kutokana na kutumika nguvu kubwa na Figisu ili mradi tu lastborn wa TFF achukue kombe/au kuanza vizuri msimu ili arudishe unafuu na Imani kwa mashabiki zake.
Muundo wa timu nne na kuichezesha...
Huyu bwana mdogo hajaingia uwanjani tangu january 2022 kwa sababu alikua na kesi ya kumtia vitasa demu wake hii ikapelekea Manchester United kumsimamisha kazi. Hatujamuona uwanjani tangu kipindi...
Nilishangaa mno kuona Benchi zima la Ufundi la Singida Fountain Gate FC pamoja na Msemaji wao Hussein Masanza aliyekuwa Jukwaani wakimhiimiza Mwamuzi Kumaliza Mechi huku nyuso zao zikiwa na...
Umoja wa Mataifa umeitaka FIFA kuhakikisha kuwa kufikia Kombe la Dunia la Wanawake lijalo 2027 kutoa kiasi sawa cha pesa za tuzo kama inavyotoa kwa upande wa Wanaume.
Rais wa FIFA Gianni...
Ifike mahala awa maafisa habari wawe wanaweka akiba ya maneno pindi wanapotoa matamko yao, kuaminisha mashabiki na wanachama ya kuwa unayo timu bora wakati uhalisia wa timu husika ni mdebwedo...