Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Najaribu kulisikiliza semaji la CAF hapa, huwezi amini lina sound kama Robot hata anachoongea hakisikiki, na mbaya zaidi hii ni press muhimu sana kuelekea mchezo wetu wa jumamosi wa kufuzu Robo...
1 Reactions
3 Replies
611 Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameiaga rasmi timu ya ngumi ya Wanawake ya Tanzania inayokwenda kushiriki mashindano ya Ubingwa wa Dunia kwa upande wa Wanawake...
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Ni kwa wapenda kikapu cha Majuu NBA EASTERN CONFERENCE Boston Celtics New Jersey Nets New York Knicks Philadelphia 76ers Toronto Raptors Chicago Bulls Cleveland Cavaliers Detroit Pistons...
1 Reactions
1K Replies
83K Views
Klabu ya wydad AC imejadili uwezekano wa kumteua kocha mkuu wa Yanga SC Nasreddine Nabi kuinoa timu yao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao baada ya Walid Regragui kujiuzulu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Africa, Simba na Yanga mchana huu watakuwa wakifuatilia droo ambapo makundi yatapangwa. Droo hii itaanza saa 8:00...
19 Reactions
277 Replies
24K Views
Machampioni watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans S.C almaarufu Yanga leo wanashuka dimbani kuzisaka alama 3 dhidi ya Geita Gold kutoka mkoani Geita katika mwendelezo wa ligi kuu ya...
11 Reactions
515 Replies
26K Views
Kwanza nitoe kongole kwa mh Raisi Dr mama Samia suluhu kwa hamasa anayoifanya kwa timu zetu zinapokuwa zimefunga goli nakutoa zawadi ya mil 5 kwa kila goli hakika hii si yakubeza anasitahili...
3 Reactions
6 Replies
483 Views
Poleni sna. Hahahahh Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
5 Reactions
16 Replies
690 Views
Jifunzeni kuheshimu Watu waliobarikiwa Tunu ( Shani ) nyingi na Mwenyezi Mungu halafu na hata Soka la Tanzania ( Bongo ) wana PhD ( Doctorate ) nalo sawa? Kama tu ndani ya Mechi Nane walituacha...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Je unahisi huyu mwandishi atakua nani vile, binafsi nimependa majibu ya huyu kocha wa Timu ya Taifa Muisrael Avram Grant akili kubwa, kuna cha kujifunza makocha wa kibongo.
19 Reactions
25 Replies
2K Views
GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Refa amekataa goli halali kabisa la singida big stars dhidi ya coastal union. TFF fungieni hawa marefa wanaharibu sana ligi.
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo tuwakumbuke wachezaji ambao wapo underrated, wanajituma sana kwa maslahi ya timu lakini huwezi kusikia wakiimbwa sana au kusifiwa na mashabiki au wachambuzi. List yangu iko hivi; Pierre...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Hawa ndugu zetu wa Simba Wana pitia kipindi kigumu sana, ukitazama nyusi zao hazina Tena Nuru kama zamani yaani zimefubaa, Wamejaa msongo mwingi wa mawazo, wanatembea wanaongea wenyewe kama...
0 Reactions
5 Replies
477 Views
Baada ya kufanya uchambuzi wa mechi za CAF zinazoendelea nimekuja kupata swali hili Japo kolo anacheza CAF champions ( wanasema Kuna ugumu) lkn sio kigezo Cha timu kubwa kupata point zote Kwa...
3 Reactions
77 Replies
3K Views
Wakuu Mimi ni mwana Simba kindaki ndaki nimepata masononeko sana[emoji24][emoji24] Baada kuutafuta msimamo wa ligi kuu ya Nbc wakati Simba akiwa kileleni[emoji772] mwa msimamo ligi ya Nbc bila...
15 Reactions
126 Replies
5K Views
Hovyo kabisa mbona huu Mpira wa leo Wachezaji wetu hawakuucheza Mechi kama Nne zilizopita na tukawa tunashinda kwa Taabu huku Sisi Mashabiki wenu GENTAMYCINE nikiwepo tukiwa tunajituliza kwa Dawa...
14 Reactions
84 Replies
4K Views
Habari za mda huu wakubwa Leo itakuwa mechi ya ki historia apo BONDENI ALAHALY CAIRO watakuwa wageni wa mamelody sundown MASANDAWANA ikimbukwe mechi ya kwanza al ahaly alilazimisha sare akiwa...
15 Reactions
234 Replies
11K Views
Mpira wa miguu mara zote unatakiwa kushinda Mechi zako halafu unasonga mbele. Haya mambo ya kushindwa kushinda mechi zakot halafu uanze kuombea wengine wafungwe ni uchawi tosha. Ushauri wangu...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimemuangalia Harry Kane kwa miaka saba mfululizo hajawahi kushuka kiwango ni mshambuliaji hatari, ni mchezesha timu kwa kifupi anacheza namba yeyote pale mbele. Ana displine ya hali ya juu kwenye...
5 Reactions
7 Replies
897 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…