Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

1. Aishi Manula ( kama Kapona ) 2. Shomary Kapombe ( kama Kapona ) 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga ( kama Kapona ) 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Muzamiru Yassin...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Safi sana..... Watu ndo tunatoka Kazini asubuhi hii baada ya kukaa huko kwa siku 2. Ambazo ni ushindi wa bao 2 kwa Yanga. Na ustaadhi katuambia kuna bonus ikiwa tutafanya jambo moja zito zaidi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90. 1. Farid Musa 2. Aziz Ki 3. Bernard Morisson 4...
10 Reactions
48 Replies
6K Views
Ikitogea mgomo katika timu, wachezaji wakagoma maamuzi huwa ni yapi? Ama wachezaji wakasambaratika kambinu, timu ikakimbiwa na wachezaji wote. Timu itaruhusiwa kusajiri upya na kuendelea na...
2 Reactions
7 Replies
725 Views
Katika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga. Mchezo uliopita Yanga...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Ni Derby ya Kariakoo kwenye dimba la Mkapa Jumapili hii na kama kawaida yangu mzee wa mikeka haiwezi nipita hii😂😂Mapema kabisa naweka mkeka wangu pale Sokabet Nampa YANGA ashinde au adroo...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Ili kuendana na mazingira ya uwanja wa Ihefu (pitch) uliojaa nyasi kiasi kwamba hata mpira hauonekani ikabidi Simba wafanye zoezi kwenye shamba la mpunga. JamiiForums mobile app
2 Reactions
4 Replies
700 Views
Mtanzania Shaban Mwanga anawakaribisha wanahai wote kwenye finali ya Ramadhani Cup leo tarehe 15.4.2023. Jimbo la Hai, leo watapata furaha kubwa iwapo kuna kijana mmoja roho itamuuma sana ila...
2 Reactions
0 Replies
508 Views
Baada ya Bocco kusema na Mungu wake alipopitia nyakati ngumu zilizotokana na kunyang'anywa namba na Phiri, maombi yalijibiwa na wote tu mashahidi wa nini kiliendelea. Phiri sasa anamuogopa na...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Uamuzi huo umetokana na tukio lililotokea vyumba vya kubadilisha nguo wakati timu hiyo ikifungwa 3-0 na Manchester City, ikidaiwa kutokana na wawili hao kupishana kauli ndipo Mane akampiga ngumi...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' alifika mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji leo Aprili 12, 2023 kujua hatma ya barua yake ya kuomba kuvunja mkataba na klabu ya Yanga, Fei Toto...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limetoa orodha ya Jezi 15 za msimu wa 2022/23 kutoka Vilabu tofauti zinaoongoza kwa mauzo hadi sasa. Jezi namba 6 ya LeBron James kutoka LA Lakers...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Picha: Mamadou Doumbia TANZIA: Klabu ya Yanga imepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Baba mzazi wa mchezaji wake beki, Mamadou Doumbia, kilichotokea jana, nchini Mali. Mamadou Doumbia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Moja kwa moja, Barabarani na kwenye nimekutana na Jezi tofauti za Taifa stars Og zaidi ya ishirini na kitu ndani ya msimu mmoja za aina tofauti tofauti kinyume na zile rasmi zilizotambulishwa na...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna kitu kimepita hapa katikati halafu tunaona kawaida. Jonas Mkude hakuitwa katika kikosi cha timu ya taifa. Tumeona kawaida kumbe ni jambo ambalo kama ingekuwa kwa Waingereza wangelichambua kwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Polisi Tanzania na Ruvu Shooting wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuokoa nafasi zao katika Ligi Kuu Bara. Kila timu imebakiza mechi nne kabla ya msimu kumalizika na zinaonekana kutegemea...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Msifieni tena Jumapili ijayo ( tarehe 16 April, 2023 ) akikutana na Wanamume. Na kuna ( Wanangu ) Wachezaji Rafiki Wawili wazawa wa Simba SC ( Waandamizi ) kabisa nimeshawapa Kazi Maalum kwa Aziz...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Klabu ya Al Hilal ya nchini 🇸🇩Sudan ipo tayari kutoa 💲600,000 sawa(Tsh 1.38b) kumsajili mchezaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwenye official page yake kule Instagram, Haji amepost nukuu ya meseji anayodai kuwa ni ya 'mchambuzi mmoja' anaeomba msaada wa kodi ya nyumba kwa kiongozi wa Yanga. Sote tunafaham kuwa binadam...
8 Reactions
84 Replies
5K Views
Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) ndo wenye haki ya matangazo ya Radio kwa hatua ya makundi na hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa (CAFCL) na Kombe la Shirikisho (CAFCC)
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…