Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tukisema bongo wengi ni wa mchongo tunaonekana tuna chuki binfsi Huwa napenda sana kauli ya Rtd CAG prof Assad kuwa wengi(alisema 60%) ya watumishi wa Tanzanian ni below average (yaani uwezo...
3 Reactions
10 Replies
714 Views
Achaneni na maswala ya bandari sijui SGR, sijui nini. Hii ndiyo mali ya Watanzania wanayopaswa kuipigania. Ndiyo maana wakati wengine tunamaliza bundle mitandaoni kufuatilia bunge likipitisha...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Venus Star na makolo wengine hawataki kabisa kusikia ukweli huu unao wauma mno.
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Tukisema Hakuna mnachojua muwe mnakubali. Tukisema mnaojiita Wachambuzi wa soka Tanzania ni washangiliaji kama alivyo Abdalla Saliboko wa Tandale na Oscar Maganga wa Sangamwalugesha muwe mnakaa...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Kanuni ya Ligi kuhusu wafungaji bora kupata tuzo inasema kama wachezaji wakifungana kwa idadi sawa ya mabao basi wote wanapata fursa ya kuzawadiwa kiatu cha dhahabu. Ikumbukwe kuwa vipengele na...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi Kuu ya NBC ) na hilo Bichwa lako Kubwa kama Papai za Mgeta Mkoani Morogoro huo Uyanga wako na hizo Pesa za Kuhongwa na GSM zitakutokea Puani Siku Moja. Bodi...
10 Reactions
51 Replies
4K Views
Sasa ndo wote tunalingana magoli, ikatokea wote tulipata penati sawa kwa sawa za kupiga (mfano penati 5 kila mmoja), mimi nika zifunga zangu zote, ndo zika add up kwenye yale magoli tunayolingana...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Saidoo hawezi akawa mchezaji bora, magoli 17. kafunga Hat trick 2, goli tano Kwenye mechi moja Maana yake magoli zaidi ya 11 kafunga kwenye mechi 3, na kamfunga nani, Swali la 2! Fiston Mayele...
9 Reactions
42 Replies
5K Views
Hakika Yanga wamejipambambanua kama jitu kubwa sana, jitu zito, jitu lililoshindikana chini ya uongozi vijana wahuni wahuni tu kama wanavyowaita wachambuzi wa kibongo na huku uhuni wao ukizid...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ก๐—–๐—›๐—œ ๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—”๐——๐—˜[emoji471] ๐— ๐—”๐—•๐—œ๐—ก๐—š๐—ช๐—” wa kihistoria Jumamosi ya tarehe 10.06.2023 tutakuwa na ๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—”๐——๐—˜ kubwa ya kusherekea ubingwa wa mara ๐Ÿฎ๐Ÿต na Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans SC...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wajumbe wa Sekretareti ya Baraza la Mawaziri wamefanya ziara katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kujifunza na kupata uelewa kuhusu ufuatiliaji na tathmini ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukiangalia mpunga anaokula Aziz Ki, Morrison, Mayele na wengineo yalikuwa ni matusi makubwa sana kwa wachezaji wazawa na kwa kiwango ambacho kimeoneshwa na Fei Toto. Fei alikuwa ana offer more...
26 Reactions
106 Replies
5K Views
Mfungaji Bora wa Ligi ya TAnzania ni fiston mayele, akimpiku Mzee saido aka mstaafu aka mzee wa magoli ya viti maalumu yaani penalty. Makolo kilio kimezidi
9 Reactions
39 Replies
5K Views
CEO wa bodi ya ligi Tanzania (TPLB), Almas Kasongo amesema kuwa Kamati ya Tuzo itaenda kukaa na kupitia vigezo gani vitatumika ili kuamua nani atapewa kiatu cha ufungaji bora wa ligi kuu ya NBC...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Kazi kubwa ya foward no.9 ni kufunga kufunga kufunga ikitokea kakosea anatoa mapande ila kazi kubwa ya kiungo mshambuliaji yaani midfield ni kugawa mapande na kupika magoli kufunga ni ziada. Sasa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Inashangaza kumuona Ikulu mtu ambaye amekuwa akiponda mafanikio ya Yanga. Ikumbukwe kilichowakutanisha wadau wa michezo hapo Ikulu ni Young Africans...
11 Reactions
84 Replies
4K Views
Ukinuna uwe na sababu
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao. Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu...
12 Reactions
66 Replies
12K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Refer msimu uliyopita wakati wa battle ya Mayele na G.Mpole. Bodi ya ligi walifafanua tayar hili suala. Kinachoendelea sasa ni watu kulazimisha kupindisha taratibu...
2 Reactions
2 Replies
935 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ