Nimeona post za wachambuzi ushabiki wanaochambua mpira kwa hasira baada ya kuona Yanga imepoteza mbele ya mwarabu (USM ALGER) kwa magoli ya mbili kwa moja.
Kila mchambuzi anatupa mzigo wa lawama...
Kuna mtu kanidokeza kuhusu huu mpango wa mechi ya Yanga na USM Alger
Mpira wa Africa hata uwe na Quality Players lazima ucheze na mechi nje ya uwanja ili utwae mataji .
Quality Players +Mbinu...
Habari wakuu
Naomba kufahamishwa sehemu tulivu yenye big screen ya kutazama mpira na familia maeneo ya Dar es Salaam. Isiwe bar au kibanda umiza.
Nawasilisha.
Game imeisha Kwa mkapa Yanga kafungwa bao 2 Kwa 1.
Je Kwa matokeo tuseme yanga Hana chake kule Algeria maana hawa USM Algeirs wanaenda kukamilisha ratiba tu
Nimeangalia mpira wa YANGA vs USM ALGERS nikiwa home SINZA VATICAN hapa.... Sikupata fursa ya kwenda Uwanjani hasa nikijua wazi kupata nafasi itakuwa ngumu + mvua.
Kwa nilivyoungalia mchezo huu...
Ila hii pole mbona kama vile,yanga wanalalamika kuwa wamepigwa ndege wawili kwa jiwe moja.
POLENI SANA UTO,
KILA SHABIKI WA SIMBA SC APITE HAPA AANDIKE NENO POLE,KISHA ATOKE...
Sisi ndiyo Simba, ile kauli ya nguvu moja huwa ina balaaa usiombe ukutane nayo.
Makelele yalikuwa mengi sana hapa mjini, oohhhh kombe kombe, kibaya zaidi wakatutukania kocha wetu. 😡
Nyie Yanga...
Nichukue tu nafasi hii Kuwashukuru Klabu ya USM Alger Wachezaji na hasa hasa Kocha wao ambaye si tu anajiamini ila hata alipotua nchini alipohojiwa alisema ameshaiona Yanga SC na kwamba ni wepesi...
Kuna watu wajinga sana tena wanajifanya watu wa mpira, eti yanga ina nafasi kule ugenini, pumbav* kweli.
Umati wa washabiki wa USM watakaojazana kwao ni mara 10 ya hapa leo, vitisho na mikwara...
Halafu mlivyo wa hovyo badala ya Kuitangaza vyema kwa kusema kuwa Yanga SC imefungwa Kiuwezo mnachokifanya sasa ni kutafuta Wasikilizaji wenye Uyanga na kuwalazimisha waseme kuwa Yanga SC itaenda...
Makolo msimu huu wanatia huruma sana. Leo wanafurahi lakini kila siku humu wanasema hilo ni kombe la looser. Sasa kama ni kombe la looser, hiyo furaha inatoka wapi?
Wengine walipoona Yanga...
Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla.
Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua...
NALIA NGWENA nimewadharau mno wachawi, walozi na waganga wajadi kutoka pande zote za Tanzania hii hakika natamka wazi wazi bila ya kificho kuwa hii nchi ina waganga njaa tu na matapeli...
Nawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni.
Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC...