Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuongezea maumivu zaidi kuna tetesi kwamba Chama anaweza kwenda Yanga. Huo mpango wa kumuaga bado upo?
3 Reactions
7 Replies
616 Views
Nauliza tu unafanyikaje kwenye uwanja uliofungwa maana TFF imesema ngao ya jamii itafanyika Tanga sababu uwanja umefungwa kwa marekebisho
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna kundi kubwa la watu wamekuwa wamekariri tu kuwa msimu fulsni timu nane hazitoanzia hatua ya awali lakini hajui hata ni vipi inapatikana na pia hajui kama idadi aliyotaja inaweza kuwa sahihi...
16 Reactions
51 Replies
6K Views
Wakuu tuweke mambo wazi.. Timu yetu ya Simba uwezo ni mdogo sana, wachezaji wengi ni wa viwango vya ndondo cup, Kwa kulitambua hilo uongozi wa Simba umewekeza zaidi kwenye propaganda zaidi maana...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndio kwani shida ipo wapi bhana? Kama hela kwenye kibubu hamna, semeni mashabiki na wanachama tutachanga kuhakikisha Simba inawafanyia umafia na kuivunja vunja yanga kipindi hiki! Raha ya...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna nini huko? Nyota wa Klabu ya Simba SC, Clatous Chama [emoji1268] kupitia Instastory yake ame-repost tweet ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez akionesha kukubaliana...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Hatimaye mwenye Jezi yake karudi Msimbazi ni suala la muda tu unaosubiriwa jamaa atangazwe na kukabidhiwa Jezi yake. Swali ni moja tu, alikuwa anahitajika kwa kipindi hiki pale Msimbazi au...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema kampuni ya HK Group sasa iko tayari kuwekeza katika Vilabu vikubwa nchini Simba SC na Dar Young Africans Ikumbukwe Mwekezaji Mo Dewji amesema...
9 Reactions
58 Replies
4K Views
SIMBA imedaiwa kumpiga bei ndefu kiungo mshambuliaji Pape Sakho, kiukweli it has pained me a lot
4 Reactions
30 Replies
7K Views
Inaonekana hakuna maingizo mengi mapya,hasa baada ya kumalizana na bangala na lomalisa,ambao ilisemekana wana mpango wa kusepa..ila kwa mayele hapo mhh sina uhakika.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hayo ameyaandika kwenye ukurasa wake wa Instagram. Nukuu: Sisi Watanzania husema, NI SUALA LA MDA TU. Chama.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu kutolewa kwa Tuzo za TFF 2023, kuna malalamiko yameibuka juu ya zawadi za washindi. Kwa mujibu wa mmoja wa washindi wa tuzo hizo, mpaka leo hawajakabidhiwa fedha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkude ni kiungo namba 6. Amesajiliwa yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba. Yanga ni timu yenye utajiri wa viungo. Hivyo kuna ushindani mkubwa wa namba. Mkude anaenda kuchukua namba ya...
1 Reactions
6 Replies
757 Views
Wakuu, Timu yetu msimu huu kuna kila dalili tumekuwa serious zaidi kwenye usajili. Lakini angalizo muhimu ambalo limekuwa donda sugu ni kocha kupata wachezaji kwa mafungu na kumfanya ashindwe...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni kweli Mkude anayo Makosa ya utovu wa nidhamu, lakini kitendo cha kumpeleka Muhimbili kumpima akili ni kumdhalilisha sana. Kwanini wasimuondoe tu ikiwa wanadhani haendi sawa na utaratibu wa Simba?
8 Reactions
36 Replies
4K Views
"Sasa ni rasmi Yanga SC yetu tumeruhusiwa Kusajili baada ya Kuzuiwa kwa muda kufanya hivyo kutokana na Kushtakiwa na aliyekuwa Kocha Wetu Luc Eymael kwa Deni lake alilokuwa akitudai kwa muda...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Ndio kwani shida ipo wapi bhana? Kama hela kwenye kibubu hamna, semeni mashabiki na wanachama tutachanga kuhakikisha Simba inawafanyia umafia na kuivunja vunja yanga kipindi hiki! Raha ya...
1 Reactions
1 Replies
669 Views
NDUGU WANAJAMVI ILI KUWEZA KUPATA LADHA YA KABUMBU VITU VIFUATAVYO LAZIMA VIFANYIE KAZI Usajili wa wachezaji bora Benchi la ufundi bora na lililokamilika Maandalizi ya msimu/ pre season Viwanja...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ili uwe bora inabidi kujipima na walio kuzidi ubora, Yanga kwa upande wao wamelitambua hilo imeona itafute timu iliyo juu yao kwenye rank za Caf ili ijipime nayo. Ukija kwa upande wa Simba...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…