Baada ya mechi 2 za Yanga na Al hilal nikaona nisubiri mechi ya leo ili nifanye hitimisho km kweli Nabi ana uwezo wa kuiwezesha Yanga kufanya vzr kimataifa au laa. Nisema tu Yanga wasitarajie...
Tumeingiza wachezaji wawili kwenye kikosi bora cha wiki kwenye ππππ ππ ππππππππ ππ ππππ
Jean Baleke anaongoza mashambulizi, Inonga anaongoza eneo la ulinzi
Yaani kwa ufupi ni kwamba Afrika nzima...
Imekua ni TABIA sio TZ tu hata huko duniani matajiri wengi hununua au kuwekeza kwenye Team za mpira na timu hizo sio haba huwa zinafanya vizuri sana. Matajiri haswa wa Mafuta hupendelea kuwekeza...
Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.
Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba...
Kiufupi Inawezekana.
Nyie wote ni Magiant Ndio maana mmebaki nane tu ; mnaweza kuitoa Wydad hata wakiwa na Vitimbi vipi.
Mkiitaka hii mechi kama wanavoitaka Wydad , mtatoboa. ILA mkienda na...
Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja...
Tulia Ackson Mbunge wa Mbeya Mjini, Mbeya City FC na Prison ziko kwenye hatari kubwa ya kuporomoka daraja.
Una mikakati gani ya kuzisaidia hizi timu? Tunajua umekuwa unajinasibu kuwa wewe ni...
Nakumbuka yanga waliondoshwa kwenye mashindano ya klabu bingwa na Rivers baada ya kuchapwa goli moja bila kwa mkapa na kisha kufungwa tena moja bila kule Nigeria, Yanga walipoteza mechi zote mbili...
NI ndoto inayotisha. Pambano la Simba dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ni ndoto inayotisha. Simba wametoka kufungwa jumla ya mabao 6-1 katika mechi mbili walizocheza na Raja, timu nyingine...
Wakuu hebu tumalize huu ubishi wa muda mrefu kwa kupiga kura nani alikuwa mkali uwanjani katika suala zima la ufundi ndani ya uwanja na kuisaidia timu yake kati ya Zinedine Zidane na Ronaldinho...
Timu ya soka ya Tanzania Prisons maarufu kama Wajelajela yenye makazi yake jijini Mbeya, leo hii imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa moja dhidi ya Geita Gold fc.
Mchezo huo ambao...
Kwenye Picha Hapa Chini Ni Machachari Anaye Chukiwa na Maadui Akiwa na Wenzake Katika Uwanja wa UYO AIRPORT.
Watatu hawa walikuwa na wachezaji waenzao wakikwea pipa kurejea Bongo katika pambano...
Salam wakuu
Katika ulimwengu wa uchumi Kuna kitu kinaitwa opportunity cost ambapo una sacrifice kimoja Ili kupata kingine
Turudi kwenye uchambuzi wetu
Katika kipindi hiki Yanga ilikuwa inapitia...
Yanga wakiwa hawana mpira shape yao ilikuwa 5-3-2 ,lengo la kwanza lilikuwa ni kuwa na vitendo vingi vya kiulinzi(defensive actions) kwenye idara ya kiungo na ulinzi(zone A na B).
Ile pembetatu...
Wananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha.
Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo...