Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Maulid Mwita (katikati waliosimama) akishuhudia utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na...
1 Reactions
2 Replies
782 Views
Kuna heka heka kikao kinaendelea kwa ajili ya serikali kutangaza siku 7 za mapumziko kwa taifa kwa ajili ya kusherehekea ushindi wa magoli 7 ya simba. Ushindi huo ni historia na haijawahi kutokea...
4 Reactions
14 Replies
660 Views
Had saivi half time 0-0 ,, Mamelod wanadominate game but hilal wanatengeneza nafasi.. Tuendelee kuomba Mungu mtoto wa Caf ang'olewe kwenye mashindano
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Naamini mechi ya kesho itakuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na Yanga asipokuwa makini, anaweza hata kupoteza hiyo mechi. Hata hivyo, Yanga akishinda kesho dhidi ya...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Nafuatilia mechi zote za CAF Champions League naona kabisa huyu mwarabu mweusi wa Sudan anajua anachokifanya, naona game ya leo itaisha kwa kunyanyusha hawa Cotton Sports. Tukutane robo fainali...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni Mwanayanga kindakindaki ila hii kasi ya Simba kumfunga Horoya huku kila hili lilies sawa na milioni 5 wasije kusababisha mishahara ya mwezi huu ikachelewa. Simba punguzeni speed msije...
5 Reactions
5 Replies
574 Views
Heshima kwake mwamba wa Lusaka na wale wapinzani wake wanapitia kipindi kigumu sana. Hattrick kwenye ligi ya mabingwa wa Afrika.
4 Reactions
5 Replies
508 Views
Anza na kikosi hiki utakuja kunishukuru Manula Kapombe Tshabalala Inonga Onyango Kanoute Sakho Chama Baleke Phiri Ntibazonkiza Mzamiru akae benchi, anarudisha sana mipira nyuma badala ya...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Nawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe. Kwangu Mimi...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Hela iliyoletwa haitoshi... Siyo maneno yngu, ni maneno ya Msi...
4 Reactions
9 Replies
536 Views
Nyota wa klabu ya Simba Sports, Pape Ousmane Sakho ameitwa kwenye kikosi cha wachezaji 24 cha timu ya Taifa ya Senegal chini ya Kocha Mkuu Aliou Cisse kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu AFCON 2023...
21 Reactions
90 Replies
6K Views
Simba atamkaribisha Horoya Jumamosi hii pale kwa Mkapa huku Yanga atamkaribisha Monastir siku ya Jumapili! Ikumbukwe Simba alichapwa bao 1-0 na Horoya ugenini na Yanga alilazwa bao 2-0 na...
4 Reactions
9 Replies
562 Views
Kama nilivyo jieleza hapo juu, nawezaje kuwapata hawa watu? Nimesoma ngumi zao, nikaona hata mimi naweza kumbe! Nahitaji kuwafumua hawa watu, nipeni connection ya kuingia katika huu mchezo...
3 Reactions
5 Replies
455 Views
Kilichowapata leo Horoya kimewastaili kuwapata. Hawakuiheshimu Simba hata kidogo kwanzia kiakili na kifikra hadi kimbinu. Rais wao anaongea wazi wazi dharau, hata kama ilikuwa ni jambo lenye...
6 Reactions
3 Replies
423 Views
Wachambuzi wale wa kibongo karibia radio stations zoooote naona wanaisodoa sana Simba na kuwapa nafasi kubwa Yanga ya kufuzu nusu fainali. Wachagoat hawa wanatumia misamiati mingi sana na kucheza...
4 Reactions
4 Replies
628 Views
Sheikh Jassim bin Hamad Al Thani wa Qatar na Sir Jim Ratcliffe wa Uingereza ndio wawekezaji walioweka dau rasmi kwa lengo la kuichukua klabu kutoka kwa wamiliki wa sasa Familia ya Glazer ambao...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam Wana jf Kama wahenga walivyosema kuwa usiku wa deni haukawii kukucha basi ndicho kinachotokea baada ya ndugu zetu kuomba siku zisiende ili siku ya mechi isifike hatimaye muda umefika...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Habarini wana michezo. Moja KWA Moja naomba kupata ufafanuzi juu ya upangwaji wa Timu mwenyeji katika mashindano ya Azam Confederation cup hatua ya robo fainali na hatua za nyuma yake kama hatua...
2 Reactions
10 Replies
955 Views
Huyu kambole alidhihakiwa sana hasa na ndugu zetu wa Simba wakiongozwa na wachambuzi uchwara km Jemedari Said.. Wakaenda mbali zaidi paka kumuita msukule.. Sasa Leo hii ndio mshambuliaji tegemeo...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…