Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Misimu miwili nyuma yanga walikuwa moto sana kwenye usajili msimu huu mbona kimya sana kunani?
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nimeona nizungumzie kidogo usajili wa Yanga unaoendelea. Nimekuwa nikifuatilia mpira kwa kiasi chake. Nimekuwa nikimsikia Jose Mourinho anaposisitiza usajili Bora ndani ya Klub ni...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
"Nimeziona jezi mpya za Yanga, huyu Ngowi akamatwe, zile jezi ni balaa tupu. Yanga mmetisha sana." Juma Ayo Je, kwanini timu zingine zisijifunze kwa Yanga since maendeleo hayana Chama?
8 Reactions
57 Replies
7K Views
Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee. Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika kutoka Misri, Club ya Al Ahly ya Misri imevunja Mkataba na Mchezaji wa Kimataifa wa Msumbiji Luis Jose Miquissone kwa makubaliano ya pande zote mbili...
9 Reactions
33 Replies
6K Views
Watu wa msafara wa kusambaza jezi za simba mikoani hasa maduka ya vunjabei wamepitia hapa nilipo. Jamaa yangu aliyepo kwenye msafara akanionesha jezi za simba zitakazozinduliwa baadae jioni...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
".....Siwajui vizuri Yanga, nawajua Simba sababu tuliwahi kuja hapa wakatuchapa tatu kwa nunge." Maneno ya Mchezaji wa Kaizer Chiefs baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa JK, Dar es Salaam kwa...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Wakulungwa. Chama ana offer mezani, Ofa ambazo zina maslahi makubwa zaidi kuliko maslahi anayo yapata hivi sasa. Mnaonaje tujikusanye na kuanzisha kampeni ya kumtetea Triple C ili akafuate...
11 Reactions
18 Replies
1K Views
Hali yao ni ngumu sana, hebu watizame usoni utagundua hili
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Ikiwa Harakati za Usajiri, Uhamisho wa Wachezaji na Pre Seasons Zikiendelea katika huu Mwezi, Huku Azam FC wakionesha Kuwa This Time Around wako Serious Sana na Pre Season Kipekee Kabisa...
13 Reactions
19 Replies
3K Views
"Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Hapo jana team ya Azam Fc imezindua jersey bora zaidi duniani watakazo zitumia kwa msimu wa 2023/24 Jersey hizo zenye rangi ya Blue, Nyeupe na dhahabu zimevutia sana watu na wengi wakimiminika...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini? Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping. Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson...
12 Reactions
81 Replies
7K Views
Leo baada ya TFF kutoa takwimu ya timu ambazo zimesajili wachezaji ( CAF). Watu wengi hawakuelewa baada ya kuona Yanga wameandikiwa HAWAJASAJILI. Ipo hivi Yanga ameishasajili wachezaji kwa maana...
3 Reactions
80 Replies
5K Views
Watafute kazi walizokuwa na ujuzi nazo. Baada FIFA na TFF kutaka wachezaji wasimamiwe na mawakala (agent) badala ya meneja asiekuwa na weledi wa kusimamia wachezaji. Hii imekata ngede kwa machawa...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Nilidhani kuna timu moja ya Kariakoo itambeba Tumisang Orebonye, lakini nashangaa sana wanakuja kina Skudu. Ina maana timu zetu hazimuoni huyu jamaa?
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Taarifa ya TFF using JamiiForums mobile app
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Julai 20, 2023 jijini Dar es Salaam amezindua Mfumo wa Kidijitali wa Usajili wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo...
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Kulikua na ulazima gani kuleta hii Chat sasa hivi halafu mnaweka team chache namna ina maana team zingine hazisajili?
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kikosi kazi cha kuhakikisha KIBEGI CHA SIMBA kinafika juu ya Kilele cha Mlima KILIMANJARO.
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…