Wakati Simba wakiwa kwenye harakati za kufanya uzinduzi wa Jezi yao kwenye Kilele cha Mlima KILIMANJARO na kujiwekea Historia na Rekodi nchini Tanzania na hata barani Afrika kama siyo Duniani...
Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza, na Klabu ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza, Dele Ali amefunguka kuhusu maisha ya majuto aliyopitia huko nyuma. Baadhi ya mambo...
Kwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi!
Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu...
Habari wakuu!
Nimesikia leo toka viongozi wa Simba kuwa wanaenda kuzindua Jessey zao Mlima kilimanjaro!
Well, mpaka sasa sijaona logic behind hii decision zaidi ya kuona ni kukurupuka baada ya...
Mchezaji wa Kimataifa wa Senegal na Timu ya Simba Pape Ousmane Sakho amewasilisha maombi kwenye Uongozi wa timu ya Simba ya kuomba kuondoka ili akatafute changamoto nje ya nchi.
Ousmane Sakho...
Kocha aliwaambia viongozi wa simba hataki kumuona CCC msimu ujao, viongozi nao wakamwambia Chama haendi popote, kama vipi bora wampe thank you yeye Kocha. Kocha kaona isiwe tabu, jana kaamua...
ππΌππ ππΌ ππΌππΌ ππΏ
Nyota wa Klabu ya Singida Fountain Gate,Bruno Gomes π§π· amekuwa akitumia mda huu wa Likizo kutoa mafundisho/mahubiri ya kidini kwenye mikutano mbalimbali ya kidini huko kwao Brazil...
Mzaramo Abdallah Pazi, maarufu kama Dullah Mbabe alichezea kichapo kutoka kwa bondia wa Congo, Erick Katompa, ilionekana hajakubali hivyo leo anaingia tena ulingoni.
Oktoba 1, 2021 ndani ya...
Kila ukifatilia usajili wa wenzetu wa jangwani unaona wamesajili mabeki, mara Fred kutoka Uganda na sasa hivi beki kutoka Asec, hiyo ni kutokana na mawinga hatari waliopo Simba ss hv akiwemo Louis...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewatunuku vyeti wahitimu 106 wa Stashahada katika Chuo Cha Michezo Malya kilichopo wilayani Kwimba Mwanza leo Julai 15, 2023...
Timu ya soka ya Yanga ukiikaribisha Klabuni kwako hawana haraka ya kuondoka, wao ni wakarimu sana utakumbuka waliwahi kupiga hodi AS VITA ya Congo na baada ya kukaribishwa waliacha simulizi yao...
#MICHEZO
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepangwa kundi E katika harakati za kufuzu kombe la dunia mwaka 2026.
Timu ambazo Stars imepangwa nazo ni pamoja na
Morocco
Zambia,
Congo...
Tunaomba mkome, mkome tena mkomae! Hatutaki kusikia Simba inatumika kutangaza utalii!
Kama ni sababu ya kupeleka jezi mlima Kilimanjaro basi iwe ni ili Africa nzima waione, sababu mlima...
USAJILI BORA MPAKA SASA
Dirisha halijafungwa bado lipo wazi ila mapaka muda huu sajili zote zilizofanyika hapa nchini kwenye klabu zote, bila kupepesa macho, bila unafki huu kwangu ndo usajili...
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ajiunga na Timu ya Soka ya Coastal Union ya Tanga.
Pamoja na kutokuwa na misimu mizuri kwa timu mbalimbali alizohudumu nchini lakini bado Kocha...
Aliyekuwa Kocha wa timu ya Yanga NABI amesema kuwa yeye hajasaini mkataba wa kuitumikia timu ya AS FAR RABAT kama Kocha mkuu.
Lakini kwa inavyoonekana ni kuwa mazungumzo yamefikia pazuri kwa...
Michuano ya African Football League ambayo mwanzo ilipewa jina la Africa Super League kuanza kutimua vumbi lake mwezi wa kumi, na Mchezo wa ufunguzi ni ndani ya Tanzania katika Jiji la Dar es...
Sawadogo bado nikijana mdogo Sana bado anajitafuta anandugu wamamtegemea tusaidiane wanatanzania kumpazia sauti apate stahiki zake.Msikilize anavyoongea Kwa uchungu, nimelia Sana, Ndugu...
Timu ya soka ya Azam FC yaanza Pre-season vizuri baada ya kuishushia kichapo cha mwizi wa kuku Al Hilal kwa magoli 3 - 0 huku FEI TOTO akirudi kwenye ubora wake baada ya kutoa assist ya goli.