Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mvua jana ndo ilitunyima ushindi. Uwanja ukawa unateleza. Na pia iliondoa .... Kabisa. Waarabu wanatumia sana majini. Morrison hakuwa wa kukosa lile goal. Namjua Morrison maeneo kama yale. Lakini...
0 Reactions
11 Replies
755 Views
Mbwembwe zote kusogeza mbele mpaka game za mnyama ili haya majamaa yaone kweli yanakazi ya kuleta heshima hapa nchini, matokeo yake yamekalia michambo na kuwatusi watu ambao hawajawakosea...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Hakuna wakumfananisha nae nasema tena hakuna, hakika mwamba kutoka Tunis kocha wa mpira wanayanga hawana Cha kumdai kwa kazi kubwa anayoipiga ikiambatana na mataji (makombe) yanayorejea mitaa ya...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Kikosi cha kuiua USM kwao Kikosi kiwe 3:5:2 1 Diara 2 Juma Shaban 3 Lomalisa 4 Mwamunyeto 5 Job 6 Baka 7 Zawadi mauya 8: Bangala 9 Mayele 10: Mudathir 11 Morrison Yaani kuwe na mabeki watatu...
4 Reactions
58 Replies
3K Views
Leo ndio leo hatimaye imefika siku muhimu kwa wapenda soka barani Africa. Ni fainali ya mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Africa kwa msimu wa 2022/2023 kati ya Yanga na USM Algerz Mechi hii...
45 Reactions
2K Replies
94K Views
Anasema mwanazuoni: Karibu Tanzania ambako wajinga ndiyo werevu na werevu ndiyo wajinga.
3 Reactions
11 Replies
622 Views
1. Hatuna cha Kuwadai Wachezaji wetu wa Yanga SC na Jana Wachezaji wetu wa Yanga SC walikuwa na Siku mbaya Kazini / Ofisini 2. Lengo letu lilitimia pale tu Yanga SC ilipofuzu hatua ya Robo...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama Jibu ni ndiyo basi kuna Watu Medali pekee watakazorudi nazo nchini Tanzania ni Tiketi zao tu za Ndege ya Msaada waliyopewa na Kuipanda. Kudadadeki....!!
1 Reactions
8 Replies
1K Views
FAINALI CAF;DOSARI YAANZA KUJITOKEZA MECHI YA YANGA. Fainali CAF; dosari yaanza kujitokeza mechi ya Yanga. Washabiki wa yanga wanalowa na mvua toka saa mbili asubuhi wapo nje ya uwanja,kwa nini...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Mmoja ni Mshambuliaji, Mmoja ni Kiungo na mwingine ni Winga wa Kushoto. Baada ya GENTAMYCINE kuipata hii Taarifa naanza kuona Timu Moja ikifungwa hata Goli 7 Ni Mwendo wa Kuwakera tu JF.
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Natoa angalizo hili mapema ili tusije kulaumiana, hayo mabango yenu yaishie kwenye hizo Jogging zenu za Mbagala, Mkileta ujinga huo uwanjani tunashangilia USM Alger. Potelea mbali. Rais kutoa...
28 Reactions
83 Replies
5K Views
Ndio kilichobaki aletwe kaburu kutuendeshea Uwanja wa Mkapa Sisi tunataka burudani Siyo Siasa Hata Tundu Lissu akitutafutia mwekezaji kutoka Ubelgiji kwa akina Mbwana Samatha na Lukaku ni Sawa...
1 Reactions
7 Replies
535 Views
Wamezoea hawataamini macho yao uzi tayari tayari.
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Wachambuzi wa Soka Tanzania na Watanzania ni Wanafiki sana wengine washakuwa Wachawi. Kwanini kufungwa Yanga kiwe kitu cha ajabu kiasi hicho?Kila kona kelele na uchambuzi mavi usio na kichwa wala...
1 Reactions
11 Replies
443 Views
Japo wakati mwingine mpira unakuwa na matokeo ya kushangaza lakini kuna wakati lazima uonyeshe uwezo ili uweze kuwa bingwa. Yanga wametembelea ngekewa hadi kufika fainali. Kwanza kucheza...
28 Reactions
67 Replies
5K Views
Kwanza naomba niipongeze Timu yangu ya Yanga kwa kufikia hutua hii adhimu ya fsinali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mmetuheshimisha sana sana, kweli hatuna deni na nyie, pokeeni maua yenu...
12 Reactions
74 Replies
5K Views
Baada ya Wananchi kupoteza mechi ya Leo huku kukiwa na matumaini hafifu kwenye re-match tunaweza kusema wachezaji wetu wamekufaje? Simba wao walisema walikufa kiume.
3 Reactions
23 Replies
898 Views
Lazima yanga wavunje bank wanunue Namba sita mkata umeme mwenye kasi Ili akae katikati na aucho acheze 8 Namba kumi wa kisasa mwenye kasi na anayeficha mpira Namba saba mwenye kasi na anayetumia...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi na wanaspoti habari za wakti huu.... Nitangulie kutoa Pole kwa Wanayanga wenzangu,ila pia nitoe pongezi kwa viongozi,socialites & pundits wote ambao ni wanazi wa simba kwa kuzika...
0 Reactions
5 Replies
417 Views
Wanafiki wakubwa nyie yaani leo baada ya Kipigo cha jana kutoka kwa USMA ndiyo mnajifanya Kumjua Allah ( Mwenyezi Mungu ) mbona kabla ya Mechi yenu neno hili mlikuwa hamlitaji mara kwa mara...
2 Reactions
8 Replies
459 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…