Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hii ni official Team of the Week ya CAF Championship. Mnyama ameingiza wawili Show-me the Way na Mwamba wa Lusaka
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Simba SC haijawahi Kumkosa Mchezaji yoyote mkubwa Afrika hii na ukiona haimtaki jua huyo Mchezaji ana Majeraha au hana Kiwango cha Kuwazidi walioko. Simba SC waliachana nae mapema tu baada ya...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Salaam, Binafsi nimeshangazwa sana na uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, ambapo nimeona wachezaji ambao wapo kikosi cha kwanza kwenye timu zao (regular players) wameachwa haswa niliotaja hapo juu...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Leo mnyama yuko uwanjani na Mtibwa sugar kule Manungu complex, msimu huu Mtibwa amekuwa akipata ushindi mwingi katika uwanja wa nyumbani so matokeo yoyote yanaweza kutokea, ndio maana leo nataka...
1 Reactions
3 Replies
405 Views
Alikamwe kesho tunaenda kwenye matawi yetu makubwa kabisa ya Yanga pale kwa Mtogole kuna tawi kubwa, Kariakoo hapa kuna tawi kubwa. Tutawaambia viongozi wa matawi kuwa kama kuna lolote wanaweza...
1 Reactions
13 Replies
839 Views
Wakuu Nimeshindwa kabisa kuwa na amani, hii mechi ya marudiano na Raja pale kwenye dimba la Mohammed V Morocco inaninyima kabisa usingizi. Kila nikikumbuka zile thalatha walizotupiga tukiwa...
20 Reactions
77 Replies
3K Views
Yaan ina tia hasira na pia inahuzinisha, mnashindwa ingia ubia na wamiliki wa Ccm wanaomiliki viwanja vingi mapato yakaenda halmashauri kwenye mgawanyo? hao waarabu wanaotunyanyasa ubora wa...
2 Reactions
9 Replies
742 Views
Simba na Yanga walimsajili Bernard Morrison wote walikiona cha mtema kuni. Faisal anaonekana kuwa ana kipaji kama Morrison lakini hana akili timamu na hatakuwa na akili timamu hata aendako. Timu...
13 Reactions
49 Replies
3K Views
Kama umefuatilia uchezaji wa Shomary Kapombe toka amepona majeraha yake amekuwa anacheza kwa kiwango kikubwa na kujituma kuliko mchezaji yoyote pale Simba. Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, ni...
7 Reactions
17 Replies
937 Views
Kwa sasa premier league imebakia kwa Manchester United na Liverpool watu wakiangalia nani atamaliza msimu kwenye Too Four. Kwa mechi zilizobakia sasa kubashiri muue tu Manchester utanishukuru...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Mchezaji wa Yanga Kennedy Musonda leo ametunukiwa medali aliyopewa na mtoto wa kutoka huko Spain aitwaye Lucas Gomez. Medali hiyo ilikabidhiwa kwa Musonda na Balozi wa Spain kwa niaba ya mtoto...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Papa Zahera ba mutu ba Kongo kocha wa timu ya Polisi baada ya jana kumalizika kwa gemu dhidi ya Dodoma jiji na kupoteza 2-1 akihojiwa na mtangazaji wa Azam ‘Papaa vipi huogopi kushuka daraja Papaa...
0 Reactions
1 Replies
454 Views
Wanasiasa ni watu wabaya sana, wakitaka kukufadhili kitu bora ukatae, ni fursa ya kuwatangaza kisiasa hiyo. Yaani mama akaona atazungumziwaje kwenye soka. Akajifanya ananunua kila goli, sasa...
0 Reactions
2 Replies
636 Views
Senegal mji mkuu Dakar hawa jamaa wapo serious sana na mpira tangia wajifunze makosa yao kupitia kizazi ya kina Tony Silva, Ferdinand Coly, Fadiga, Diof...nk chini ya Kocha fundi Bruno Metsu(Rip)...
0 Reactions
1 Replies
361 Views
1. Michael Jordan - Tsh. Bilioni 7.7 2. Tiger Woods - Tsh. Bilioni 5.8 3. Arnold Palmer - Tsh. Bilioni 3.9 4. Jack Nicklaus - Tsh. Bilioni 3.8 5. Cristiano Ronaldo - Tsh. Bilioni 3.7 6. LeBron...
1 Reactions
6 Replies
729 Views
Kwa ajili ya maendeleo ya soka la nchi hii na kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za kukuza soka la nchi hii Nashawishika kuamini kwamba serikali haitimizi wajibu wake Kwa soka la Mbeya. Pamoja na...
1 Reactions
4 Replies
354 Views
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo. Mnacheza faulo refa anapeta, mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano, wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimeumia Sana Yanga kutoa wachezaji 7 huku Simba ikitoa wachezaji 3 Hii siyo fair kisoka. Yaani Kagera sugar inatoa wachezaji 4 huku Simba ikitoa 3?? Unamuachaje Sure...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga, Machi 12, 2023 Wilayani Rungwe amefunga mashindano ya mpira wa miguu yaliyojulikana kwa jina la Polisi Jamii Super Cup 2023. Akifunga...
0 Reactions
2 Replies
427 Views
Sikuwa naangalia mpira dakika za mwanzo ambapo Geita Gold wamefunga bao safi la kudhalilisha. Kutokana na tabia ya waamuzi kuua move ya timu pinzani wa Yanga, imekuwaje leo akawaacha Geita Gold...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…