Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mie Sina mengi Ila tunaoweka comments humu mtandaoni tukibeza kuitwa kwa Sakho timu ya taifa, Mara anaenda kukaa Benchi, Mara hata Benchi hakai tuwe na akiba ya maneno yule mtoto anaweza kupewa...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu kidao bifu zake binafsi na roho mbaya imezidi
2 Reactions
19 Replies
814 Views
Salamu humu. Michuano ya kimataifa inayoendelea sasa hivi kwa Simba na Yanga ambayo inaangaliwa na afrika nzima ilikuwa ni sehemu muhimu Sana kwa dogo Fei kuonyesha dunia kiwango chake na...
3 Reactions
10 Replies
578 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu amejipambanua kuwa mpenda michezo na amekuwa mara kadhaa akiunga mkono sekta hii kwa vitendo akitoa hamasa na zawadi mbalimbali kwa michezo...
0 Reactions
5 Replies
521 Views
@yangasc1935 @CLEMENTINHO49 amebadili dini na kuwa muislamu hii leo mbele ya Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Walid Alhad Omari, ikiwa ni siku ya kwanza ya mfungo wa Mwezi Mtukufu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KLABU ya Yanga imepokea mualiko wa mshambuliaji wake kinda, Clement Mzize ambaye anatakiwa na klabu kubwa ya Olympic Marseille ya Ufaransa. Mkurugenzi wa ufundi wa Yanga Mwinyi Zahera amesema...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya MobiAd kwa ajili ya kusaidia ukuzaji wa maendeleo ya soka la Vijana huku Mkataba huo ukiwa na Thamani ya 500M huku kukiwa na nafasi ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
YANGA FAMILY DAY CARNIVAL, MTOKO WA MABINGWA Uendeshaji wa kisasa wa mpira wa miguu, haushii kwenye timu kusajili vizuri na kupata matokeo uwanjani. Matukio ya nje ya uwanja yanayofanywa na timu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mchezaji maachachari wa Al Ahly Mahmod Kahraba amemgaragaza Chama katika kuwania nafasi ya Uchezaji bora ya wiki. Ambapo Raia wa misri ambao wanashabikia timu hiyo walipiga kura na kumuwezesha...
12 Reactions
66 Replies
6K Views
Mesut Ozil, mchezaji wa zamani wa Arsenal, Real Madrid na kiungo wa timu ya taifa ya Ujerumani ametangaza rasmi kustaafu mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 34. Akiandika katika page yake ya...
9 Reactions
81 Replies
4K Views
Ukweli ni kwamba, kampuni za METL inayoongozwa na Mohamed Dewji na ile ya GSM inayoo na Ghalib Said Mohd ndio kampuni zinazoipa jeuri Yanga akia Utopolo na Simba, aka Madunduka FC; Makofi...
1 Reactions
5 Replies
474 Views
Kylian Mbappe ndiye mshambuliaji aliyechaguliwa kuwa mbadala wa Hugo Lloris ambaye alistaafu kuchezea timu ya taifa Januari 2023, mwezi mmoja baada ya Ufaransa kupoteza Kombe la Dunia kwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu. Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Haruna Niyonzima “Fabrigas” moja ya mchezaji aliyekuwa ananivutia kwa aina ya uchezaji wake. Je akiwa Simba au Yanga Niyonzima yupi alikiwasha haswa? 1. Yanga 2. Simba Twende kazi______!
1 Reactions
13 Replies
627 Views
Nimeangalia kwa umakini gemu ya Simba na Horoya huku Simba akiibuka na ushindi wa mchongo wa goli 7 ndio nasema ni ushindi wa mchongo kwa sababu kama hizi. Magoli mengi ya Simba yalikua magoli ya...
12 Reactions
102 Replies
5K Views
Hayo ni mafanikio tunayojivunia wana Simba na hakuna timu yoyote Tanzania na Africa kwa ujumla inaweza fikia. 1) Kucheza robo fainali cc na cl 2) Kubeba tuzo la goli bora la msimu (goli la Sakho)...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Mlilkuwa mnasema kwamba kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa ama Shirikisho si mafanikio kwa timu ya Mpira Afrika bali kuchukua kombe ndiyo mafanikio. Mlikuwa mnasema hakuna kitu Simba imepata kwa...
9 Reactions
35 Replies
1K Views
Refa asimamishwa kazi kwa kutumia simu ya shabaki kukataa goli Mwamuzi wa Misri Mohamed Farouk amesimamishwa kazi kwa kutumia simu ya mtazamaji kukataa bao katika mechi ya ligi. Al-Nasr...
1 Reactions
0 Replies
429 Views
Habari wakuu. Huwa ninasikia tu hii kilabu inasajili wachezaji, inashiriki michuano na ligi mbali mbali lakini mbona sijawahi kusikia imeshinda taji/kombe lolote? Ina maana wamekuwa washiriki na...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…