Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Nashindwa kuwaelewa Viongozi wa Yanga SC kwani tayari wameshaonyesha kutomhitaji ila hawataki kumuacha wakisema watatoa taarifa yake Tarehe 31 July, 2023 ambayo ndiyo siku ya mwisho kusajili na...
9 Reactions
61 Replies
5K Views
Zama huja na kuondoka. Lakini legacy hubaki. Hapa kuna makocha wanne tofauti ambao kwa nyakati tofauti waliongoza vilabu vyao kutwaa mataji kadhaa ya EPL. Kila kocha alikuwa na rekodi zake pamoja...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Yanga mjiandae kwa hiyo taarabu
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Utaratibu wa kutoa post za "Thank You" kupitia mitandao ya kijamii kwa wachezaji au makocha wa benchi la ufundi wanaokoma kuitumikia timu umekuwa ni utaratibu mpya ulioanza kutumiwa na timu zetu...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya Jonas Mkude kwenda Yanga Sc msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally alijinadi mbele ya Media na kusema kuwa jezi namba ishirini itastaafishwa kutokana na heshima kubwa aliyoiweka klabuni hapo...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Huwa zinaibuka kelele na kampeni za ujenzi wa uwanja/mashabiki kuchangia timu zao ili zijenge uwanja lakini mwisho wa siku kimya. Huo ni mchezo mchafu unaochezwa na viongozi wa wa klabu hizi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiachia mbali kwa Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu kuwa ni mwana Yanga SC kwani hata miaka ya nyuma alishakuwa Mwenyekiti wa Pan African FC GENTAMYCINE nimehakikishiwa tena na Ndugu Mmoja...
7 Reactions
68 Replies
5K Views
Naona mashabiki wa Simba wanapanga vikosi vyao...vya msimu ujao...huku wakilitupa jina la KENNEDY JUMA, MZAMIRU YASIN, SAIDOO, KIBU, JOHN BOCCO. Nawaambia watakaoingia kikosi cha kwanza katika...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Klabu ya Manchester United imekataa ofa hiyo ya Pauni Milioni 20 (Tsh, Bilioni 63) kwa kuwa inaamini ni dau la chini na imeweka wazi thamani ya beki huyo wa kati kwa sasa ni Pauni Milioni 35 (Tsh...
1 Reactions
2 Replies
862 Views
Mazoezi bora yanatakiwa kuwa na sifa nyingi. Sifa moja kuu ni yachome nguvu za kutosha. Chakula tunachokula kinaenda kuupa nguvu mwili wetu. Kama tunakula zaidi ya mahitaji ya miili yetu, chakula...
22 Reactions
91 Replies
11K Views
Kutokana na utopolo kupata ushindi wa ngekewa,kinachofuata sasa ni kushuhudia Derby ya mapema ktk ufunguzi wa msimu mpya wa NBC premier league.
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram KAYMZIWANDA ameutumia kuwashukuru Viongozi, Wachezaji, Mashabiki na Bosi wake Mr Makau kwa kumuamini kwa kipindi chote walichokuwa naye. Ni live bila chenga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
54 teams are engaged in CL 2023 / 2024. Accordingly, the 10 highest ranked clubs in the official clubs ranking, shall be exempted of the 1st preliminaryround.The remaining teams are divided into...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
PROFILE YA EMMANUEL MAHOP jina kamili: Emmanuel Mahop Dikongue Utaifa: Cameroon Tarehe ya kuzaliwa 3 January 1995 Miaka 28 Nchi aliyozaliwa: Equatorial Guinea Nafasi: Mshambuliaji Timu...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Dili la Mshambuliaji hatar wa kameruni EMMANUEL MAHOP kwenda Yanga limeshindikana baada ya Yanga kutoweza fika muafaka na mchezaji huyo, inadaiwa swala zima la mkwanja ndio limeifanya Yanga...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Mashabiki wa Simba sc wanamshangilia Kibu Denis kwa mazuri/juhudi anazozionesha kwenye uwanja wa mazoezi na kusahau kabisa alichokifanya Habibu Kyombo msimu uliopita. Habibu Kyombo alicheza kwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hatua ya makundi CAFCC ni ngumu zaidi kuliko CAFCL. Sababu mojawapo unacheza na timu ambazo hazifahamiki sana ana zenye wachezaji wanao weza kuku saplaiz kiwanjani. Ukicheza na timu kubwa ni...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Hatimaye timu ya West Armenia inayoshiriki ligi kuu ya Armenia imewatambulisha wachezaji wawili wapya kutoka Taifa la Tanzania ambao ni Eric Mwijage na Yusuph Athuman. Yusuph Athuman kabla...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mchezaji wa Azam FC Edward Manyama amevunjika mkono kwenye mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Stade Tunisien uliochezwa huko Tunisia. Katika mchezo huo Refa alishindwa kuumudu kwa mujibu wa...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…