Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Waaaaaarabuuuuuuu[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350] Wameingia cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tarehe...
25 Reactions
113 Replies
4K Views
NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji simba vs ruvu Shooting Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea...
5 Reactions
267 Replies
13K Views
Wananchi wanakipiga dhidi ya Dodoma FC leo! Wanahitaji point 3 tu watangaze Ubingwa! Unadhani kazi itakua rahisi kwa Yanga mbele ya wanaDodoma? Wanangu wa mikeka ya Sokabet, Cheki Odds hapa👇
0 Reactions
2 Replies
563 Views
Jamaa wana spidi na wanafika hadi langoni na pasi ni za uhakika sana. Inatakiwa benchi la ufundi lije na muarobaini wa kuwazuia jamaa wasifike langoni. Maana mechi ya Dar ilikuwa ni almanusura...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo...... 1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania? 2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako...
12 Reactions
55 Replies
7K Views
MOHAMED HUSSEIN TRANSFER UPDATE🔴 - Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Simba, MO Hussein anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent)...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?
3 Reactions
10 Replies
974 Views
Juzi zimetoka taarifa za upangaji matokeo kati ya mwenyekiti wa timu ya kitayose bw. Yusufu Kitumbo na baadhi ya wachezaji wa Fountain gate. Clip za maongezi hayo zimesambaa pamoja na miamala ya...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Hakika timu za Mwanza zinabahati ya mtende Sana japo sio wao waliopanga iwe hvyo Mgagasiko wa upangaji wa matokeo kwa timu ya kitayose toka tabora utainufaisha pamba kupanda daraja Kama...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee. Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
1.Al Ahly 2.Wydad Casablanca 3.Esperance de Tunis 4.Raja Casablanca 5.Mamelodi Sundowns 6.TP Mazembe 7.Zamalek 8.Horoya 9.Petro de Luanda 10.Simba 11.CR Belouizdad 12.JS kabylie 13.Al...
26 Reactions
110 Replies
10K Views
Leo Simba mnyama mkali mwituni (in Greatest Of All Time 's voice) anacheza na Marumo Gallants ya hapa Bongo, hivyo Mimi kama Afisa Ubashiri Mwandamizi Daraja D (Iwapo Mama akifanya kweli May hii...
9 Reactions
27 Replies
943 Views
◉ TP Mazembe imepokea ofa rasmi kutoka Ulaya kwa Jean Baleke, imethibitishwa 100%. ◉ Klabu iliyowasilisha ofa hiyo ilicheza hatua ya makundi ya Ligi ya Europa msimu huu na mwaka ujao, itacheza...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Timu ya Ruvu Shooting imeshuka daraja rasmi kutoka ligi kuu hadi Championship (ligi daraja la kwanza) msimu ujao baada ya kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Simba katika mchezo wake wa 28 msimu huu...
1 Reactions
5 Replies
765 Views
Hivi kwa nini sasa hivi kila media ina wachambuzi wengi wa soka? Kipindi kimoja wachambuzi 8? Kuanzia asubuhi, mchana na usiku kote Kuna vipindi vya uchambuzi. Kuna redio moja kipindi cha lisaa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
... Tangu Bacca aanze kucheza kwenye kikosi cha Yanga kwenye michuano ya CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! 🙌 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Bamako 🇲🇱 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Monastir 🇹🇳 🇨🇩 TP Mazembe 0 - 1 Yanga 🇹🇿...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
[emoji612] Vituo vya kununua tiketi za mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting. #WenyeNchi #Thimba #GuvuMoya
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limewafungia kujihusisha na mpira Mwenyekiti wa Kitayosce FC inayoshiriki Ligi daraja la Kwanza (Championship), Yusuph Kitumbo na kocha wa soka, Ulimboka...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wana jf Pale Mwanzo wakati jezi za Simba Zina zinduliwa tukikutana na ndugu Mshana Jr kuzijadili kutokana na kujaa Kwa Makolo kolo mengi kwenye jezi hizo hivyo kuleta uzito watimu imagine...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika ulimwengu wa roho kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea ni kitu kimoja tu nacho ni "Ini". Ndiyo, ini ndiyo kitu pekee kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea (katika ulimwengu wa...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…