Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni moja kati ya wanasoka nguli waliowahi kutikisa ulimwengu wa soka zama zake, Fatilia mkasa wake.. Part 1:: Diego alizaliwa sehemu masikini alishindwa kuweza hata kumudu nauli ya kwenda kufanya...
0 Reactions
5 Replies
926 Views
Ukweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau. Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana...
19 Reactions
42 Replies
4K Views
1)Mwaka 1977, Simba iliweka rekodi katika mechi za watani wa jadi kwa kuifunga Yanga mabao 6-0. Zaidi ya miaka 42 rekodi hiyo haijafikiwa. 2)Mwaka 1938, Sunderland (kwa sasa Simba SC) ilikuwa...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Naona taratibu wameanza kurudisha utawala wao. Kwa sasa wana timu 5 zinazo cheza hatua za nusu fainali. Pale champions league kuna Ac Milan na Inter Milan. Hawa wanaenda kukipiga nusu fainali wao...
15 Reactions
45 Replies
3K Views
Sijajua vigezo wanavyotumia TFF lakini hata kwa kipofu asiyetazama mpira na kusikiliza kwa Radio anajua kazi kubwa aliyoifanya Khalid Aucho, TFF inathubutuje kutomtaja katika orodha ya viungo...
0 Reactions
5 Replies
642 Views
Tff na Bodi ya ligi haya ni madudu makubwa Tena makubwa sana mliyoyaonesha ya kutoa orodha ya majina ya wanao wania hizo tuzo kabla ya ligi kufika tamati. Bila kupepesa Macho NALIA NGWENA na...
2 Reactions
14 Replies
577 Views
Nikiwa timamu na akili zangu zote nimeamua kuzichukua dhambi zote za yule aliyefanikisha usajili wa Fiston Kalala Mayele[emoji146]. Huu ni usajili bora zaidi kwenye ligi yetu toka kuumbwa kwa...
16 Reactions
21 Replies
1K Views
Huwa nafikilia sana mtu kashiba chipumu na kitambi chake Cha kifaduro unakuta ana shupaza shingo na kusema kuwa Yanga inanunua mechi. Tazama mechi ya Yanga vs Dodoma mpira uliochezwa. Tazama...
2 Reactions
2 Replies
578 Views
Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Mpira wa Afrika umetawaliwa na timu kutoka Afrika ya kaskazini au tunaweza kuwaita Waarabu. Baada ya mamelody kuondoshwa mashindanoni na Waarabu wa Wydad, Sasa ni wazi kuwa kwa sisi waafrika...
17 Reactions
52 Replies
3K Views
Mchezo huu ni wa Nusu Fainali ya pili baina ya timu hizo katika Ligi ya Mabingwa Afrika, unapigwa Nchini Afrika Kusini baada ya awali kumalizika kwa suluhu ya 0-0 Nchini Morocco. Mchezo umeanza...
9 Reactions
405 Replies
24K Views
Pochettino hana uwezo wa kufundisha timu yenye malengo makubwa,hivyo anaenda kuipeleka hii timu kuwa midtable team..... Mtag mmaliza chaki yeyote unayemfahamu,mimi naanza na lembu
2 Reactions
16 Replies
621 Views
Goli pekee la ushindi la Nottingham Forest lililowekwa wavuni na Taiwo Anoniyi dhidi ya Arsenal, leo Mei 20, 2023 ni rasmi limeifanya Manchester City kutwaa ubingwa wa ligi hiyo ikiwa na michezo...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Hatimaye timu ya Marumo Gallants aka Bahlabani ba Ntwa wameshuka daraja baada ya hapo jana kufungwa bao 2 kwa sifuri na timu ya Swallows katika ligi ya Premium ya Afrika ya Kusini Itakumbukwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mzamiru yasini kaonekana kwenye tunzo ya mchezaji Bora lakini pia kaonekana kwenye tunzo ya kiungo bora. Hii ni tofauti na Yanga kutokana na kikosi kipana alichonacho na ndiyo maana Khaleed Aucho...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, ujue dunia inaenda kasi sana. Ni muda mrefu taifa letu limekuwa linalililia uwakilishi wa vilabu vyetu kimataifa. Hatimaye Mungu amekisikia kilio cha watanzania baada ya muda...
0 Reactions
10 Replies
574 Views
West ham alinipiga kimoja. Naona nae ameshapigwa naombea yabaki hivhiv ili waendelee kupumuliana. Zaidi ajitahidi draw
2 Reactions
9 Replies
734 Views
Hapa bodi ya ligi na TFF mmefanya jambo la maana kwa maslai makubwa ya mpira wetu === BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inawataarifu kuwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu ya NBC msimu wa...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Mimi utabiri wangu upo hivi[emoji116][emoji116] Kipa bora -Diarra (sababu ana cleansheet nyingi kuliko makipa wote) Kiungo bora -Chama ( sababu ana assist nyingi kuliko wote) Mfungaji bora...
2 Reactions
8 Replies
560 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…