Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Y YANGA imeeleza sababu ya winga wake Bernard Morrison 'BM33' kutotumika kwenye mchezo wa kwanza robo fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabi...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Umebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga Afirika fc. Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
0 Reactions
13 Replies
579 Views
[emoji3578]Anaandika ZAKAZAKAZI "Arsene Wenger, kocha wa zamani wa Arsenal, aliwahi kusema, When you give success to stupid people, it makes them more stupid Unapowapa mafanikio watu wapuuzi...
3 Reactions
6 Replies
899 Views
Kufungwa na simba mechi ilopita ilikuwa ni blessing in diguise. Yanga baada ya kufungwa mechi hiyo na watani wake wa jadi kocha alichambua udhaifu wa timu kiufundi kuanzia idara ya ulinzi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Hiki kinachoendelea hapa TBC juu ya pambano la Mwakinyo sijui tukiite kitu gani. Mambo yako ovyo ovyo. Eti wapiganaji wa mapambano ya utangulizi ni wabunge, na spika juu tena kakimbia pambano dah.
1 Reactions
12 Replies
618 Views
Jean Baleke ni mchezaji mzuri lakini bado hatoshi kuisaidia Klabu katika nyakati ambazo Klabu inahitaji matokeo. Kwa aina yake ya uchezaji anaonekana ni mchezaji wa kuvizia vizia tu, anayekosa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Huyu mchezaji mpya wa vipers kama kweli ana miaka 24, je, we ndugu mwana jamii sport utakuwa na miaka mingapi? Kwa hali hii me nina miaka 12, namiliki mke na mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
1) Yanga imekuwa timu ya Kwanza (CAF) kuwafunga Rivers United nyumbani kwao. 2) Imekuwa timu ya kwanza kuwazuia Rivers Utd kufunga bao (CAF) wakiwa kwao Haya ni matokeo ya Rivers United wakiwa...
15 Reactions
34 Replies
2K Views
Wana JamiiForums nina hii hoja, ''Je Kuna ugumu wa private sector kujihusisha na uwekezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania?" Kuachana na hoja ya kwamba mpira haulipi lakini je kuna ''...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Kongole mtani kwa hicho kidogo ulichokipata pasipo kuwa na tegemezi/matarajio maana hiyo ni zaidi ya kujaribu kujiokoa kutoka kwenye Domo la mamba mwenye njaa Kali. NALIA NGWENA the great thinker...
8 Reactions
91 Replies
4K Views
Sina mengi wenyewe mmeona kwenye mechi ya Leo tarehe 23 April 2023 wakicheza Yanga na Rivers United huko Nigeria Naomba kuwasilisha
12 Reactions
49 Replies
3K Views
Salaam wakuu. Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika...
20 Reactions
91 Replies
4K Views
Juzi wakati watu wanajadiliana ripoti ya mapato na makato ya mechi ya Simba na Yanga, kuna uzi nilitoa comment nikasema ile ripoti imeletwa maksudi kuiathiri Simba. Kuna mtu akanijibu kitu...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika moja ya Habari Uza yao ya Leo wameandika Kipumbavu kuwa Thamani ya Mchezaji wa Yanga SC aitwae Yanick Bangala inainunua Klabu nzima ya Rivers United FC ambayo Wanacheza nayo leo Jioni...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Hawa River sijui wamefikaje robo fainal. Hii timu hata Ruvu shooting Wana afadhali INAONEKANA ligi ya wapopo ni dhaifu kama ligi ya visiwani Zanzibar. No hard feeling, Yanga anatakiwa kuvuka...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa hakika huyu mchezaji (sijapata jina lake) amefanya kazi ya ziada katika upatikanaji wa goli la pili. Amekimbia kwa speed kali na mpaka anatoa pasi, ni wazi alikuwa ametumia maximum energy...
14 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi ushawahi kujiuliza ni kwa nini ukifika mwezi mtukufu wa Ramadhan ligi zote za soka Zanzibar zinasimama? Ipo hivi; kila mwaka, kipindi cha mfungo wa Ramadhan, soka visiwani Unguja na Pemba...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama ulifuatilia mechi ya Jana Kwa macho ya kiuchambuzi basi utakuwa umeelewa approach waliokuja nayo wydadi Casablanca.......waliokuja na approach ya kuisoma gemu ya wapinzani na sio kushambulia...
6 Reactions
63 Replies
3K Views
Tuweke rekodi sawa hapa, nawakumbusha tu; Horoya 0-0 Wydad Wydad 5-0 Horoya Stade Malien 1-0 Wydad Wydad 3-0 Stade malien Petro Luanda 2-1 Wydad Wydad 5-1 Petro Luanda Heart of Oak 1-0...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanayanga baada ya mechi na Rivers United na kupoteza watasema: 1) Wachezaji hawakuwa na morali baada ya kufungwa na Simba kwenye derby. 2) Wachezaji walikuwa na uchovu wa safari na nguvu nyingi...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…