Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea.
Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua...
Mwaka huu michuano ya kimataifa ya vilabu mambo mbali mbali yamejitokeza.....
Nafikiri kazi ya kiongozi wa Tff ni kutetea nchi yake na kupenyeza agenda zitakazoisaidia huko kwenye shirikisho...
Hii ni Wyadad ambayo imeitoa Simba ligi ya mabingwa kwa penalti baada ya kutoshana nguvu, na sasa ipo fainali ya mabingwa CAF na inaweza kutwaa ubingwa wa ligi
Kwa chini ni timu ambazo Yanga...
Twende.
Mmeonyesha utofauti na ukomavu mkubwa,Kila jicho lililopata nafasi ya kutazama mechi hii ya Dar es salaam Young Africans na waarabu litakiri hili nalokwenda kulisema.
Kiwango cha timu...
Kiungo nyota wa Wekundu wa Msimbazi Pape Sakho ameitwa kwa mara nyingine kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal kitakachocheza dhidi Benin na baada mchezo wa kirafiki dhidi ya Brazil
Sakho...
Moja kwa moja kwenye mada,
CAF inaonekana kuipost zaidi Young Africans kuliko klabu nyingine yeyote.
Kupitia ukurasa huu tuwaombe waruache kwani husuda za majirani zinazidi kuongezeka na sisi...
"niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu.
"Viongozi walikua wanamtukana mama...
Ni vema tukawekana sana juu ya Mchezaji wa Marudio wa Fainal kati ya YANGA VS USM Algeria.
YANGA kuifunga USM ni ndogo ya Mchana najua wapo watakaopinga lakini ukweli utabaki palepale.Ushindi wa...
Fa masihara nini, mroge msiroge mwarabu kashabeba ubingwa, naahidi na tayari mzigo uko benki. Endapo mtafanikiwa kuwaadhibu waarabu kwao na kubeba ubingwa, siku hiyo ya jumamosi gemu ikiisha tu...
Huko Algeria kinachoendelea muda huu kinasikitisha,na kibaya zaidi huu uchawi wameshajua ndiyo udhaifu wenu.
Niwaulize mashabiki na wadau wa Young Africans,ni kweli uchawi wa mvua mmeushindwa...
Timu ya soka ya Yanga leo imefanikiwa kupata ushindi wake wa kwanza katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kuwachabanga waarabu wa USM Alger ya Algeria kwa magoli 2-1
Yanga...
Nauliza misemo yenye lugha ya mbele bado ipo ama la, je mnakwenda Algeria na slogan gani?
Je, mtakufa kiume? Mm nadhan ss hv mtakufa kikike, hilo nna uhakika nalo.
Simba ndio wanaokufa kiume...
Kivumbi na Jasho lakin wapii, wale warabu nasikia walipokuja kwa mkapa walivaa viatu vyenye mfumo wa Four wheel drive 4×4,ndo maana walikua hawaanguki na ile mvua yote.
ile kiatu unaweza cheza...