Kuna tatizo kubwa mno kwenye nchi yetu, hasa kutoka kwa viongozi na wanasiasa. Wanapenda kupitia na kila upepo ulio mbele yao.
Nimeona waziri wa michezo akiongea na wachezaji kwa muda mrefu...
Ina maana Kibu Denis ni Bora sana kuliko Pape osumane sakho mchezaji anayeitwa kwenye kikosi Cha Taifa Senegal?
Robertinho ameona nini kwa Sakho mpaka aanzie bench na kumuamini Kibu Denis...
Nitangulize kutoa baraka na kila la heri kwa Yanga SC katika mpambano wa marudiano huko Algeria.
Kongole kwa Mh. Raisi kwa kutoa ndege ya mashabiki na wadau wa mpira kwenda kuisapoti Yanga SC...
Unaambiwa usiku wa leo ulikuwa ni usiku wa kuliza mafataki nje ya hoteli waliofikia Yanga. Naanza kuwaonea huruma Yanga.
Je, kama wachezaji wao hawajapata pumziko la kutosha nini...
1. Diara
2.naenda na Djuma shabani, Sina muda wa kupoteza kupanda na kushuka kwake ni advantage kubwa katika kikosi.
3.Kibwana shomari kutokana na umahili wake wa kukaba naona Bora aanze huyu...
Kiufupi kikosi kipo katika mikono salama na Raisi wa Yanga sc Eng. Hers kafanya interview na kumshukuru Raisi wa nchi Mama Samia Hasani kwa kutoa ndege.
Lakini pia waziri wa sanaa na michezo Dkt...
Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile...
Ramadhani Kabwili alizaliwa tarehe 11 Desemba 2000, na ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Tanzania. Ramadhani Kabwili ambaye ni mzaliwa wa Dar es Salaam anaichezea Young Africans kama Golikipa...
Tutaanza kushangilia kuanzia goli la sita, hayo matano ya mwanzo hatutayashangilia sababu tunajua tayari yapo.
Na kwenye hayo magoli saba yule jamaa yao mwenye goli 5 lazma apige hat trick...
Wachezaji wa Timu ya Yanga princess wamegoma Kuondoka Kambini ktokana na kutolipwa Mishahara na fedha za usajili
Inaelezwa kwamba wachezaji ambao wamesajiliwa msimu huu wamegoma kuondoka kwenda...
Kwa taarifa za hali ya hewa zinaonyesha kesho kutakua na mvua na jioni ya Leo mvua imenyesha report kutoka kwa shafih dauda
So utopolo kazi mnayo hapo kesho.
Hakuna jambo la faraja mioyoni mwao kwa sasa zaidi ya issues za Feisal. Hapo wanasahau hata ule 'mkombora' aliowatungua kule Mwanza. Jaman si muanze hata usajili? Msimu ujao unakaribiaaaa
Walipokea wapinzani wetu Airport, wakawapa mbinu, wakazua uongo wa vyumba vya kubadili nguo, wakavaa jezi zao.
Kale kamvua ka Dar es Salaam kamepanda DreamLiner. Wanako, kapo. Kesho...
Kocha Mkuu wa Burundi ‘Intamba Mu Rugamba’, Etienne Ndayiragije amemwaacha nje ya kikosi kiungo wa Simba SC, Saido Ntibazonkiza wakati Burundi ikijiandaa kukabiliana na Namibia kwenye michezo ya...
Yanga hoyee,
Tukifungwa ni mabingwa, tukishinda ni mabingwa. Tayari historia imewekwa, timu ya wananchi wenye akili imeingia fainali.
Kama hautaki, andamana
Kwa kuwa mafanikio yanaweza kutofautiana kulingana na malengo ya kila klabu, napenda kusema kuwa ni suala la mtazamo. Kwa mfano, ikiwa Yanga SC ilikuwa na lengo la kufika hatua ya makundi ya Kombe...
Hii kauli siyo Mara ya kwanza kutamka pale unapoona Yanga inakimbilia mafanikio ya kutwaa kombe.
Nakumbuka msimu uliopita ulitamka kuwa ligi yetu ni dhaifu sana Kisha ukaja kujikanyaga kanyaga...
Kwa hali ilivyo huko jamaa wamewapania sana Yanga, kiukweli kama yanga watafanya masihara watakufa zaidi ya bao 5, jamaa wamepania hasa, mwarabu ameshanusa nyuma ameona kutamu, hana jinsi...
Nimejaribu kuangalia Fainali kadhaa zinazohusisha Klabu za Uarabuni na za kutoka kwa Weusi hasa zikichezwa Viwanja vya kwa Waarabu huku Kombe likiwa Uwanjani na Kugundua kuwa kwa 95% Kombe hubaki...