Record Ya Taifa [emoji122]
Record Ya Tanzania[emoji120]
Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kumfunga MAZEMBE nje ndani
RECORD
Ni Timu tatu pekee Afrika zilizomfunga TP...
Jamani hawa Simba hamna timu, kinachofuata ni aibu kubwa huko robo fainali, Raja wamepumzisha wachezaji 15 wa kikosi cha kwanza pamoja na wale wa kikosi cha pili lakini bado Hawa ndugu zetu...
Simba tukifanya mabadiliko kwa beki yetu tunaweza kufika mbali. Mimi naombea tupewe mamelodi. Kama Al Hilal waliweza kufungwa goli moja na mamelodi pia wakatoa sare nyumbani why not Simba?. Simba...
Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO.
This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za...
Maana sasahivi imezuka kasumba kwa Wana Simba waliyo wengi, kuwa sisi tunashiriki ligi ya mabingwa mara sisi tunashiriki super league, je niwaulize hivi mnaenda kushiriki au kushindana?
Nyinyi...
Kuna katabia fulani hivi kameanzishwa na mashabiki wale wafuasi wa Mangungu na Mhindi wa bombay kuwa kila yanga inaposhinda mechi wao wanasema timu ni mbovu iliyokutana na yanga, Ni lugha fulani...
Mnyama simba ameliwa usiku usiku kimya kimya , baada ya kukubali kichapo cha 3-1 kutoka kwa waarabu wa morocco Raja casablanca😂😂, ila simba heshima yake apewe tu kwa hatua hiyo aliyopo, swali la...
Take it🔥
Ipo hivi,
Yanga sc imevuna alama zote 6 kwa Tp Mazembe.
Imekomba alama 4 kati ya 6 kwa Real Bamako.
Imechukua alama 3 kati ya 6 kwa Us monastir
Kifupi Yanga sc kwa sasa ndio timu...
Duh naona Michuzi anatoa nyepesi kwamba Yanga tumeingia mitini.... Nimetokea sipo mjini na kila ninayempigia naye ni amezima simu!! Asalale, hii ni kuwapa wanyama cha kuongea manake si utani hii...
Nimepenyezewa za chini ya kapeti.
Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa...
MARA ya mwisho Yanga kutinga robo fainali michuano inayoandaliwa na CAF, Clement Mzize alikuwa hajazaliwa. Kelvin John alikuwa hajazaliwa. Ilikuwa mwaka 1998. Yanga walistahili furaha waliyoipata...
WanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama...
Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI...
Mchezo mwingine wa kundi D michuano ya shirikisho barani Afrika unapigwa mida ya saa 5 usiku Kwa muda wa Afrika Mashariki.
Mchezo huu unasubiliwa kwa hamu hasa na wapenzi wa soka hapa nchini Kwa...
Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
Nchini Uganda 1990's katika daladala 10 za kubeba abiria basi 5 kati ya hizo zilikua na picha/jina LUNYAMILA. Moja kati ya vipaji vikubwa kuwahi kutokea katika historia ya mpira.
Kuna show...
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza hili swali. Timu hii inasemwa kuw haina mafanikio, siyo timu kubwa, lkn inaweza kuwa inaongoza kwa kuchukiwa na mashabiki wa tumu za Man Utd, Chelsea na hata...