Hapa Leo sitaongelea ushabiki kabisa bali tutazungumza kuhusu mpira na mstakabali wa nchi yetu. Basi nieende kwenye point moja kwa moja nchi yetu ya Tanzania inawatu takribani milioni 60, na...
Huyu jamaa sasa ameanza.kuboa. kuchwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Yanga. Huo ni uswahili kaka. Vichambo vyako vinaboa sana. Jikite kwenye kuipromote timu yako
Maneno yako ya shombo dhidi...
“Nimesikia maneno maneno yameanza, sijui Kombe dogo, sijui vipi, sisi ambao tumesoma sana Dini hiyo ni ishara ya mwanadamu anayeelekea Sakaratul Maut, yaani mwanadamu anaelekea kwenye siku zake za...
Timu haina Aucho, haina Diarra, haina Aziz Ki, haina Morrison, haina Feitoto, haina Juma Shaaban, kocha Nabi hakuwepo na bado imemkafini Mazembe kwao.
Hata kama Mazembe ni wabovu lakn bado Yanga...
Iwapo Simba atakaza kipindi cha kwanza wakatoka 0-0, basi kuna uwezekano mkubwa wa Mnyama kutinga nusu fainali.
Kikubwa wakabe kwa umakini, faulo zisizo na akili wasizifanye katika maeneo ya...
Kuna sababu nyingi zinazoweza kufanya watu wengi kuamini kwamba Simba ni timu bora kuliko Yanga. Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia kwamba michezo ni mchezo na matokeo yake yanaweza kutofautiana...
Kwanza nikiri kwamba nitazungumza bila unafiki na kwa nia ya dhati kabisa naomba nitoe mtazamo wangu kwamba tukiwa kama moja ya klabu inayokuja kwa kasi nadhani wanasimba tuna mengi ya kujifuñza...
Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi.
Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa...
Inasemekana ( bado nathibitisha ) kwa Chanzo changu Aminika kilichopo Kikosini nchini Nigeria kuwa Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morisson alifukuzwa Kambini na kurejeshwa Dar es Salaam Tanzania...
Hakika huu ndio ukweli na hii ni baada ya kuona clip mmoja mtandaoni. Mashabiki wa hii timu wana spirit ya ajabu katika kushangilia na kuna wahamasishaji kabisa wako kwa ajili hiyo.
Wingi wa...
Wachezaji wa Timu ya Tottenham wametoa taarifa kuwa watawarudishia mashabiki wao gharama za ticket baada ya kushuhudia wakifungwa kwa goli 6 na Newcastle
Timu hiyo tayari imemfukuza Kocha wa...
Kwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani.
Kitu pekee...
Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa mechi mwishoni mashabiki wa Waydad walifukiza Moshi na kusababisha mashabiki kutoona na hata waliingia VIP kufanya vurugu ambapo kwenye uwanja wao wa nyumbani...
Kocha Christian Stellini ambaye alipewa mikoba kuongoza timu hadi mwisho wa msimu baada ya kufukuzwa kwa Antonio Conte, naye amefikia ukomo wa ajira yake ikiwa ni wiki chache tangu alipopewa ajira...
Ukweli mchungu/ukweli ambao wanasimba hawataki kabisa kuusikia masikioni mwao ni ukweli ambao ukiuzungumza utapigwa mawe, matusi na kejeri za hapa na pale.
Kwa hali waliyo nayo...
Huu utamaduni wa kushabikia timu moja na kuiombea dua mbaya timu nyingine hauna tija!! Kwani ukiipenda Simba lazima uichukie Yanga? Na ukiipenda Yanga lazima uichukie Simba? Kwani ukiifurahia...
Nyinyi ni watu wa mpira na mnaelewa maana ya Matokeo mliyopata Leo.
Nyinyi mmeuishi mpira naomba mkamwambie mwekezaji ndugu MO ukweli na Nini anatakiwa afanye kuliko kutolewa bila faida yoyote...
Wananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha.
Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo...