Kocha mkuu wa club kubwa Tanzania(Simba SC) ndugu Robertinho, amesema kikosi kiko tayari kuikabili Ruvu Shooting ya Pwani. Akizungumza na Raia Mwema amesema wanatarajia kushinda kwa idadi kubwa ya...
Kuchomekea shati au tu kochomekea tu ni ishara ya udhanifu na heshima duniani kote. Hilo linafahamika wazi.
Ukiangalia wachezaji wa mpira kabla 2005 kurudi chini walikuwa na heshima, dhanifu sana...
Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya...
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limetangaza Kamati mbalimbali kwa lengo la kuboresha utendaji wa shirikisho hilo.
Kamati hizo zimetangazwa na Rais wa RT, Silas Isangi, mbele ya waandishi wa...
Ameandika Ahmed Ally
===
Mara kadhaa utasikia shabiki anasema sisi tunaumia kuliko Wacheza ji au Viongozi.
Ndugu zangu ilimradi sote tuna damu ya Simba basi wote tunapitia maumivu, kinachotokea...
Ukipanda bangi siku zote usitegemee kuvuna Mahindi na ndivyo ilivyo kwenye maisha, ukichezea maisha ya ujana usitegemee kufanikiwa uzeeni.
Kwenye mpira pia iko ivyo, Simba wamekuwa wakiishia robo...
SIMBA kwenye misimu tano ya ubora wake ameshindwa kupasua ukuta wa nusu fainali Afrika.
YANGA msimu wa pili wa ubora wake yupo Nusu fainali ya michuano ya klabu barani Afrika.
The sleeping...
Ukiwa tayari nikufanyie hii Kazi Tukuka nenda Ofisi za JamiiForums mtafute Kaka yangu na Mtani wangu mkubwa wa Kihaya JamiiForums Founder Maxence Melo mkabidhi huo Mzigo nitaukuta Kwake...
Milioni 300
Kwa ushindi wa jana, Yanga wanakaribia kuvuta bonasi ya Tsh. 300 milioni ambazo mabosi wa timu hiyo wamewaweka nyota wao endapo watafuzu fainali hizo[emoji383][emoji383].
Mnyama aligonga sana mlango wa Nusu fainali zaidi ya mara nne ila Wahuni na Masela wakamwambia sogea tuvunje mlango tuingie, hakuna Masterkey kwenye kufuri la Solex ni tindo na mateke tuzame...
Kwa mpira uliochezwa na Kikosi Cha Yanga kilivyo Leo nimeamini kuwa sisi MAKOLO Bora tungehamia Zambia kama tulivyotaka kufanya enzi zile.
Kwa kikosi Mahiri Cha wananchi aliyeko nje ni moto...
"Ni kweli nimekaa Tanzania na Mimi sasa ni Mwanamchi mwana Yanga SC ila nawaonya Yanga SC kuwa wahakikishe katika Mechi yao ya Dar es Salaam dhidi ya Marumo Gallants FC wajitahidi wafunge Goli...
1. Kwao huwa hawafungiki na Wageni
2. Kwao hucheza kwa Spidi ya Kutukuka na isiyoelezeka
3. Uwanja wao wa Nyumbani ni mkubwa na mpana kuliko mbovu wa Jangwani na wa Watalii wa Kigamboni
4...
Katika sajili ambazo Yanga walizifanya na scouting ya maana ni uyu mzanzibari Ibrahim Bacca, ni beki ambaye anastahili maua yake
Anajua kukaba mshambuliaji wa aina yeyote yule, anatumia akili...
KIKAO CHA TAKWIMU NA SIO HISIA, UKISHINDWA IN SHAA ALLAH.
CLATOUS CHAMA ni Mchezaji wa mechi ndogo mmesema sio??
Tukiomba takwimu za CAF kwenye klabu bingwa msimu huu namwona ana mabao manne...
Sina mengi ya kusema mtaa ninaokaa hapa jiji la Makala Panadol hazipatikani kwenye pharmacy na ukizipata basi kwa bei kubwa kidogo nilipododosa nikaambiwa toka mechi na Wydad vs Simba hali ya dawa...
Kwa mpunga anaoingiza kwenye biashara kwa sasa pesa zinatiririka mithiri ya mashine ya kutoa copy.
Kipindi cha Kikwete mambo kwa GSM yalikuwa poa sana japo hakuwa kaingia kwenye mpira.
Kipindi...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza au kuuliza, naomba mwenye taarifa atujuze ni wakala gani pekee alifaulu mtihani wa FIFA wa uwakala wa wachezaji?
Je, watanzania ni vilaza kiasi hiki...