Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hakuna namna Rivers wanaweza kupata ushindi au sare. Hawaoneshi kuwa serious na kazi. Ngoja watimize wajib warudi kwao.
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Kuna ulazima gani kucheza mechi usiku wakat taa zinasumbua?? Kwa nn mechi zisichezwe jioni ili kuepuka usumbufu..?? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
9 Replies
418 Views
Wachambuzi feki wamebaki kuandika viroja na kutukana serikali tu kwa kutouangalia uwanja, tunataka mtuambie hii mechi ikivunjika kwa sababu ya taa CAF watachukua hatua gani? Utopolo wameshapoteza...
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Wenzetu mwendo wameumaliza kimataifa Sasa Kuna uwezekano mkubwa uliojaa chuki (uzandiki) na wivu wa hali ya juu Kama uonavyo mama wa kambo anapoona mtoto wake anafeli halafu wa mwenzie anafaulu...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Arsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja! Klabu...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Nimemsikia mjinga Mmoja kupitia Uhuru Fm anamlalamikia Kijana Mlinda mlango Ally salumu eti hawezi kudaka mechi kubwa yaani , kuongea ongea tu mfano wa walevi.
3 Reactions
26 Replies
966 Views
Haiwezekani kila mara tunaposhiriki michuano yoyote huwa tunaishia robo fainali, Yaani sisi tumekuwa wasindikizaji na wala hatuna taji lolote huku tukiishia kutiana moyo kuishia robo fainali...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Ni aibu ya mwaka hii kati ya Yanga na Rivers muda huu ni giza nene
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa wanalunyasi fc kwa kutwaa tena kombe la "kufa kiume". Hakika mmepambana kwa jasho na damu. Tunaomba ufanyike uwekezaji mkubwa zaidi baadaye tunaweza kuja na...
14 Reactions
22 Replies
1K Views
Ni watatu Duniani kwa Takwimu bora baada ya Haland na Mbape🔥🔥🔥💚💛💚
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Hali ya usalama imezidi kuzorota nchini Sudan baada ya kutokea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Kila shughuli ya kibinadamu imesimama. Wasiohusika na vita wanakimbia kunusuru maisha yao. Hali hiyo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani Tanzania yote sio Simba na Yanga au Mamipira yenu so mtuache na makelele yenu na matarumbeta, filimbo cjui manini tena. Mnakera sio wote tunapenda mpira so tuheshimiane coz wote tukianza...
2 Reactions
13 Replies
548 Views
UONGOZI wa Klabu ya Fountain Gate FC, imemripoti kwenye Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mwenyekiti wa timu ya Kitayosce FC, YUSUPH KITUMBO, kwa tuhuma za kuwarubuni wachezaji...
0 Reactions
5 Replies
865 Views
Nimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga, Kudos.[emoji1666] Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN...
2 Reactions
13 Replies
991 Views
KUNDI C lote limeumaliza mwendo kwenye CAF.
6 Reactions
12 Replies
733 Views
Viongozi wa Yanga mwambie ukweli kocha Nabi kuwa klabu ya simba ilikwishacheza nusu fainal klabu bingwa na fainal kombe la shirikisho inaonekana haijui vizuri Simba. Kama alikuwa anadhani yeye...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda...
8 Reactions
73 Replies
5K Views
Mapungufu haya yafanyiwe Kazi ili Simba SC ya Msimu ujao iwe Moto na tusizoeleke kuishia Robo Fainali CAFCC 1. Kocha Robertino asiwe Mzito au Muoga kufanya Sub kama anavyoonekana na alivyofanya...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Tunakumbuka vizuri sana walivyomuaibjsha yanga nje ndani sasa zamu yao tena wapigwe tu kama 4 zinatosha hao RIVERS
0 Reactions
7 Replies
626 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…