Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

1. Pamoja na kwamba wengi tumesoma mpaka PhD Ila timu yetu ya Tukuyu Stars ndio ilitambulika zaidi kuliko PhD zetu. 2. Tulivyo wa ajabu, hatujisikii aibu kushabikia timu za Ulaya huku timu yetu...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Rais kuhudhuria shughuli za Simba ni mpaka aalikwe kwenda Simba day, hii inatia mashaka, hivi Raisi wa Tanzania anashindwaji kubalance mzani wa usimba na uyanga ? Rais aliibembeleza Yanga ikubali...
0 Reactions
7 Replies
684 Views
Mainjinia waliochora na kuujenga uwanja wa Ben Mkapa walijenga uwanja huo kwa uwezo wa kuchukua uwezo siyo tu wa idadi ya mashabiki wanaotajwa wa 60,000 lakini pia makadirio ya uzito fulani. Ni...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†! Mario Balotelli kuinunua Simba S.C. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”΄βšͺ️ β—‰Kulingana na Balotelli, wanasoka wa Kiafrika wanaocheza Ulaya wana pesa ambazo wanaweza kujenga angalau viwanja vitano vya hadhi ya...
13 Reactions
36 Replies
4K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw Saidi Yakubu amesema timu ya Wakaguzi kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) kwa maandalizi ya AFCON 2027 imemaliza ukaguzi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Yanga jifunzeni ubunifu na hamasa Kwa Simba maana licha ya kuwa na msimu wa Mafanikio ila Bado hamjaifikia Simba kwenye mambo ya hamasa na ubunifu.
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Nawasogezea swali Hilo wananzengo maana Jana Kuna watu walibaki nje na tickets zao baada kutangazwa kuwa uwanja umejaa. Je hao walioingia ni waakina Nani na waliobaki nje ni wakina Nani na Nini...
1 Reactions
1 Replies
396 Views
Uwanja bado ni mweupe ndugu msikilizaji. Tuendelee kusubiri, tuwe na subira Hapa hapa JF, itakuijia mechi ya kirafiki kati ya Yanga na Kaizer Chiefs mishale ya saa moja usiku. Hakuna kukimbia
16 Reactions
501 Replies
45K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewangoza Watanzania kushudia burudani ya soka kwenye mechi ya kimataifa ya kilele cha Wiki ya Simba dhiodi ya timu ya Power...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa. Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
..[emoji617] |π™†π˜Όπ™•π™„ π™„π™‹π™Š Katika vitu vigumu ambavyo Kocha wa Yanga Miguel Gamondi (56) [emoji1033] atakutana navyo ni pamoja na kuamua nani amuweke bechi nani aanze kikosi cha kwanza . Kutokana na...
14 Reactions
21 Replies
4K Views
Akizungumza katika tamasha la Simba Day, Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa ahadi yake ya kutoa motisha kwa vilabu vinavyowakilisha Tanzania Kimataifa inaendelea "Ahadi yangu ya kununua...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Unachopanda ndio utakachovuma. Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Huyu jamaa ilikuwa ni kama kila siku kwenye taarifa ya habari unakutana na visanga vyake. Mara mahakamani, mara sijui wamezinguana na TFF, mara analalamika anaonewa, etc. Nafikiri tunaweza...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Rais wa nchi tunakupongeza kwa akili kubwa kubalance mambo kwa kuhudhuria Tamasha la Simba, Mwanzo walikubeza na kukutupia kila aina ya lawama baada ya kuwapa kongole kwa vitendo timu ya wananchi...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki... Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa...
25 Reactions
88 Replies
4K Views
Leo kuna mchezo mkubwa sana pale England. Ni mchezo wa ngao ya jamii, Man City Vs Arsenal. Man City ni bingwa mtetezi wa EPL pamoja na FA Cup hivyo atakutana na Arsenal aliyeshika nafasi ya pili...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Maandishi yanatakiwa ya balance sio yanakuwa na height kubwa kuliko width yake. Tafadhali tafuteni artists wa maandishi sio kila mtu anaweza kufanya vitu hivi. Hata nguo ulimpa designer lazima...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Simba wakubali siasa ipo kazini; kabla ya kumwalika Mhe. Rais katika event hii lazima wapo wanasiasa kutoka kwenye mashinda walihusika kukubali kuvaa jezi nakwenda uwanjani. Walioingia uwanjani...
0 Reactions
4 Replies
919 Views
Timu zote mbili zimecheza vizuri sana. 1)Ukuta wa Chemalone+Inonga mmh ni balaa. Uyo Malone ana jicho haswa 2)Kwenye kiungo naona nafasi ya Ngoma dhidi ya Mzamiru 3)Mganga wa Baleke anafanya...
1 Reactions
5 Replies
838 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…