Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Shirikisho la Soka Afrika limetangaza ongezeko la Asilimia 40 katika zawadi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, ivi ndivyo viwango vipya vya fedha kwa kila hatua; Ligi ya...
6 Reactions
121 Replies
12K Views
Kamati imeutukana mpira wa miguu😀! Khalid Aucho ndie anaamua Yanga icheze vipi, kwa kasi ipi na mwelekeo gani! Bahati mbaya wamemchinjia baharini, alipaswa kuwemo kwenye orodha ya Kiungo Bora.
0 Reactions
5 Replies
505 Views
Leo TFF imetoa orodha ya Wachezaji na Walimu wanaowania tuzo mbalimbali za Ubora Kwa msimu wa 2022/2023. Ni Jambo jema linaloleta motisha Kwa Wachezaji na Walimu kuonyesha jinsi kujitoa kwao...
1 Reactions
9 Replies
775 Views
YANGA imeendelea kupokea salamu za pongezi ambapo China nayo imetoa pongezi zake kufuatia timu hiyo kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Salamu za China zimetolewa na Balozi wao wa...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Sasa Rasmi nimeamua kumvua Feisal Salum jina la ZANZIBAR FINEST na kumpatia jina hili kijana mdogo anayepiga kazi kubwa mno na kuibeba Zanzibar kwenye mabega yake na siyo mwingine Bali ni Ibrahimu...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Nawaona washabiki wa Simba wanalia na usajili, Sasa hata kama Mo akitoa Hela hao best players mtawatoa wapi, maana timu mbili tu ndo Zina wachezaji Wazuri na wanaowafaa yaani yanga na Mamelodi, na...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, hata historia ya nchi yetu utakutwa inaandikwa kwa maslahi hivi ya upande fulani. Soma nukuu hii na imetokea mwaka huu tu lakini pana kikundi kinataka kutuaminisha kuwa waondo wa mwanzo...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Hadi kufikia sasa ambapo Simba ametinga robo fainali kibabe, kwa kumchabanga Horoya mabao 7-0 kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika CAFCL, huku Yanga ikitinga robo fainali kombe la Shirikisho...
6 Reactions
78 Replies
8K Views
Ni wazi nyeupeee peee kwamba sasa ni yanga vs usm alger fainali ya shirikisho afrika Anaenuna na anune ila huo ndio ukweli Tukutane tar 28 mwezi huu halafu tuhitimishe tar 3 mwezi ujao Kila la...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Soma kwa makini na ikumbukwe bado Yanga anaendelea.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuweke rekodi sawa, Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39 Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa. Majirani...
11 Reactions
11 Replies
2K Views
Bila kujari Yanga itaanzia wapi lakini natowa wito kwa matawi yote ya Yanga nchi nzima na kwa uongozi wa Yanga huu ndio muda sahihi wa kupanga mkakati kabambe kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi...
35 Reactions
77 Replies
8K Views
Fiston Kalala Mayele ni Mshambuliaji mwenye kila Kitu ambacho Kocha atakipenda. Kwanini GENTAMYCINE nampenda mno Fiston Kalala Mayele kuliko Wengine Wanaojitafuta akina Phiri na Baleke? 1...
39 Reactions
37 Replies
3K Views
Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu...
14 Reactions
42 Replies
3K Views
Huyu mwamba ukimuangalia kuanzia umbo lake, jinsi anavyowapa shida mabeki wa timu pinzani, jinsi anavyofunga magoli, na jinsi anavyoshangilia magoli aliyofunga unapata picha halisi ya Mwamba wa...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Hawa tumeingia nao fainali lakini tushawahi kucheza nao kitambo na tukawaua, mechi hiyo ilihuhduriwa na Mkuu wa majeshi na Manji, tena kipindi hicho Yanga ya kuunga unga mwana
2 Reactions
6 Replies
3K Views
[emoji94] Ile timu tuliyoaminishwa kuwa ni bendi kwakuwa imekusanya wakongo wengi hatimae imetinga fainali ya CAFCC duuh, na ndo hao hapo wanakata mayenu baada ya kumaliza kazi ya msingi...
3 Reactions
5 Replies
681 Views
Kwa mujibu wa shirika la Soccerzone, iliyotoa orodha ya vilabu vyenye mafanikio zaidi kwa kila nchi, Club ya Yanga pekee imeng'ara kwa alama nyingi zaidi ikiachwa mbali kidogo na mahasimu wao club...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya jana Yanga kushinda south Afrika imezua taharuki kwenye kipindi cha EFM ambacho pundit wote waliitabiria Yanga kupigwa kipigo cha mbwa mwizi south afrika Swali ni kwamba wataongea...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Josep ‘Pep’ Gurdiola na Nasreddine Nabi ‘Prof Nabi’ ni makocha 2 maarufu sana ambao wanakimbizia rekodi zinazofanana katika maeneo tofauti. Pep kocha maarufu Duniani kote anakimbizia rekodi ya...
2 Reactions
0 Replies
615 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…