Siku tukifikia muafaka kuwa Chama sio mchezaji wa mechi ndipo Simba tutatoboa Nusu fainali michuano ya CAF.
HUYU JAMAA NI MCHEZAJI WA KU-SHINE dhidi ya Ihefu FC na Ruvu Shooting.
Yaani inakuwaje...
Tusijihangaishe sana, mechi siku ya Jumatano imeisha kihivyo. Achana na tabiri uchwara zote ambazo umezisoma mahali, haya ndio matokeo ya Jumatano.
#YoungFc35
Iingeze idadi ya watu itakao wasafirisha kwenda kushangilia first leg ya fainali, na safari hii iongeze 55 wengine watakaopenda kwenda kuishangilia timu itakayopambana na Yanga.
Maamuzi ya...
Kwanza nachukua fursa hii kuwapongeza Yanga pamoja na kwamba kwenye haya mashindano karibia timu zote zilizoshiriki zina hali mbaya ya kushuka daraja kwenye ligi zao.
Sio kwamba mmepata mafanikio...
Ukweli ni kwamba,marumo japo inakaribia kushuka daraja lakini uwezo wa wachezaji wake ni mkubwa kuliko timu yangu ya yanga na sijui tutafanyaje kuwazuia wasitufunge.tutatolewa tu
Pamoja na uzoefu wa Simba kucheza marobo fainali yasiyo na tija kwa miaka mitano lakini hakuna walichojifunza au kusogea hapo walipo.
Yanga anakwenda bila uzoefu na amefika Fainali; Simba...
AP | May 17, 2012 12:38:29
ARUSHA, Tanzania (AP) Former
Rwanda soccer captain Patrick
Mafisango has died in a car crash in
Tanzania. He was 32. Mafisango's death early Thursday was...
Kama utani vile, ndugu zetu hawana chao huu msimu.
Bundi kasimama juu ya bati lao, hamna waliloambulia msimu huu.
Tusiwasimange tuwape pole, na wao wasibeze mafanikio ya waliowashinda bali...
Kuna kauli ilitolewa na Mwanachama mwandamizi wa makolo MINOCYCLINE , rejea huu Uzi Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3
Wote...
Mshambuliaji wa Brentford Ivan Toney afungiwa kucheza, kushiriki mpira wa miguu kwa muda wa miezi 8 kuanzia leo pamoja na kulipa faini ya Tzs 150,000,000/
Hapo mwaka jana alikutwa na tuhuma za...
Mshambuliaji wa Brentford, Ivan Toney, amefungiwa kujihusisha na mpira kwa miezi minane kwa kosa la kukiuka sheria za chama cha soka cha England, FA, kuhusu kubeti.
Kifungo chake kutaisha Januari...
Kumekucha tena wakuu, habari zenu wapenda soka? Ni imani yangu kua mko poa.!
Leo ndo ile siku ambayo wananchi wamekua wakiisubiri Kwa hamu kubwa. Si mlisikia kua kutesa Kwa zamu? Naam Yao imepita...
Picha chini inajieleza, hao Marumo Gallants wako nafasi ya 14 kwenye ligi kuu ya Afrika kusini, in short wanaelekea kushuka daraja.
Mtu aniambie, ni lini hapa duniani timu inayoshiriki nusu...
(1) Fistoni kalala mayele
Anachezea club ya Young African sc iliyopo nchi ya Tanzania, mpaka Sasa amefunga jumla magoli sita (6)
(2)Ranga chivaviro
Anachezea club ya Malumo gallants ya south...
1/ uchezaji wa Marumo gallants Fc, nimewatazama sana Marumo uchezaji wao ni wakufunguka (piga nikupige)
Kutokana na mbinu hizo Kuna uwezekano mkubwa sana Yanga akapata goli maana Marumo kwenye ku...
Jumatano hii yanga itashuka dimbani kukipiga na marumo mchezo wa pili wa nusu fainali. Habari njema nikuwa yanga watafanikiwa kupata sare na kusonga mbele kwenye michuano ya Kombe la shirikisho...
1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke.
2. Ili Uongozi...