Sport Fishing ni Uvuvi wa Samaki katika bahari, Maji ya ziwa, bwawa au mto Kwa ajili ya kujifurahisha, burudani au Mashindano. Hii ni aina tofauti na Uvuvi wa Samaki wa biashara na kujikimu, huu...
Michezo ni furaha, michezo ni umoja. Naomba nichukue forsa hii kuwatakia Mashabiki, Wapenzi, wachezaji, viongozi, wanachama wa Simba kila lenye heri katika kuazimisha siku yao.
Mafanikio...
Kwa mashabiki 10,000 wa kwanza kufika uwanjani kesho katika #SimbaDay2023 watapewa fomu ambazo watazijaza na washindi watatu watapatikana kutoka kwenye droo ambayo itachezeshwa na Blueberry Travel...
Timu ya Manchester City imemwaga mapesa kwa beki wa kawaida na kumfanya ndio awe Beki ghali zaidi Duniani.
Manchester City imemwaga [emoji387] milion 90, je, ni kweli uyu dogo anastahili hili...
Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day.
Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia...
Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa...
"Mimi ni Mtu wa Imani (Dini) sana na sipendi tabia ya Vilabu vingi vya Afrika kupenda Kuroga na Kuamini Uchawi na nikiwa katika Timu yenye huu Utamaduni nitawakatalia na ikiwezekana hata kuomba...
Huyu jamaa huwa kajiimarisha sana huko South Africa, na kajitahidi kudumu huko!
===
Ni wakati wa beki Mtanzania, Abdi Banda kuinjoi maisha, baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na FC...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Morroco ime advance kutoka group stage ya FIFAWWC inayoendelea huko Austarlia na New Zealand na kuingia kwenye group of 16, Wapewe Maua yao.
Wakati ikitangazwa hivyo...
Yanga imeendelea na maandalizi yake kuelekea msimu ujao ambapo leo itakuwa na mechi mbili za kirafiki za kujipima nguvu.
Asubuhi ya leo Yanga imecheza na timu ya Friends Rangers ya jijini Dar es...
Rais Samia anaenda katika Tamasha la Timu ambayo imefanya yafuatayo....
1. Imeitangaza nchi hasa Mlima Kilimanjaro
2. Imefanikiwa Kimataifa hasa CAFCL na siyo kwa Watoto na Wasiojua kule CAFCC...
Wakati PRE-SEASON zikiendelea kwa baadhi ya timu hapa nchini zinazoshiriki ligi kuu Timu ya Namungo wao waamua kufanya UTALII WA UWINDAJI katika wilaya ya Karatu kando kando ya ziwa Eyasi waishiko...
Watu wengi huangalia rangi na vitu vingine...
Mimi binafsi napenda jezi iwe na Collar tu na isiwe na marangi rangi sana. Rangi moja yenye collar kwangu huwa jezi isiyo na mshindani.
Simba hatimae...
Hello wanaspot , naomba kuuliza ni king'amuzi kipi watakaonyesha mpira wa ligi ya uarabuni , maana napenda sana kumfuatilia Saidio Mane , Asanteni sana mkuu .
Ligi ya mabingwa Africa pamoja kombe la shirikisho kutimua vumbi kuanzia week ijayo, huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na yanga.
Ikumbukwe kuwa simba na yanga wote wataanzia ugenini, je ni...
Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota.
Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio...