Golikipa wa Chelsea, Edouard Mendy anamfananisha mshambuliaji mpya wa Man City sawa na Mshambualiaji wa Crystal Palace, Christian Benteke.
Kwamba Haaland hana tofauti yoyote na Benteke hii...
Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho.
Kutokana na...
Mimi nikiwa shabiki wa damu wa Horoya Football Club nakiri hadharani kuwa hapa hakuna timu. Japo tupo klabu bingwa lakini klabu yetu imejichokea sana, hatuna wachezaji wowote wa maana wanaojua...
Habari wadau wa JF. Naomba mupokee na kuendelea kuboresha hili bandiko linalohusu mashindano ya CAF kwa vilabu kwa msimu wa mwaka 2022/2023. Kwa kuanzia nitaweka misimamo kwa mashindano tajwa...
Wakati wanasajiliwa kuja Yanga Hawakuwa maarufu sana na mechi nyingi walikuwa wanatokea benchi kiasi wachambuzi uchwara kama kawaida yao wakaanza kuwaponda na kuwapa majina ya ajabu kama mzee wa...
Saidoo aliachwa na Yanga kwa mazingira sawa na yale aliyoachwa Morrison Simba.
Ila Saido anaonekana kuwa tegemeo kwa club yake tofauti na Morisson.
Ilikuwaje Morrison kupewa tena mkataba wakati...
Kuna swali? Kutoka kudhihakiwa hadi kuibeba timu kuipeleka robo fainali. Leo kafunga (goli dume) na kisha katengeneza goli dume jingine kwa Mayele.
DJ leta 'mikimbioooo'.
Sent from my SM-A307FN...
Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC.
Saa moja jioni mbivu...
Leo kuna jambo nilikuwa nafuatilia na katika kupekuapekua huko mitandaoni, nikawa napitia kanuni na sheria za mashindano ya CAF nikakutana na kitu kilichonifanya nijiulize maswali kuhusiana na...
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana)...
Huyo ndiyo triple C Mwamba wa Lusaka, akionyesha vitu kwa vitendo.
Amesemekana sana ni mchezaji wa mechi ndogo. Ilivuka mipaka mpaka wachambuzi wa soka waliamua kuweka unazi na kumkosea heshima...
Hongereni Yanga na Simba kuipeperusha bendera ya nchi vizuri, kwa sasa kila nchi ipo na shauku ya kufahamu kipi special sana kwenye soka letu. Huu moto tuliouanza tuuendeleze kwa timu zote pia...
Hatimaye Leo ndio siku ya utoaji Tuzo za mpira wa miguu chini ya usimamizi wa shirikisho la soka duniani (FIFA).
Goalkeeper Bora.
Emily Martinez wa Argentina amechukua Tuzo hii kwa mchango wake...
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa...
Nimeangalia baadhi ya mechi fulani za Shirikisho. Nimegundua Yanga wana timu nzuri, sio kuliko timu zote za shirikisho hapana.
Ila wana baadhi ya wachezaji wazuri kuliko timu zote za Shirikisho...
Pesa haijawahi kushinda mechi hata siku moja, kama pesa ingekuwa kigezo cha kufanya vizuri kwenye mechi basi marekani ingekuwa na timu bora sana duniani.
Mpira ni mbinu na ubora wa wachezaji...