Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Najua wapo watu watanitukana kama walivyo nitukana miezi kadhaa nyuma nilivyo sema yanga watafika final CAF federation. Unajua kwanini nasema hivi nimeangalia mechi nyingi za CAF champions...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Haijawahi kutokea hapa Tanzania kukawa na timu ya mpira wa miguu iliyo bora kama au kuliko Young Africans, Yanga pia ndiyo timu pekee kutoka Tanzania kushinda mechi nyingi za nje za kimataifa kwa...
15 Reactions
14 Replies
3K Views
Mlikuwa mnacheza na wachovu sana, wale USM ni vile mmeliwa 2-1. Mngekuwa huku kwenye championship mkapangiwa na Wydad ingekuwaje maana nimeziona goli 4 za wazi mwarabu kakukosa leo. Tengeneza...
1 Reactions
7 Replies
597 Views
Baada ya mechi 10 za kombe la Shirikisho Afrika kwa kila timu, Yanga SC wamewazidi USM Alger kwa takwimu karibu zote miongoni mwa timu hizo: Eneo pekee ambalo Yanga wamezidiwa ni mabao ya kufunga...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Unaambiwa hili kombe[emoji471] limetengenezwa Kwa madini ya Gold tupu[emoji966][emoji966] Yaani sio kama Yale makombe yaliyotengenezwa kwa Alluminium au mabati Hongera sana mabingwa watarajiwa wa...
15 Reactions
70 Replies
3K Views
Ni kijana tu kaghafilika ndiyo maana ameomba radhi. Yes alicho kifanya Ally Kamwe huenda kimeleta ukakasi lakini hebu tulitazame hili kwa jicho la pili. Wakati Mwingine Nchi hii usipojitoa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Shalom shalom Hekoheko marafiki na mashabiki wa klabu ya Union Sportive de la MΓ©dina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA. Mara baada ya kuibamiza klabu ya Asec mimosas hapo jana jijini Algers...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
Kama Uongozi wa Simba SC na 'Scouting Team' ya Simba SC itakuwa tayari basi itupe Sisi JamiiForums Football Pundits na Watu wenye Maono Makali Jukumu la Kuwaambia ni Wachezaji gani Wazuri na...
14 Reactions
30 Replies
3K Views
Djigui Diarra '𝗦𝗖π—₯π—˜π—˜π—‘ 𝗣π—₯π—’π—§π—˜π—–π—§π—’π—₯' amefikisha jumla ya Clean Sheet 15 huku akifuatiwa na Aishi Manula mwenye Clean Sheet 12. Mwaka huu Tuzo ambazo zina wamiliki tayari ni:- Bingwa wa Nbcpl- π—¬π—”π—‘π—šπ—”...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa vile fainali itawakutanisha Yanga na USM Alger. Kwa kuangalia takwimu za timu hizo mbili, ni dhaniri kuwa Yanga ina edge dhidi ya USM Alger kwa Vile Marumo Gallants waliwafukia USM Alger na...
1 Reactions
5 Replies
760 Views
Kuna kila dalili za ubashiri kuwa, msimu huu wa 2022/23 timu ya Yanga ya Tanzania itafanikiwa kunyanyua makombe matatu (ligi kuu, Kombe la FA (Azam confederation) na Shirikisho CAF), na hali hiyo...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwanza nitoe pongezi kwa Yanga na MASHABIKI wake kwa kutinga Fainali kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa. Mchezo wa Yanga na USM alger katika dimba la nyumbani hautakiwi kuwa na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello bosses and roses Kwa takwimu zangu naona jezi ya yanga ndio inayovaliwa sana mitaani, wiki mbili zilizopita nmesafiri mikoa tofauti tofauti lakini kote unakuta ni jezi ya yanga ndiyo...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Nimecheki baadhi ya video za USM Alger Nimeona hawana mpira wa kutisha zaidi marumo ni Hatari kuliko wao. Labda kitakacho tuponza yanga ni ufupi wa mabeki zetu tu kwa hiyo tukiweza kuwadhibiti...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa dharau walizozionyesha Kwa kocha wetu mgunda, naishauri tumchangie FEITOTO kama reaction.
3 Reactions
9 Replies
349 Views
Kwa mujibu wa vyanzo nyeti kutoka klabu yetu pendwa, ni kwamba kocha Robertinho ametoa mapendekezo yafuatayo. Beki wa kati wa rayon sports, na winga wa rayon sports Henry ntima. ( Wachezaji 2)...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Hizi kelele hazimzuii mwarabu kuwanyonya ma.vi. Mliniboa kutukana wazee wasio na baya nanyi. Nendeni uarabuni na kauli mbiu yenu kivumbi na jasho kama hamtarudi mmekufa kifala
1 Reactions
4 Replies
285 Views
Wakuu nadiriki kusema kwamba hii Yanga tuliyoishuhudia jana ndiyo timu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Africa mashariki na kati, hakujawahi kutokea timu ya hapa Africa mashariki na kati ikaupiga...
20 Reactions
71 Replies
4K Views
Hivi haiwezekani kucheza bila ahadi.hiz ahadi huvuruga Sana wachezaji hupanga hesabu zao za matumizi na kusahau Kaz yao uwanjan Pia suala la wanasiasa liangaliwe nalo Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
10 Replies
576 Views
Kwahiyo hiyo Mvua kwa dakika zote 90 na zile dakika 10 za Kubebwa ( Kutafutiwa Goli ) ilikuwa ikinyesha upande wa Yanga SC tu ( kwa Wachezaji Wao ) na kwa Klabu ya USM Alger kulikuwa na Jua...
1 Reactions
2 Replies
655 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…