MWISHONI kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya...
π¨πππ‘ππ π§π’ π§ππ‘πππ‘ππ
Timu ya Wananchi Yanga inatarajiwa kulipokea Basi lao Kutoka nchini Uganda siku ya ijumaa kwa ajili shughuli maalumu la kulitembeza "PARADE" kombe lao la Nbc.
#timuyawananchi...
Mara zote mchezaji anapoondoka yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi uwa mwisho wake ni mbaya sana, Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, na wengine...
Mchezaji bora kuwahi kutokea toka dunia iumbwe La pulga amejiunga na Klub cha inter miami nchini Amerika inayomilikiwa na mwingereza David beckham
Messi alitarajiwa kurudi Barcelona lakini...
Mara zote mchezaji anapoondoka Yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi huwa mwisho wake ni mbaya sana. Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Maico, Ibrahim Ajibu, na wengine...
βIlipotolewa ile penalti nilihisi naweza kuzimia ilinishtua sana. Unajua ilikuja wakati tunatafuta bao na hatukutakiwa kuruhusu bao lakini jambo zuri kipa wetu (Diarra) alikuwa na siku nzuri...
Hahahahaa kweli kuna watu wajanja:fei kala ela za wajinga alafu waliochanga pesa ni simba.
Alafu kaenda azam duh hii inaitwa turn over a k.a u turn.
Hivi simba mnashida gani?
Mbona akili ndogo...
NALIA NGWENA nashangaa mpaka Sasa upo kilmya tu inamaana unafurahi kuona muamala wa watanzania unavyosoma.
Media zipo kimya hakuna tamko kutoka kwako suala la kwenda CAS halipo Tena.
Kupitia...
Sasa ni dhahiri ile mihemko na huruma za kinafiki juu ya Feisal imeanza kupata tune tofauti baada ya 'watoka watupu' kugundua kuwa hawana chao. Nashauri wote mliokuwa mnampigania kwa 'povu'...
Jambo Jambo?
Yanga walilambishwa asali kwa Kisu, Favor zikazidi wakajiona wao ndo wenye nchi na wananchi, kumbe Hangaya ni mtu wa strategy.
Siku zote ukitaka kumtuma Mbwa lazima umtupie mifupa...
Kelele zote zile kumbe haji kwetu kaenda Azam! Kweli sisi simba ni mambumbumbu, kwa namna tulivyokuwa tumeshupaza shingo nikajua Mwamedi kavunja kibubu kumbe hola. Nimeumia sana sisi kuonesha...
Natoa kongolee kwa Dar Young African sc, hakika mmetuheshimisha mashabiki wenu na hatuna Cha kuwadai.
Tuzo mlizozitwaa kwenye michuano ya kombe la shirikisho Kama kiatu Cha ufungaji Bora na Diara...
Ikiwezekana Mayele asijisumbuwe n kiatu cha NBC ni league Moja ya mchongo sana.
Hata mechi ya mwisho asicheze ili wampe Saido ufungaji bora kama walivyo mpa mpole ukiona mjinga anajitawala na...
Kuna mchambuzi mmoja kauliza kwanini Simba inaweza kushinda hata magoli kumi (10) kwenye mechi isiyo na umuhimu
Halafu mechi muhimu Ina draw au kupoteza???
Kiufupi wanapiga bomu mortuary...
GHAFLA tu Yanga imejipeleka katika maji marefu. Yanga wamefika katika fainali ya kombe la Shirikisho na hii ina maana kwamba msimu ujao lengo lao kubwa linakuwa kutwaa ubingwa. Ubingwa upi? Ndio...
π¬ππ‘ππ π‘π ππππ¦ππ π¦πππ¨π π¨ π ππ ππ’ π¦πππ
Uongonzi wa Yanga umefikia makubaliano na Feisal Salamu rasmi kwa kuachana kwa amani baada ya kumaliza mazungumzo yao leo.Yanga wamekubali kumuuza Feisal salumu...
Wagonga nyundo wa la London jana usiku walishinda kombe la ligi ya Europe Conference League
Arsenal hawajawahi kushinda kombe lolote la Ulaya, West ham wameiheshimisha London wakiungana na...
Sheria na kanuni ya CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu, warabu wanafanya ujinga mbele ya viongozi wa CAF na hawachukui hatua.
Ni muda sasa centrol, East & South Afrika kuwaachia warabu wacheze...
Ningepata nafasi ya kuwashauri Yanga kuhusu usajili ningewambia watafute mawinga wazuri zaidi ambao wanajua ku dribble, wana speed na pia ni wazuri kwa kutoa pass.
Moloko ni mzuri some time kwa...
Kila shabiki wa Simba sc analiomba Hilo kwa jinsi navyowajua TFF watafanya Figisu za wazi ili Fiston Kalala Mayele asichukue kiatu Kama alivyofanyiwa msimu uliopita ili wabalance furaha ya mtoto...