Nimeshangaa sana kuona hao mabeki hawapo katika orodha ya mabeki bora katika msimu huu wa NBC PL 2022/2023, Pamoja na michango yao mikubwa sana katika timu zao.
Mbali na hayo, Hivi unaanzaje...
Nimekuwa nafadhaika mno kwa kusikia timu inapofanikiwa kucheza ligi kuu hapa nchini inabadili jina.
Utakuta timu imepigana kwa jina lake halisi inapofuzu tu kuingia ligi kuu unasikia...
Kiasi unachopokea kihasibu tunahesabia ni baada ya kutoa matumizi.
Kwa kila safari ya kwenda kucheza mechi za nje, gharama inaweza kuwa milioni 40 kuanzia tiketi za ndege, gharama za malazi...
Nimefuatilia kwa karibu matumizi ya V.A.R katika mashindano ya CAF na kusema ukweli huwa sina imani na jinsi zinavyotumika hasa pale timu mojawapo ni ya Afrika Kaskazini.
Kwa mfano najiulizaga...
Habarini za Jumapili iliyotukuka wakuu.
Nominees za Tuzo za Msimu huu zimeshatoka na Simba ni Moja ya Team Iliyotoa Nominees wengi kulinganisha na Team zingine ila ukiangalia ni Wachezaji wawili...
Yanga tunaomba mjitanidi sio tuu kuandika historia yenu na kuweka Tanzania kwenye ramani ya soka Bali nyie ndio Timu pekee imesalia kwenye mashindano ya CAF kuwakikisha Afrika Kusini Mwa Jangwa la...
Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo.
Ukiingia mashindano ya...
Wakuu, mwenzenu napenda sana kufanya mazoezi ya viungo hasa nikiwa home.
Huwa nafanya mpka naishiwa style za mazoezi. Naomba kujua App nzuri ambayo ninaweza kuipata playstore niwe nabeba madini...
Kutokana na vilabu kusheheni wachezaji wa kigeni, nashauri motisha ya rais itolewe kwa timu zetu za taifa zikiwemo ile ya mabinti iliyofanya vizuri sana kwenye mashindano ya soka la kimataifa na...
Kumezuka kelele nyingi sana huko katika mitandao ya kijamii,kwenye madaladala,vituo vya mabasi,maofisini na vijiwe vya kahawa
Kukiwa na makundi mawili ya washabiki wa simba sc
Kundi la kwanza...
Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio...
Salute Wana JF..
Ama baada ya salamu twende kwenye mada moja Kwa moja Leo TFF imetoa baadhi ya majina na categories ambazo wachezaji watawania tuzo mbalimbali kutokana na viwango walivovionesha...
Summary
Salamu za China zimetolewa na Balozi wao wa nchini Tanzania Chen Mingjian kupitia ukurasa wake wa Twitter akiwapongeza Yanga kwa kufika hatua hiyo ya kihistoria.
YANGA imeendelea kupokea...
Mpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba.
Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa...
Arsenal ni timu iliyo undwa kwa ajili ya kuzalisha vipaji ili timu za wakubwa (mfano man united, man city, liverpool nk) ziwanunue na kuwatumia kupata makombe!!
Refer van parsie ambaye kama sio...
timu inapotolewa katika hatua fulani, ndiyo hupatiwa pesa iwe ni makundi, robo fainali, nusu fainali ama hadi imalize fainali.
timu ikiishia makundi inapewa pesa, wanaosonga mbele robo fainali...
Wakuu habari ya leo!
Nawaomba wale tuliombeza Kocha bora kwasasa ulimwenguni kutoka Man City, Pep Guardiola kuwa atachemsha vibaya ndani ya ligi ngumu ya EPL tukutane hapa.
Baada ya mechi 11 za...