Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kabisa Tena kwa moyo mkunjufu kwa Yanga sc kutwaa ubingwa /kuchukua kombe la Nbcpl kwa Mara ya ishirini na tisa (29). Hakika pongezi hizi zifike kwa...
18 Reactions
61 Replies
6K Views
Hii picha ni ya jana na imenifanya kujiuliza Feisal ambae TFF wanatueleza ni mchezaji halali wa Yanga mbona hayumo? Sent from my LLD-AL00 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Agent chama akiwa na mteja wake.
1 Reactions
5 Replies
638 Views
Katika mahojiano Pep Gudiola aliulizwa maswali mengi ila ya kuhusu kumsaidia Arteta na arsenal,pep aligeuka mbogo Mwanahabari: unamsaidia arteta kwenye mbinu za kushinda mechi? Pep: swali gani...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu, ameipongeza Klabu ya JKT Tanzania kwa kurejea kucheza Ligu Kuu Soka Tanzania Bara msimu mwaka 2023/2024 baada ya kumaliza vinara...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Rekodi za Simba msimu huu zimebezwa sana kiasi kwamba watu wamekuwa wanazungumza mambo yasiyo na uhalisia ili tu ajenda zao binafsi ziaminiwe. Kuna takwimu nyingi zinazothibitisha kwamba Simba ya...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari kwenu nyote. Katika kile ambacho TFF na Bodi ya Ligi inakipinga kila siku suala la upangaji wa matokeo,lakini wao kwa namna moja ama nyingine wamekua wakikifanya kwa makusudi kabisa bila...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Hii ni rekodi nyingine kwa kikosi cha wiki cha Caf klabu ya Yanga kutoa wachezaji 7,itabaki na itaishi hii
12 Reactions
47 Replies
6K Views
Ndugu zetu wamechukua kombe lakini njia walizopitia zinasikitisha sana. Kama unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Jamaa wametumia A4 sana katika mechi zao. Kwa haraka haraka unaweza sema...
7 Reactions
70 Replies
4K Views
Siyo mbaya kwani anayejua anajua tu na hakuna cha nyumbani wala ugenini, ingawaje kiafrika wa nyumbani ana faida kuliko mgeni. Ni barua ya mwaka jana, hakuna kulalamika. “The final shall be...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Natoa kongoleee kwa wachezaji wa Yanga na benchi la ufundi pamoja na viongozi waandamizi wa Yanga. Hakika mnastahili kongoleee kwa hii hatua mliyofika kwa kutanguliza mguu mmoja mbele kuelekea...
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Mudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good. I hope these CAF competitions highlights his career to...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
@jemedarisaid I think now you getting on my nerve small issues you want to make stories like you even know football when all you do is talk day in day out you just talk about football guy don’t...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Mpira ni uwekeaji, uongozi wa vijana na usajili wa vijana wenye vipaji. Mpira unachezwa na vijana hivyo huwezi kuwa na viongozi wa mpira wazee waongoze mpira. Mpira sio ulozi na mizengwe bali...
2 Reactions
2 Replies
413 Views
Bila kupepesa macho, naomba Yanga wafungwe goli za kutosha huko South. Sababu ni kuwa wametukebehi sana sisi tusiowashabikia baada ya kaushindi kao ka juzi.
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Yanga kuitetemesha Afrika. Namshauri Rais zile 10 ml kwa kila goli aachane nazo badala yake atoe ndege za Dreamliner 2 zipeleke washangiliaji kwy fainali kuwatia hamasa Mayele na Morisson ili...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Niwapongeze Yanga kwa kuchukua ubingwa tena msimu huu. Mlistahili kwa mikakati mingi mizuri mliyokuwa nayo zaidi katika usajili na mengine mengi. Pia niwatakieni kila la heri ikimpendeza Mungu...
14 Reactions
14 Replies
780 Views
Kwa muda mrefu sasa nimekua nikifanya tafiti juu ya uelewa wa mpira wa mashabiki wa simba, na mambo niliyagundua ni yafuatayo 1) Wengi wao mpira wameanza fatilia 2019 2) Wengi wao dish zimeyumba...
10 Reactions
14 Replies
1K Views
KLABU ya Yanga SC ilimsajili na kumtambulisha beki wa kati, Mamadou Doumbia (27) kutoka Stade Malien ya Mali. Hili lilikuwa beki la CHAN na majina mengine kibao. Baada ya hapo hata bench...
5 Reactions
63 Replies
4K Views
📝Watu wengi Sana wamekua wakijiuliza ni kwanini falinali za kilabu bingwa afrika na zile za shirikisho zinapigwa home and away mpaka Leo na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema mfumo huoo ni wa...
19 Reactions
55 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…