Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi sio mpenzi sana wa kufatilia mpira, huwa nacheki games muhimu tu ambazo zinazungumzwa sana mitandaoni. Sasa kuna baadhi ya vitu natamani kuvijua. Kwa sababu humu kuwa wakongwe wa haya mambo...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hizi timu ni za watanzania wote Mwanasimba ni mtanzania na mwanayanga ni mtanzania pia Utimu usituvuruge Sasa hivi nini jamani!? Hata kama huipendi timu pinzani ndo ufanye hivi kweli!? Let...
-1 Reactions
3 Replies
321 Views
Kuna timu tangu maisha ya soka yaanze hapa bongo wameishia kugota hatua ya Robo Fainali. Asikuambie mtu! Hakuna kitu wanalingia kama hiyo hatua year in year out. Ningependa Leo nionyeshwe medali...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku. Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya Simba kufika QF msimu huu kuna kitu kimoja nimekiona na Mchambuzi wa AZAM SPORTS amekiongelea sana Ndugu Ramadhan Mwaduke. SIMBA inatatizo hili kwa muda mrefu sasa at least YANGA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo CAF wametoa orodha ya wachezaji wanne wanaowania tuzo ya goli bora hatua ya makundi CAFCC, Hadi kufikia sasa Mudathiri Yahya wa Young Africans anaongoza kwa kura na kura hizo zinachukua masaa...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
MAENDELEO HAYANA CHAMA [emoji119][emoji119][emoji119] MASHABIKI WA KLABU YA SIMBA SC WAUNGANA NA MASHABIKI WA YANGA KUPIGIA KURA @mudathir_yahya27 Goli lake dhidi ya TP Mazembe liweze kishinda...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Shime watanzania, tuzo ije kwetu hii. Jinsi ya kumpigia kura. Ingia twitter kwenye page ya CAF au pitia link hii kisha bonyeza neno Mudathir Yahya.
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Jamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe kule DR Congo...
0 Reactions
5 Replies
978 Views
Timu zilizoingia robo fainali kombe la CAF CC ni: 1)Asec Mimosa-Cote d'Ivore 2)Rivers United-Nigeria 3)Marumo Gallants-South Africa 4)Young Africans-Tanzania 5)AS Far Club-Morocco...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari wakuu Jana asubuhi niliangalia kipindi cha Viwanjani kinachorushwa kwenye chaneli ya Azam sports 1HD na binafsi nimesikitishwa sana kwa niliyo yaona. Sijui kama nitakuwa sahihi nikisema...
19 Reactions
84 Replies
4K Views
Mambo yanazidi kua matamu huku asfc,kinachosubiriwa ni mechi za ijumaa na jumamosi. Nb-endapo makolo yatapita basi tutawaomba sana azam watuachie my wetu,na nyie madunduka mjiakaze msitolewe...
3 Reactions
7 Replies
692 Views
Uwezekano wa klabu ya Simba kukutana na moja ya timu zifuatazo yaani Mamelodi Sundowns, Wydad AC, na Esperance ni sawa Tu na mfungwa aliyehukumiwa kifo yaani Death row inmate ambae anasubiri...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
#MICHEZO Baada ya hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika kukamilika, kocha wa Esperance de Tunis, Nabil Maalou amesema kuwa singependa kupangwa na Simba kutokana na umbali baina yao pamoja na hali...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
Hakika huwa nafurahi sana vituko vya simba katika michuano ya kimataifa. Viongozi na mashabiki wanaamini hakuna football bila ya uchawi kiukweli ushirikina ndiyo kipao mbele Cha timu. Baadhi ya...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Young Africans yawa timu ya kwanza ku expand nchi za Africa mashariki Rasmi Tawi la Yanga Wakali Kwanza limezinduliwa Lubumbashi, Congo na Rais wa Yanga SC Hersi Ally Said, Makamu wa Rais Arafat...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Imagine if you, like Franck Kessie, were responsible for the winning goals in the past two Clasicos for Barcelona in your first season at the club. You would feel like the king of the world...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine. Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…