Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw. Nadhani...
1 Reactions
19 Replies
671 Views
Sisemi mengi: Kwa uwekezaji tunaofanya kwa vilabu vyetu vya Yanga na Simba kulinganisha na miamba ya soka Afrika kwa upande wa vilabu, ni kujidanganga kuwaza kuchukua kombe la club bingwa barani...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
1. Wachezaji wa Monastir 6 wa kikosi cha kwanza walianzia benchi. 2. Jamaa hawakupiga hata on target moja. 3. Rais wa Monastir Ahmed Belli, awapongeza Yanga kufuzu Robo Fainali. 4. Monastir...
29 Reactions
177 Replies
8K Views
Wadau naomba Ufafanuzi kidogo juu ya hiyo kwanini YANGA ambao ndio Bingwa wa Ligi Kuu anacheza Shirikisho Kombe la Washindwa na SIMBA ambao Sio Bingwa wa Ligi anacheza KOMBE la MABINGWA kwani...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Kaka never won a liberators. - Ronaldo (R9) never won a Champions League. Ibrahimovic never won a golden ball. Cristiano Ronaldo and Messi have never won a World Cup. - Ronaldinho won it all...
28 Reactions
96 Replies
8K Views
Dunia nzima bado inajadili tetemeko la Samba Loketo lililotokea siku ya Jumamosi mjini Dar es Salaam. Moja wa mahasimu wakubwa wa Simba SC barani Afrika, Raja AC nao wameonekana kushtushwa na...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
"Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah. Nilipofungiwa waliandaa hadi Party...
14 Reactions
68 Replies
4K Views
Simba 7:0 Horoya Chama, Baleke, Kanute Yanga 2: 0 Monastir Mayele, Musonda. Halafu anakuja mjinga mmoja anasema anataka alipwe kama wageni wakati hajui hata faulo inapigwaje. Wachezaji wa...
16 Reactions
27 Replies
2K Views
Wahenga walisema tuwe na akiba ya maneno. Hii ni kauli ya msemaji wa klabu ambaye jukumu lake ni kusemea klabu na uongozi wa klabu. Hoja yangu ni kwamba, Yanga bado mnalitambua kama kombe la...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
17 Reactions
84 Replies
4K Views
Note 📝 “Tutaweka chumba maalum cha Video za Marejeo (VAR) kitakachotumika wakati wote wa mashindano” sehemu ya maneno ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chanda akizungumzia...
0 Reactions
11 Replies
950 Views
[emoji599] Tanzania imepaa hadi namba saba ! Taifa lipo mikono salama kisoka Baada ya klabu ya Yanga kufuzu robo fainali CAF Confederations cup, Nchi ya Tanzania imeongeza point 7.5 na kuwa na...
16 Reactions
68 Replies
9K Views
Wakuu, nazipongeza timu zetu kwa matokeo mazuri ya mechi za CAF zilizochezwa hspa nyumbani. Naomba mnisaidie utaratibu wa timu ya Yanga wachezaji kuingia uwanjani. Nimezowea kuona timu zinapoingia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nawatakia ushindi timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) watakapocheza na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars). Sikutegemea kitendo kilichofanywa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kumwita...
0 Reactions
1 Replies
435 Views
Ile dhana ya hakuna mchezaji mkubwa kwenye timu ya Yanga inainufaisha Yanga leo na hata kesho. Kumchezesha mchezaji huyohuyo kwenye mechi zote timu inapopata matokeo mazuri na timu kupata matoke...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Wananchi wana jambo lao mapema mwezi huu dhidi ya Al Hilal ya Sudan, wenyewe wanasema iwe mvua iwe jua hatoki mtu kwa Mkapa. Licha ya hamasa kubwa waliyonayo kuelekea mchezo huo Yanga SC kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Chama yupo kwenye daraja la pekee yake, ni dhambi kumfananisha na Aziz Ki. Sasa nimeona ni bora tumlinganishe na Mzee wa ICC Kanoute, bila kujali maeneo yao wanayocheza, tuangalie mchango wao...
16 Reactions
72 Replies
3K Views
Ukiachana na wale ambao ni Team Kamati ya roho mbaya, kila shabiki wa soka Tanzania anajua kwamba timu ya Simba kwa mwaka 2023 ndiyo timu bora Tanzania!!
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyojieleza hapo, ni kuwa, kila mtu anajua mwisho wa Simba kimataifa ni Robo Fainali. Hata wenyewe wana Simba ukiwauliza huwa wanasema wao mafanikio yao huwa ni kufika...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…