Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

- Nyota David Kameta ‘Duchu’ aliyesajiliwa na Simba kutoka Lipuli FC ya Iringa miaka mitatu nyuma na alicheza Simba kabla ya kutolewa kwa mkopo Geita Gold na Mtibwa amesaini kandarasi mpya ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya Yanga kusikia Azam wametoa misaada kwa yatima huko Tanga, na wao wamejibu kwa kwenda Duga kutoa misaada. Ngoma ngumu hii wajameni, azam kazeni hapo hapo, ikiwezekana ongezeni misaada kwa...
0 Reactions
6 Replies
910 Views
Nipende kuwapongeza wapinzani wetu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu, kufika fainal shirikisho Afrika. Pamoja na hayo yote msijisahau kua Kuna akina ya maneno, Yaani kwa Sasa Wanaona timu yao...
0 Reactions
5 Replies
557 Views
Habari ya muda huu ndugu msomaji wa Jamiiforums, Baada ya kuwafunga Watoto wa tajiri namba moja hapa Tanzania (According to Forbes) kwa mabao 2-1, vijana wa tajiri asiependa kelele hapa mjini SSB...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kila nikisia maneno ya wachambuzi na mashabiki ooh AZAM inakamia game zetu kwani kukamiwa ni dhambi? Mnataka muachiwe tu muifunge Azam itakuwa ni ipi maana ya competition? Acheni kulalamika...
0 Reactions
5 Replies
652 Views
Tulianza na la suala la usajili kipindi kile akina Aziz Ki Tukarudi kwa Kisinda Tukaenda kwa Feisal Tukarudi CAF na mvua Tukawagongea nguma ya mechi za ugenini CAF Tukaja kwenye nusu fainali CAFCC...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
NYOTA KADHAA WA KIMATAIFA YANGA WATAIKOSA FAINALI TANGA, Klabu ya Yanga itawakosa Fiston Mayele na Stephen Aziz Ki ambao wameitwa kwenye timu zao za taifa kuelekea kalenda ya FIFA, huku wakiwa...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
Kiatu kinatolewa kwa yule ambaye hana magoli mengi ya penati kwahiyo kiatu ni cha Fiston Kalala Mayele [emoji617] Official [emoji460] Young Africans SC NB: pamoja na kumnunulia magoli Mzee...
18 Reactions
170 Replies
13K Views
Ukiangalia timu zote huwa zinafanya parade baada ya kumaliza michuano yao yote wanayoshiriki. Sasa yanga bado hawajacheza fainali na Azam tayari wanafanya parade; huo ni ushamba, wangesubiri...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Sio viongoz sio mashabiki wote wanajizima data yani kiukweli wanatia aibu na kuidharirisha taasisi kubwa kama ile, sasa oneni alichoondika afisa habari wenu. #Ahmed ally Hadi sasa hakuna elie...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Ni dhahiri mshindi wa kombe la FA anaungana na mshindi wa ligi kuu kucheza klabu bingwa barani Africa na mshindi wa pili ligi kuu anaungana na mshindi wa 3 na wa 4 kucheza shirikisho, kwa maana...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Sijui hawa jamaa (mashabiki wa Simba SC) huwa wana nini? Ngoja tusubiri mpira mkali Fainali ya Mabingwa Afrika ya Wydad Casablanca na Al Ahly, hii ni Fainali ya pili ambapo mwanzo walitoka kwa...
2 Reactions
13 Replies
886 Views
Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu...
18 Reactions
43 Replies
3K Views
Ukiwa na Akili timamu utanielewa kwanini nimesema hivi ila ukiwa Masikini wa Fikra / Akili hutonielewa kamwe. Bado Simba SC itaendelea kuwa Klabu Kubwa na yenye Hadhi ya Juu kuliko Timu nyingine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Clement Mzize amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo...
26 Reactions
204 Replies
18K Views
Kutokana na propaganda zilizoenezwa na zilizodumu msimu mzima, ni rahisi sana kuamini Simba wamekuwa timu ya hovyo na rekodi ya hovyo sana msimu huu. Nilishawahi kuleta uzi nikikumbushia Simba...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Nadhani kama Wanasimba tujiulize, kama magoli ya Saido siyo ya mchongo au bahash, Kwanini huyu mwamba wetu mzee Saido alishindwa kutuokoa pale mjini CAF champions? Point of reference: Mayele...
6 Reactions
85 Replies
3K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ile game ngumu na ambayo inafuatiliwa kwa ukaribu sana na watu wote wapenda soccer la africa, game ya robo final ya caf champions league baina ya miamba kwelikweli...
41 Reactions
929 Replies
56K Views
Jamani,mimi ni shabiki wa Nadal.Binafsi ningependa leo Djokovic ashindwe,ila ndo hivyo anakwenda kushinda. Na kuanzia leo ninamkubali Djokovic kweli yupo strong kimental. From team Nadal Wewe...
0 Reactions
5 Replies
817 Views
Yes Yanga mabingwa tena la 29 kibindoni sio ubingwa tu pia wanamedali za Caf shirikisho kama mabingwa waliofanana, sio Caf tu pia wana medali za ngao ya jamii waliyoipata baada ya kumnyoa Simba...
12 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…