Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wanajukwaa, Leo naona tumalize utata wa nani zaidi kati ya viungo hawa wawili. Wote ni viungo wazuri, ila mmoja ana uwezo zaidi anapokuwa kulia na mwingine anapokuwa upande wa kushoto...
1 Reactions
66 Replies
2K Views
Gor Mahia vs Azam SC friendly match scheduled for Sunday 26th March has been called off due to prevailing political uncertainties.
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Kuna mzee mmoja ni Jaji mstaafu kwa sasa, alishawahi kutuambia kuwa ukienda Mahakamani basi mlalamikaji na mlalamikiwa wote wanona wana haki. Hata kesi za jinai ukisikiliza upande wa mtuhumiwa ni...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa wapenzi wa mpira wa miguu, Mwaka 2010 FIFA ilitangaza rasmi mapinduzi ya technolojia katika mpira wa miguu, hii ni baada ya Kombe la Dunia lililopigwa South Africa kwa Madiba. Modern...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukiona watu wanaojiita Wachambuzi wa Michezo wanajaribu kuwaaminisha Watanzania kwamba Simba ni timu dhaifu simply kwa kuwa Chama anaufanya mchezo wa soka kuonekana mrahisi mno, ujue hao ni...
1 Reactions
1 Replies
304 Views
Binafsi tokea uteuliwe kuwa Waziri wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo sijaona la maana ulilofanya hata katika Press Conferences zako zote. Yaani kabisa Waziri mzima unasimama mbele ya watu...
2 Reactions
6 Replies
587 Views
Mchambuzi wa michezo kutoka Wasafi Fm, George Job amesema klabu ya Simba bado haijajiandaa vema katika mechi za mtoano. Kikosi cha Simba ilkinaweza kupambana vizuri kwenye mechi za makundi ila...
6 Reactions
60 Replies
5K Views
Kutokana na wingi wa magoli, naona hatujapata muda hasa wa kuyazungumzia vizuri ubora wa magoli waliyofunga Simba. Nimeona ni vizuri tulijadili hili. Kwa upande wangu nitazungumzia hasa magoli...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Ki ukweli watangazaji Jonas Maziku na Abdul Razak wamekinogesha kipindi hiki cha kama dakika 15 hivi jioni. Sasa hivi huyu Jeff Lea ni kama anakifanya kuwa cha umbea umbea hivi na hii imetokea...
2 Reactions
2 Replies
754 Views
Kushoto ni mchezaji kinda anayekuja kwa kasi anayechezea Kilabu cha mpira cha Simba Sc na Kulia Kabisa ni Mchezaji anayetajwa kuwa tarajio kubwa kwa kikosi hicho, Wakiwa katika picha ya pamoja na...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Kipindi cha Michezo Kizuri cha Usiku cha Sports Extra cha Clouds FM kinapendwa na kinasikilizwa na Wengi (GENTAMYCINE nikiwemo) si kwa Kuahidiwa nao kupewa Pesa Nono. Baada ya Kitenge na Wenzake...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba nikiri mimi ni Mwanachama wa Simba na nilishwahi kufanya kazi kwenye moja ya makampuni ya huyu anayejiita YOUNG BILLIONAIRE (si lolote si chochote). Niliwahi fanya kwenye kampuni ya 21st...
15 Reactions
34 Replies
3K Views
Picha: Fesal Salum 'Fei Toto' Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda. Picha...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Note it: Yanga SC ndio timu pekee ktk ligi kuu soka Tanzania bara kutoa wachezaji wengi wa kigeni na wazawa ambao wameitwa kwenye vikosi vya timu za Taifa. Wa kigeni 6 na wazawa 7 jumla 13, Kwa...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Machi 23, 2022 Timu ya Mpira wa Miguu ya Majimaji Fc toka Songea, ilizuiliwa Hotelini jijini Dar es salam mara baada ya kushindwa kulipa madeni yao. Timu ikashindwa kurejea nyumbani kwa wakati...
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Mwamba huyu hapa!! Kwa bahati mbaya anafanya Kazi kwenye nchi ambayo watu wanasubiri ukosee ndiyo wakuzodoe ila ukiwa unafanya mazuri wanafumba macho. Kwanza ametengeneza timu isiyo na Super...
53 Reactions
151 Replies
5K Views
Eti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili. Mchezaji gani anatingisha nchi kwenye usajili...
11 Reactions
74 Replies
7K Views
Wakuu, mie nina miongo sita na ushee hivi. Natamani niichezee Azam FC japo kwa kupewa posho tu kwa jinsi hali inavoonekana. Si ajabu hata nne bora tutakosa maana Ihefu (wanaojielewa sasa)...
4 Reactions
17 Replies
763 Views
Ukweli ndio huo. ZBC2 katika misimu kadhaa ya Nyuma waliwatumia Watangazaji wazoefu katika kutangaza mechi za kimataifa. Lakini msimu huu, wanatia Watangazaji ambao hawana mvuto. Sio wabunifu...
0 Reactions
4 Replies
704 Views
Kelele zote ulizokuwa unazisikia mwaka jana ilikuwa ni Confederation Cup. ukisikia Sakho kashinda goli bora la CAF basi ujue alilipatia kwenye Confederation Cup. Ukisikia sijui Simba timu ya...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…