Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko...
Kama mashabiki wa Simba hakika tumekubali unyonge sema tu hakuna la kumfanya huyu big boss wetu, naye ameshalijua hilo. Anaongea analojisikia, anafanya analojisikia, mara Rais wa heshima, akajipa...
Karibuni tena katika mechi kubwa ya kimataifa baina ya miamba wa soka hapa Afrika ya Mashariki, Uganda dhidi ya Tanzania katika kutafuta nafasi ya kufuzu Afcon 2023.
Mechi hii itapigwa kuanzia...
Akihojiwa na Grobal online tv, Raisi wa heshima wa Simba ambaye pia ndiye mwekezaji pekee wa klabu hiyo ndugu Mohamed Dewji ametoa majibu haya....
Swali: Kumekuwa na Taarifa kuwa kwenye Usajili...
''Timu hizi zinajiendesha kwa hasara kwa miaka mingi ndio maana zimekwama. Ukisema hivi mtu anaweza asikuelewe lakini ukitazama mapato ya klabu na matumizi ndio utajua kwanini zinajiendesha kwa...
Tanzania nakupenda nchi yangu hongereni sana vijana wetu hakika leo mmejitoa kila mtu kafanya majukumu yake, hongera sana benchi zima la ufundi hongereni mashabiki mliojitokeza kuipa joto Taifa...
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'.
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la...
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!.
Miaka ya nyuma hawa watu walioitwa wachambuzi wa kandanda akiwemo Shaffih Dauda na wenzie wametupiga sana ndoige kuhusu Kandanda na historia yake ni...
Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM Eng. Hersi Said amewashukia baadhi ya wadau wa soka nchini Tanzania walioibua hoja inayogusa udhamini wa kampuni hiyo kwenye klabu za Ligi Kuu Tanzania...
Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5!
Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa...
Klabu ya soka Tanzania kutoa mchezaji wa kuitwa national team kwa timu ambayo iko ranked na FIFA no 2 Africa?
Hii rekodi inaweza isivunjwe kabisa Kwa mda mrefu sana au isivunjwe kabisa.
Picha: Julian Nagelsmann
Bayern Munich ambayo imetwaa ubingwa wa Bundesliga mara 10 mfululizo, imekuwa haioneshi ubora uwanjani, ikiwa inashika nafasi ya pili katika ligi hiyo, nyuma ya Borussia...
Kwa wapenda masumbwi wote, habari zenu.
Ni habari za kusikitisha kusikia kwamba yule nguli wa masumbwi aliyepata kuwika duniani , pretty boy, money maker Floyd Mayweathear jr the hall of famer...
Sio wote wanaoitwa timu zao za taifa wanaenda kucheza, la hasha.
Wengine wanaitwa kama comedians ili kwenda kuwafurahisha wachezaji wengine.
Hivyo sio kila national team call up ni ya kufurahia...
Kama Mo hapati faida aondoke aje tajiri Bakhresa hana majivuno. Huyu Mo anakera na kutulingishia sana utajiri wake kama anaona anapata hasara si aondoke zake aiache Simba? Why jezi ya Simba imejaa...
Kuna Mtu alivaa Suti ya Kizee na Kiserikali ila wala Waziri Mkuu alikuwa hampi Yeye Maelekezo ya Kuchukua Pesa za Serikali badala yake Maelekezo yote alikuwa akipewa Mtu Mwerevu Mweledi Ahmed Ally...
Goli alilofunga Mayele dhidi ya US Monastir katika moja ya mechi za CAFCC Limetinga na kuwa moja ya goli bora kuwahi kutokea CAFCC.
Tazama Link
Hongera Mayele.Hongera Young Africans SC.
KILA nikiwafikiria Mamelodi Sundowns [emoji1221] siombei wakutane na Simba kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Jamaa wanatisha balaa. Ni bora wakutane na kinara wa kundi A ambaye kuna...