Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Za ndani kabisa Robertinho ana mtaka Moses Phiri na Peter Banda waendelee kubaki maana ana mpango nao. Hivyo basi, Kuna viongozi wa Simba hawataki wabaki kutokana na majeruhi waliyo nayo hii...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Mashabiki wa yanga acheni visingizio kubalini mmepoteza na hiyo ni moja wapo ya mchezo. Mmekuwa na visingizio vingi zisivyo na msingi, aya tukubali mlipoteza fainal kwa figisu huko Algelia vipi...
1 Reactions
19 Replies
855 Views
Hivi kuna kanuni ya mpira inayowaongoza vijana waokota mipira? Tumeona juzi kwenye mechi ya Yanga na USMA jinsi ambavyo vijana waokota mipira walivyotumika kuathiri mchezo. Wakirusha mipira...
1 Reactions
4 Replies
590 Views
NALIA NGWENA kwa maono yangu ya mbali kabisa TFF mtakapo panga kikosi lazima mtapenyeza jina la Feisal Salumu ambaye Hana kabisa mazoezi na haifahamiki Mara ya mwisho kucheza ni lini. Chonde...
0 Reactions
8 Replies
561 Views
Wadau nichukue nafasi hii kuipongeza Klabu ya Yanga kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho mwaka huu 2023 ikiwa ni miaka 88 toka Klabu ianzishwe. Miaka 88 sio muda mfupi ni muda mrefu sana. Kuna...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hongela sana CEO diamond kwa kutimiza ahadi yako ya kutoa motisha kwa kipa wa Yanga Diara. Sijui ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania badilisheni wenyewe. --- Mkurugenzi wa Wasafi Media...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
Augustine Okrah na Simba wamefikia makubaliano ya kuachana mwishoni mwa msimu huu, imethibitishwa. πŸš¨πŸ‡¬πŸ‡­ Okrah alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba wenye kipengele cha kuongezwa zaidi. Mambo...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Watanzania ni wanafiki sana tena ukisafiri ndio utawafahamu. Waarabu wenyewe hawatupendi na kitendo walichotufanyia kwao kabisa kinaonesha wenzetu wana ushirikiano, huwezi kuona mpinzani wa kwao...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za...
18 Reactions
61 Replies
3K Views
Ametangaza kuchukua uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 41 baada ya kucheza soka kwa miaka 24 Straika huyo aliyekuwa akiitumikia AC Milan, miezi kadhaa nyuma alinukuliwa akisema hana mpango wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
KWAHERI AUGUSTINE OKRAH Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah πŸ‡¬πŸ‡­ baada ya kumalizika mkataba wake ndani ya klabu na mchezaji hataongezewa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Maamuzi ya serikali huwa ni ya kutahabanika na kufikirisha sana. Serikali hii hii wakati Biashara United ya Mara akielemewa kwa kukosa nauli na mipango ya logistics kukwama kwenda Libya ambapo...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Baada ya kumchapa mwarabu nyumbani kwake hapo jana Yanga SC na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa medali hatimaye wamerejea nchi na ubingwa wao.
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Kufuatia zile kelele eti oh Makolo na wao wanamedali za CAF, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikaamua kuzama chimbo na kushangaa nicho kiona. Nikaamua kuja nacho kwenu wadau...
10 Reactions
63 Replies
5K Views
Pamoja na woga wa kafara la maji(mvua) kuna uwezekano mkubwa wa kumfunga mwarabu kwao na kuondoka na kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia ya soka nchini Yanga inawakilishwa na...
24 Reactions
165 Replies
13K Views
Hakika Yanga wana haki ya kushangilia na kufurahi kucheza fainal ya mashindano ya kombe la shirikisho kwani sasa yanga ina miaka 88 au siku 32250 toka ianzishwe. Ni miaka mingi sana kwa klabu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya kushuhudia mechi ya USM ALGER dhidi ya Yanga sasa ni muda wa kuangalia mchezo mkubwa na wenye heshima zaidi. Ni mechi kati ya mabingwa watetezi dhidi ya mabingwa wa muda wote kwenye hii...
5 Reactions
240 Replies
11K Views
Naanza kwa kuipongeza timu ya Yanga kwa hatua kubwa waliyoifikia kimpira! Japo hawakushinda kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na CAF binafsi naamini Yanga ndiye bingwa wa michuano ya...
12 Reactions
103 Replies
6K Views
Natumaini wote ni wazima humu.. Nafurahi sana kuwa mshabiki wa yanga. Popote napopita natembea kishujaa kwa kuwa yanga. Mafanikio yaliyopata yanga msimu huu kifedha na kuwakilisha tanzania ni...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Anachambua Mchambuzi wa Efm Tanzania, Wilson Oruma. "Simba Sports jipangeni, mkiendelea Kusema Yanga Africa wamekutana na team dhaifu" "Mtashangaa wanacheza Fainali ya CAF champions league...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…