"Nichukue nafasi hii Kuipongeza Klabu ya Yanga kwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho ambayo hata Klabu ya Simba pia ilifika mwaka 1993" alisema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Leo Wachambuzi na waandishi Washakunaku na Wenye Vihehere wanashangilia hili suala la Feisal kuondoka Yanga kwa kuvunja mkataba kihuni,wengi...
Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job.
Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo...
Wakati mgogoro wa Yanga na Feisal Salum ukionekana ukienda kumalizika, tukumbuke pia kulikuwa na mgogoro mwingine wa kimkataba kati ya Yanga na mdhamini wao mkuu SportPesa.
Ilionekana kutokana na...
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za...
Nimeingia mtandaoni jioni hii nikaona picha za Mayele na Ntibanzokinza. Ghafla nikadhani labda wamepata ajali ya gari na kufariki, Kumbe sivyo!
Kumbe palikuwa na mada ya ufungaji wa Magoli...
BBC wanaripoti kuwa Messi amekubali kujiunga na timu ya Inter Miami ya ligi ya Marekani (MLS) na kuikacha offer kubwa zaidi kutoka Al Hilal ya Saudi Arabia.
Makubaliano yaliyofikiwa yatahusisha...
Haya haya tukiwa kwenye dakika za lala salama Leo wanafainali wa kombe la shirikisho watavaana na Mbeya city pale jijini mbeya.
Mechi itaanza saa 10 kamili. Mechi hii ni muhimu zaidi Kwa upande...
Jiandaeni kisaikolojia NALIA NGWENA nasubiri kauli za wachambuzi wanaojiita wanaharakati (voice of voiceless).
Nini watachangia endapo Feisal Salum ataitwa timu ya Taifa wakati hana mazoezi...
Nimepata mashaka sana kutokana na morali waliyoionesha leo dhidi ya Polisi Tanzania na kuibuka na ushindi wa magoli sita (6).
Sasa kwa nini hatukuona Spirit Kama hii walivyocheza na Namungo?
Kwa...
Lionel andres Messi, is an Argentinian professional footballer who plays as a forward for League One club Paris Saint-Germain and the captain the Argentine national team.
Widely regarded as one...
Mpira au Soka ni moja kati ya michezo ya kipekee sana, ni mchezo ambao umejaa makeke mengi sana na nyakati za huzuni na Furaha, kwa wengi mpira umevunja ndoa za watu kwa wale wenzangu ambao ni...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Hili jambo mnalishadadia kwasababu hamuelewi tunachomaanisha mashabiki wenye akili timamu wa Yanga hadi pale siku mtakapofika fainali(sijui itakuwa baada...
Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika...
Muda huu Rais wa Yanga amethibitisha Rais Samia ametoa ndege ya kuipeleka Mbeya Timu ya Yanga kumalizia michezo yake ya Ligi Kuu Bara
Nadhan Yanga ina vinasaba na serikali.
Sent using Jamii...
Kuna uzi nilishawahi kuupandisha humu kama sio kuuchangia, kuwa zile sarakasi za kipindi kile kuna wana walimchanua kuwa anatumika kidhuluma.,ila next move yake ilikua iwe Simba SC, Azam FC ilikua...
Makabi Lilepo ni mchezaji mwenye uwezo na sifa nyingi ambazo zinamfanya aweze kufaa sana katika mfumo wa klabu ya Yanga SC. Hapa chini ni sababu anini Makabi Lilepo ni mchezaji mwenye kufaa zaidi...
Tukio limetokea ikulu baada ya Yanga kualikwa na Mh Raisi Samia suluhu Hassan.
Kama ilivyo kwa mtukutu Bernard Morrison lazima aache alama (kituko) kamvisha medali Ahmed Ally (msemaji wa Simba...