Uwanja wa Taifa una hudumiwa na vyanzo viwili vya Umeme. TANESCO na Majenereta ya uwanja.
Mechi ya leo uwanja ulikuwa unahudumiwa na Majenereta ya uwanja.
Baada Majenereta kushindwa kufanya Kazi...
Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Josephine Manase Keenja, Mei 01, 2023 amefunga rasmi mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kwa jina la "KYELA POLISI JAMII CUP, 2023" baada ya kushuhudia fainali...
Wachezaji wetu wawili Chama na Kanoute wanawania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF kutoka kwenye mashindano makubwa ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Haya sasa Wana Simba twende tukapige kura...
Check hao wafutiliaji wa michezo ya Simba na Yanga kimataifa
Yanga anajaribu kujilijganisha na Simba lakini bado sana nasema bado sana.
Huo ndo ukweli wenyewe, huwezi kuwa na timu Bora...
Nawapongeza sana wana lunyasi wotee kwa umoja huu mlioonyesha kwa timu yetu dhidi ya wydad hapo jana...
Kuna baadhi ya wana utopolo hawaamini macho yao..
Kwanza tulimfunga wydad kwa Mkapa japo...
Salaam wakuu
Lengo la kuwepo hapa jf sports ni kupeana ushauri kuhusu mambo ya soka....lkn Je Kuna umuhimu wa kuwepo hapa kama timu Yako imetolewa/ haipo mashindano ya kimataifa (CAF)
Ushauri...
Haiwezekani Taa ziwe zinazima uwanjani mara kwa mara , hii ni dhahiri kishashindwa kuusimamia uwanja huo , kwanza ni aibu kwa Taifa .
Nakumbuka Meneja huyu aliletwa na Mchengerwa , hatujui hata...
“Tumefurahi na lazima tukaonyeshe furaha yetu, kwa hiyo tumeandaa WANANCHI COMEDY FESTIVAL, NJOONI TUWACHEKE wote Waliokufa kiume, kilele chao cha kuchekwa kitakuwa ni Mei 05, 2023, mashujaa wote...
Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo ndani ya uwanja kwa...
RIVERS FC, "Mwana kuli-find, mwanakuli-get". Hatimaye tumemalizana. Mlitutoa, tumewatoa, tunasonga mbele... WE ARE YOUNG AFRICAN..!! Kisasi kimeisha... Kwa hili poleni sana, ndivyo Mpira ulivyo...
Uamuzi wa Kenya, Uganda na Tanzania kushirikiana kutaka kuandaa mahsindano ya AFCON kwa pamoja ni uamuzi mzuri sana ambao utasaidia kuendelea kuzitangaza nchi zetu siyo kimpira tu bali hata...
Jana nchi ya Morocco ilipata watalii millioni 89. Hatujui uraia wao, hatujui tabia zao, hatujui wameoa au kuolewa, ila tunafahamu jambo moja tu kuhusu watalii hawa, wanapenda soka na jana mechi ya...
Najua maumivu waliyonayo upande wa pili ni makali sana, wivu ukijumlisha na chuki vinawafanya wawe na hali mbaya sana zikiwemo stress za kujitakia.
Pamoja na hayo yote bado ukweli unaendelea...
Japo tumeshinda na hapa natoa pongezi kwa wote, wachezaji, makocha na viongozi lakini ukweli ni kwamba yanga bado sana, ama hatuna wachezaji wa kutufikisha fainali au mbinu zetu ni za kizamani...
Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba...
Habari za Mei Mosi wana JF wenzangu. Mimi ni mshabiki kindaki ndaki wa timu ya Yanga. Nilianza kuipenda Yanga kwa sababu mama yangu pia alikua mshabiki mzuri sana wa timu hii. Pia kulikua na...
Poleni wa Tanzania binafsi nimehuzunishwa pia nmefurahishwa na matokeo
Nadhani Sasa tumeona kuwa Simba mechi za ugenini hasa zile ngumu bado ni weupe sana
Baleke kagusa mipira mitatu ndani ya dk...
Salaam wakuu,
BIla Shaka Leo ndio Ile siku ambayo YANGA inaenda kuandika HISTORIA kubwa katika nchi hii Kwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya KOMBE LA SHIRIKISHO na waTanzania Leo tunaenda kuwa...
Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali...