Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
6 Reactions
107 Replies
7K Views
Nitasikitishwa sana Kama kombe la shirikisho litakwenda Algeria wakati Kuna kamati za ufundi za ufundi za Simba na Yanga huwa zinakesha kwa mkapa na muda mwingine huwa zinagombea kuulinda uwanja...
5 Reactions
5 Replies
509 Views
Wananchi mmekuwa na msimu bora kabisa, naiona treble msimu huu yaani NBC,FA,na CAFCC. Kazi nzuri sana,hongera sana kwa nabi,na rais ..
15 Reactions
31 Replies
1K Views
Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat. Yanga ndiye bingwa wa confederation cup. Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna msemo umekua maarufu sana kwa sasa, kwamba mpira ni mchezo wa hadharani watu wanacheza uwanjani na kila mmoja anatazama, kama kuna sehemu ambazo yanga wamefanikiwa sana ni kuwekeza kwenye...
13 Reactions
11 Replies
1K Views
Mafanikio hayana chama Kama wahenga wanavyosema.kitendo cha yanga kufikia fainali ya kombe ya shirikisho n Jambo kubwa kwa maendeleo ya soka la Tanzania lakini Kuna msemo unasema "Roma...
2 Reactions
0 Replies
530 Views
Simba haikustahili kuwa kumi bora kwa club rankings za CAF, haina kombe lolote wala mafanikio yoyote msimu huu inakuwaje ya 10?
8 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari! Kuiga jambo si ujinga, cha muhimu ni kuangalia faida za jambo lenyewe. US. hawana kuchelewachelewa kwenye suala la kutoa offer ya uraia wa kudumu kwa mgeni anayefanya vizuri. Wakiamini...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Usm Algiers haina ubavu wa kuifunga Yanga na kwa maana hiyo Yanga atabeba ndoo ya CAF Confederation of Losers. Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Simba SC, Kanjibai mwaka huu atatimua hadi mesenja.
4 Reactions
8 Replies
883 Views
Pole sana Kipa Msheri vumilia hadi Yanga SC itinge Fainali ya CAFCC leo ichukue na Ubingwa utapona kabisa tatizo lako lisilotibika Hospitali huku Ugonjwa wako ukifichwa na Suala lako likifichwa...
6 Reactions
63 Replies
6K Views
Pamoja na Kumbeza sana, Mchezaji aliyepo kwa mkopo katika klabu ya Yanga, akitokea Berkane ya Morocco, Tuisila Rossein Kisinda, naona kila sababu kwake kushinda medali nyingine ya kombe la...
4 Reactions
10 Replies
958 Views
Yanga hawajaruhusu bao toka mwezi 2 kwenye michuano ya caf waliporuhusu bao dhidi ya bamako kule mali baada ya hapo wameshinda na kufunga mabao 9 ndani ya mechi 6 bila kuruhusu bao. Wamecheza...
16 Reactions
28 Replies
2K Views
Mpira wa Tanzania umekua hili halina shaka, nadiriki kusema Tanzania ndiyo nchi inayoongoza kuwa na wapenzi na mashabiki wengi wa mpira afrika mashariki na Kati. Kitu ambacho kilitushinda sisi na...
5 Reactions
2 Replies
478 Views
Mfano Yanga kuingia tu Fainali ina uhakika wa dola lake nane. Ikichukua ubingwa itakunja dola milioni mbili. Simba kuingia robo Fainali ya Champions League walikunja dola mia kadhaa. Pesa hizi...
1 Reactions
5 Replies
483 Views
"Mfa maji aishi kutapatapa" hayo ni maneno machache yenye maana kubwa sana. Nimewatazama vizuri sana marumo Fc, kwa kweli Wana mpira wakawaida tu Tena mpira unaochezwa na Yanga ni Bora zaidi...
18 Reactions
85 Replies
4K Views
Kampiga na kumtoa nje ya michuano Mwarabu (Club Africain), hakuna timu Tanzania imewahi kumfunga Mwarabu akiwa kwenye ardhi ya nyumbani kwake ndani ya dk. 90! Kampiga Rivers nyumbani kwake...
20 Reactions
7 Replies
2K Views
Ubatizo ni kuzamishwa hadi usionekana, ndicho kilichofanyika kwa Real Madrid, amezamishwa! Ukiwauliza watakuambia huo moto waliobatizwa nao si wa kitoto. Hongera Man City, ila chonde chjonde...
0 Reactions
8 Replies
649 Views
Marumo gallants ni pombe ya ngomani Kila mtu mlevi anajipigia , Nitawashangaa na kuwadharau wananchi kwa kujisifia kwa kumpiga marumo goli za kutosha Marumo kufungwa ni asili Yao .Yan huwezi...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Bahlabani ba Ntwa ba Utopolo [emoji196][emoji196][emoji196] Utopolo [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350] Mmeingia cha...
7 Reactions
113 Replies
6K Views
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1] Mnawacheka Marumo kupigwa 4 na Yanga hawa Madrid vipi? Ukiingia kwenye mfumo wa timu bora haijalishi ukongwe wako watu...
0 Reactions
1 Replies
364 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…